Tanzania kujenga kiwanda cha kuunda magari ya Toyota

Raisi Magufuli hii sasa ni sifa, embu punguza kidogo, utaua watu kwa vihoro, pole pole waache kwanza wadigest habari za Bomba la mafuta na ajira 10, 000 ulizotuletea, nimesikia hata makubaliano ya SGR tayari, Duh hii ni kasi ya kimondo!
Ndugu yangu Tutegemee mengi zaidi
Huyu ndio chaguo la Watanzania na mtetezi wetu
 
ngumi nyingine ya kwenye korodani kwa KENYA ngumi nyingine ya kwenye chembe kwa UKAWA

VIVA MAGUFULI

Hehehe!! Kwani UKAWA hampo pamoja kwenye hii safari????
Duh! Ndio matatizo ya Afrika, yaani upinzani wa Kiafrika ukiamua kupinga unapinga kila kitu hadi hata maendeleo ya ndani.
Wakati wanajinadi kwenye kampeni, huwa wanasema watafanya maendeleo kwa uzalendo, sasa huwa sielewi kwanini wanaishia kupinga kila kitu wanapokosa kuingia ikulu.

Uzalendo zero kabisa.
 
Umezungumza ukweli
UKAWA hawana jema la Serekali
wao kila kitu Kupinga
Nchi tulizo kopa siasa wanapinga kwa hoja za maana
ndio maana serikali zao huwasikiliza wapinzani
na kufuata kila kitu
 
Umezungumza ukweli
UKAWA hawana jema la Serekali
wao kila kitu Kupinga
Nchi tulizo kopa siasa wanapinga kwa hoja za maana
ndio maana serikali zao huwasikiliza wapinzani
na kufuata kila kitu
Wale hawana njaa
Wala sio Wasaka Tonge
Wapo radhi kuwajibika
Kukosolewa
Jaribu ukosoe hawa wetu uone
 
Back
Top Bottom