Dio
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,274
- 158
yeah tigo nawakubali ila watu tunaotumia simu wanatubana sana.Na kubaliana na wewe 100% tigo wako safi, ila kuna vitu hawajaweka wazi kwa wateja wao ndio maana wengi wanalalamika.... Ila kwa upande wangu na enjoy sana kwa kutumia huduma ya tigo,iko fast na inakidhi mahitaji yangu....Ila bado gharama za mtandao kwa upande wa data ziko juu sana kiasi kwamba kama hauna kipato cha kutosha kupata hii huduma kwa usahihi wake ni ndoto kwa baadhi ya watu....