Tanzania kujenga kiwanda cha kuunda magari ya Toyota

Ningefurah kama huu mpango ungekuwa Sasa watz tunatengeneza magari yetu NYUMBU baada ya vijana wa veta na chuo kikuu kuzalisha waataalamu,Lumumba achen kushabikia vitu kisiasa wakati hapo Toyota watakuja na RAIA wao ,cha kuomba Toyota iwape elimu watz ya kutengeneza magari
 
wanafata cheap labour tuu kama viwanda vilivyo vingi Vietnam vya nje lakini raia still wachimba chumvi tuu..
 
kwa laana tuliyonayo hii ni ndoto ya alinacha.JPM ni wale wale tuu.sema ukiwa mASKINI WA MAWAZO NA FIKRA NDO HIVYO tena.CAG report
 
Bila shaka kitajengewa huku kaskazini. Kuna nafasi ya kutosha. Hahaa nasubiria povu.
 
Ok its mean umeamua kutoelewa basi endelea hivyo hivyo ila ukweli ndio huo niliokueleza Jamaa Ndio Wanamiliki Benz ambayo kwa Sasa inaitwa Tata na Kila kitu katika Tata Original yake ni Benz.. Baki unavyojua wewe ila unapokuwa unabishana na mtu kuhusu Asili ya Magari ya Tata usiseme walinunua bali Benz walijipendekeza na wao Wakabeba sababu wao ndio walianza kutengeneza hayo magari...

Na Kuhusu Land Rover na Jaguar nalo hukubali pia?
We kilaza kweli. Benz imilikiwe na TATA? acha ndoto za asubuhi wewe
 
Najisikia fahari sana, nikiona maendeleo kama haya Tanzania. Ni kitu nilikuwa natamani sana tuwe nacho...Kuwepo na mikataba mizuri kwa wafanyakazi....tufanye kazi kwa bidii, udokozi,wizi, majungu hayafai huuwa viwanda vyetu....Mungu ibariki Tanzania....
 
Sidhani kama ni sahihi kushabikia mipango mizuri ya nchi huku ukiitumia kama pigo kwa upinzani....chachu kubwa ya maendeleo katika nchi yoyote ile ni nguvu ya upinzani kwenye kukosoa serikali...mwisho wa siku mazuri yote yatakayofanywa na serikali yatabaki kuwa mali ya nchi na si mali ya chama tawala. Sioni uhusiano wa mambo haya kulinganishwa na upinzani. Unaemshabikia leo anaweza kuwa mpinzani kesho na mwisho wake utageuka na kuanza kumponda tena...tufurahie maendeleo ya nchi kwa misingi ya kitaifa na si kwa misingi ya kichama.
 
Kiwanda cha baskeli Hatuna.
Leo unatuletea Hadith za Abunuasi hapa?

Pombe za asubuhi mbaya sana.
Mwisho wa mwezi nuksi aisee.
 
We kilaza kweli. Benz imilikiwe na TATA? acha ndoto za asubuhi wewe
Akili yako haina ushirikiano. Ili akili ya binadamu iweze kufanya kazi huanza na msingi so wewe kasome msingi ndipo uje ujibu au uulize hoja... sio Kuvamia na kukurupukia hoja za watu... siku nyingine utatiwa kidole....................................cha macho.
 
Back
Top Bottom