Kiwanda cha sukari TPC na uwekezaji kwenye elimu

Jun 20, 2023
54
51
Moja ya uwekezaji ambao serikali inaweza ikajivunia ni kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo kata ya Arusha chini wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro kutokana na kiwanda hicho kuonyesha ufanisi mkubwa katika kuchangia shughuli za maendeleo kwa jamii inayoishi kunguka kiwanda hicho.

TPC inajivunia mafanikio inayoendelea kuyapata katika uzalishaji wa sukari na kutengeneza faida kubwa na kutoa sehemu ya fasida hiyo kwenda kwa wananchi kusaidia kaitka Nyanja mbalimbali ikiwamo elimu,maji,afya na miundombinu ya bararabara.

Kwenye sekta ya elimu TPC inatumia billion moja na nussu kusaidia masuala mbali mbali ya elimu ikiwamo ukarabati wa shule za msingina sekondari pamoja na ujenbzi wa shule za awali .

Chini ya mpango huo ,kiwanda hicho kinazo shule nne za awali ambazo kinazihudumia kwa aslimia moja hii ikiwa ni pamoja na watoto kupata chakula,sale za shule,madaftari na mzazi hachangii chochote Zaidi ya kuhakikisha mtoto anakwenda shule.

Kwa sasa TPC imetumia mamilioniu ya fedha kubioresha miundombinu ya shule za msingi nne ikiwamo ukarabati wa majengo na ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa.

Shule ya msingi mikocheni ni moja ya shule zilizokarabatiwa na kiwanda hicho na kutumia shilingi milion 200, huku shule ya msingi Kiyungi ukarabati wake ukigharimu milion 56 .

Pia TPC imetenga shilingi milion 60 kwa ajili ya kumalizia ukarabati wa shule hiyo ya Kitungi wakati shule ya msingi Arusha chini ikikarabatiwa kwa gharama ya shilingi million 200.

Kwa upande wa shule za sekondari TPC imejenga shule mpya ya sekondari ya Chekereni Weruweru ambayo itakuwa Mwarobaini kwa wanafunzi Zaidi ya 600 waliokuwa wakilazimika kutembea umbli mrefu w kilometa 27 kwenda na kurudi kusaka elimu.

Kujengwa kwa shule hiyo bi hatua kubwa kwa wanafunzi pamoja na wazazi kwani itapunguza changamoto nyingi zilizokuwepo ikiwamo utoro pamoja na kuongeza ufaulu kutokana na wanafunzi hao kusoma katika mazingira rafiki kwani .

Kabla ya kujengwa kwa shule hiyo wanafunzi hao walikuwa wanasoma shule ya sekondari ya TPC umbali wa Zaidi ya kilometa kumi kutoka Chereni ya weruweru huku maadhi wakikatisha masomo kutokana na chnagamoto hiyo ya umbali wa eneo la kusomea hususani watoto wa kike

TPC kupitia Taaisi ya mradi FTK imeweza kukusanya fedha na kutenga zaidi ya billion 1.4 kwa mwaka aslimia kubwa ya fedha hizo zimelekezwa kwenye sekta ya elimu ikiwamo kukarabati shule za msingi na sekondari zilizopo kuzumunguka kiwanda hicho ikiwa ni mkakati wa kiwanda hicho kuboresha mahusianao na jamii inayowazunguka.

Afisa mtendaji wa kiwanda hicho anayeshughulikia masuala ya utawala , Jafary Ally amesema mkakati wa TPC ni kujennga mahusiano mazuri na jamii inayowazunguka,Halmashauri ya wilaya ya moshi pamoja na serikali kuu.

Amesema kuwa Kiwanda hicho sambamba na uzalishaji wa sukari imeweka mikakati mbalimbali ya kusaidia jamii inayoizunguka ikiwamo uboreshaji wa elimu kwa shule za awali msingi na sekondari lengo ni kuimerisha ujirani mwema.

Amesema hivi karibu tumetenga shule mpya ya sekondari ya Chekereni Weruweru kutokana na wanafunzi kutoka umbli mrefu kilometa 27 kuja kusoma shule ya sekondari TPC.

Amesema kuwa shule hiyo imesaidi wanafunzi zaidi ya 600 ambao walikua wakiteseka kufuata huduma ya elimu.na kwamba wanafunzi hao kwa sasa wanapata huduma bora ya elimu katika shule yenye mazingira bora na karibu.

Amesema kuwa Kiwanda hicho kupitia kupitia Taasisi yake ya FTK wamefdhili wanafunzi 250 kusoma vyuo vya ufundi na vyuo vikuu kila mwaka,bila kuchangia gharama zozote na bila masharti kwamba wakimaliza masomo yao wakafanye kazi TPC.

"Wapo wanafunzi wanaoomba mikopo bosi ya mikopo na kupewa pengine aslimia 60 ,sisi TPC tunajazia aslim8ia iliyobaki na tunafanya hayo yote tukiamini kwamba ukisaidi jamii umelikomboa Taifa kiuchumi,"amesema.

Jafari anasema aslimia kubwa ya bajeti ya TPC ni kwa ajili ya huduma za kijamii katika Nyanja ya afya,miradi mikubwa ya umwagiliaji pamoja na ujenzi wa majosho kwa ajili kuwezesha mifugo ya wafugaji inapata huduma nzuri.

mwonekano wa jengo la shule ya msingi Arusha chini kabla na baada ya ukarabati mkubwa uliofanywa na kiwanda cha sukari cha TPC,hongereni TPC kwa uwekezaji mzuri
 
Attachments

  • P 2.jpg
    P 2.jpg
    148.1 KB · Views: 3
  • P 1.jpg
    P 1.jpg
    105.5 KB · Views: 3
  • P 1.jpg
    P 1.jpg
    105.5 KB · Views: 3
Kati ya kampuni iliyojipanga tanzania ni hii ya TPC . Dah! Good memories . Nakumbuka back in the days kwenda kuogelea mferejini, kuvua samaki na pia kula miwa ilochomwa. Yote kwa yote kiwanda cha tpc ni sehemu ya kumbukumbu nzuri na mbaya zaidi katika maisha yangu binafsi.
 
Acha propaganda wewe, bila shaka umetumwa na JAFARI, hakuna kiwanda kinacho nyanyasa wafanyakazi kimaslahi kama TPC, wastaafu wote wa TPC wako hoi, kisingizio nyumba +maji + umeme bure, hiyo ni danganya toto, wana JF nimefanya kazi pale kiwandani, musidanganywe, viongozi wa serikali wakifanya ziara wafanyakazi wanabanwa wasiongee, viongozi wa wafanyakazi wote ni VIKARAGOSI wawazungu... Viongozi wetu wamepigwa upofu.
 
Kati ya kampuni iliyojipanga tanzania ni hii ya TPC . Dah! Good memories . Nakumbuka back in the days kwenda kuogelea mferejini, kuvua samaki na pia kula miwa ilochomwa. Yote kwa yote kiwanda cha tpc ni sehemu ya kumbukumbu nzuri na mbaya zaidi katika maisha yangu binafsi.
Aisee. Nimekutana na mtu wa TPC mwenzangu. Niajee aisee?
 
Niliwahi kukaa pale,,,maisha ni Hata sana,,,vp kuhusu Sekta ya michezo maana kuna kipindi football inapigwa hatari pale Limpopo Stadium na gofu,,,mambo ya tpc day vp tena!!
Nimezaliwa TPC. Life was so good enzi hizo aisee. Marehemu Mzee amepiga kabumbu kubwa sn hapo Limpopo miaka hiyo
 
Back
Top Bottom