Tanzania inayonifanya niwaombe msamaha wana JF

Mwanakijiji, nitaendelea kubakia mwana ccm ila kuna wakati naona inabidi kusema yale yanayoumiza moyo kama nilichoona hapa. Kimeniumiza sana moyo kwa kweli.

Si vibaya ukiamua kubaki mwanaccm. Unachotakiwa kufanya sasa hivi ni kuwa sauti ya mabadiliko ya kweli ndani ya chama hicho na serikali ambako kumejaa mafisadi. Ukiweza kufanya hivyo basiwengi wetu tutakuheshimu sana. Hapa tuna mwanaccm mwingine FMES haoni aibu kujitambilisha hivyo lakini siku zote yuko mstari wa mbele kupigania haki na maslahi ya Watanzania badala ya mafisadi ndani ya chama na serikali.
 
Kuna wakati inabidi ubaradhuli wako uuweke pembeni. Watu wanataka kujadili mambo ya maana kuhusu hatima ya nchi yetu lakini wewe unaleta mambo yasiyo na kichwa wala miguu!! Mtu mzima hovyoooo! Kuna forum ya jokes nenda huko wala hakuana atakayekusumbua haya ukiandika upupu wa namna gani.

Kwa leo bubu ataka kusema ntakumezea mate !

Kwani hiyo video aliyoleta Masaka inaongelea nini ? umeiangalia ? Kama hujaangalia basi subiri nikubrief. Inaongelea hali ngumu ilivyo huko wanja la fisi, watu wanatumia nyasi, unga, umalaya kwa saaaana, kukabana kabali ndo usiseme.... Sasa kwani vitu hivi havitokei Billicanas ?? Uongo uko wapi ? au hujawahi kwenda huko billicanas (kwa mbowe) ??

Sitoshangaa kama ulikuwa ukichangia hii thread bila ya kujua nini kinachoongelewa ! Huwa sipendi kuacha watu wanaonitukana wakipita hivi hivi bila ya kuwajibu lakini naona nikuache tu utembee zako, na upunguze hayo matusi maana kila mtu anajua matusi ! au unataka wengine waanze kufungua mabomba yao ?

Haya mheshimiwa naona basi uniambie kama huo upuuzi unaotokea huko wanja la fisi kama hautokei billicanas !!
 
Angalia na hapa jinsi ya Albino wanavyouwawa Tanzania halafu Mkurugenzi wenu wa Ikulu anasema watu wasiandike magazetini wala kuongelea

Ceeque wewe ni m-zimbabwe?
 
KM nilichotaka kusema ni kwamba kuna wakati wa utani na wakati wa kujadili mambo muhimu kuhusu hatima ya nchi yetu. Masaka aliyoyaona katika hizi video yamemfumbua macho kuyajua yale ambayo wengi wetu tunayajua achilia mbali hata kama yanatokea Bilicana na sidhani kama hiyo video aliyoiona ingemgusa kiasi hicho kama ingekuwa imechukuliwa Bilicana na siyo uwanja wa fisi maana kuna tofauti kubwa sana katika mazingira ya uwanja wa fisi na ya Bilicana.

Kuhusu matusi, niwie radhi ni hizi frustration kuhusiana na nchi yetu ambazo zinaudhi na kusikitisha mno. Uzuri ni kwamba sikutumia yale ya nguoni maana hapa si mahali pake.
 
hamna neno nimekuelewa !

Sawa ni kweli kabisa kwamba mazingira ni tofauti sana tena sana kati ya billicanas na wanja la fisi ! Lakini hapa kinachomatter zaidi ni nini ? Mazingira ya wanja la fisi au vitendo vinavyofanyika pale ndio taabu ? Kwa ufahamu wangu ni both, mazingira na vitendo, na mazingira ya pale wanja la fisi ni sawa sawa tu na baadhi ya maeneo mengine, lakini kikubwa zaidi ni vitendo vinavyofanyika pale ambavyo pia vinafanyika billicanas ! Kwa kifupi nasema kwamba mazingira tofauti lakini the same sh*t happens in bills as well ! Iwapo tutabadirisha mazingira tofauti na kuwa safi na ya kuridhisha, na vitendo vikibaki vile vile then we will be doing nothing !!
 
Kada,

Tafadhali sana nakuomba sana kwa heshima zote usilinganishe matukio mawili tofauti kabisa hapa. Ukitaka kuongelea vitendo vinavyofanyika uwanja wa fisi na kuvilinganisha na bilicanas, basi kuna mwingine atavilinganisha vitendo hivyo na kinachoendelea kwenye vyuo vikuu au sehemu zingine maarufu ndani ya Tanzania.

Kinachoumiza kwenye hii habari ni sababu na sio vitendo, watu hao wa uwanja wa fisi wamelazimishwa na hali zao za maisha na umasikini uliokithiri Tanzania kupitia hayo yote wanayopitia hapo uwanja wa fisi. Ukifuatilia hiyo story ya Eliza na yote yaliyompata yeye na wenzake wote, utaona kuwa yaliyotokea kwake na wenzake ni makubwa kuliko ushindi wa kisiasa. Hao wa bilicanas na chuo kikuu cha Dar es salaam au maeneo mengine maarufu hapo Tanzania wanafanya hivyo kwa kupenda kwao.

Mkuu wangu, kama utalitizama hili nalo kwenye mtizamo wa kisiasa basi sijui ni kipi unaweza kuacha siasa pembeni. Tafadhali sana nakuomba uweke siasa pembeni angalau kwenye jambo la uchungu kama hili.
 
..yaani wewe ni bora ukae kimya tu! maana unatia kichefuchefu hata Reglan IV haitafua dafu!!! haya twambie bwa'kubwa wewe, iweje usijue yanayojiri Uwanja wa Fisi miaka yooooooooooooote hii!!?? mie nimesikia story za uwanja wa fisi kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la tano, mwaka 1988....na hiyo ni takribani miaka ishirini ilopita!!! je wewe unaishi darisalma ipi?? je wewe unaishi Tanzania ipi!?? au mwenzetu ulikuwa una-haibaneti kwenye polars huko na leo hii ndio umetuibukia?? au ulikuwa kwenye Moon, na leo ndio umelegea (umelejea)!!?? au ulikuwa kwenye coma na leo ndio umezinduka?? ulikuwa wapiiiiiiiii?? yaani huoni hata aibu kujishaua hapa, "ati habari hizi kwangu ni ngeni."!!!shame on you.

Masaka, todayz worst person in the world....

Na wewe nesi wa kiume hii kwoti ya Keith inaanza kuboa sasa....tafuta ingine basi...
 
..yaani wewe ni bora ukae kimya tu! maana unatia kichefuchefu hata Reglan IV haitafua dafu!!! haya twambie bwa'kubwa wewe, iweje usijue yanayojiri Uwanja wa Fisi miaka yooooooooooooote hii!!?? mie nimesikia story za uwanja wa fisi kwa mara ya kwanza nikiwa darasa la tano, mwaka 1988....na hiyo ni takribani miaka ishirini ilopita!!! je wewe unaishi darisalma ipi?? je wewe unaishi Tanzania ipi!?? au mwenzetu ulikuwa una-haibaneti kwenye polars huko na leo hii ndio umetuibukia?? au ulikuwa kwenye Moon, na leo ndio umelegea (umelejea)!!?? au ulikuwa kwenye coma na leo ndio umezinduka?? ulikuwa wapiiiiiiiii?? yaani huoni hata aibu kujishaua hapa, "ati habari hizi kwangu ni ngeni."!!!shame on you.

Masaka, todayz worst person in the world....

Na kweli nimekubali kuwa mimi ni worst person in the world. Sidhani kama kujua kuwa mimi nimezaliwa Dar au mkoani au kujua kuwa mimi naishi Tz au nje ya Tanzania inasaidia nini maisha ya kina Eliza na wenzake.

Wewe umekulia Dar na umeyajua mambo ya uwanja wa fisi kuanzia 1988. That's fine, je kujua kuwa mimi nimeyajua haya lini itasaidia nini kwenye huu mjadala wa maisha ya kina Eliza na wenzake?

Siwezi kubishana na wewe katika hili so unaweza kusema chochote utakachopenda kuhusu mimi. Hili swala ni zaidi ya maisha ya kila siku ya kubishana hapa JF. Mimi nimeeleza mtizamo wangu kuhusu maisha haya ambayo najua kabisa kuwa serikali yangu ingeweza kuwa imefanya makubwa kusaidia.

Kama ukitaka kugeuza huu mjadala kuwa attacks dhidi yangu au chochote kingine kile, wewe go ahead and do that ila nakuhakikishia kuwa sitakuwa kwenye huo ubishi.

Asante.
 
bwana Masaka sijui kichaka kama kweli umechukia mafisadi itabidi ubadilishe signature yako maana news ni kwamba huyo JK naye ni fisadi mkubwa..usije ukasema hii habari ni ngeni kwako kama uwanja wa fisi.
 
Wakuu nashukuru kwa wale wote walio sympathise espec YournameisMINE.
Nimeanzisha thread ya kuomba msamaha ili nifunguliwe...Ni matumaini yangu nitasamehewa na kufunguliwa kwani nimeshaahidi kutowakosoa wakuu ama kuwaita majina ya kifisadi.
Ahsanteni waungwana.
Jmushi1
 
ume-miss point kama kawaida yako na wengine wengi hapa JF!! sitaki kujua kama umezaliwa Dar, sina haja ya kujua kama unaishi nje au ndani ya TZ......nilikuwa nakuweka kwenye spotlight kwamba unanuka u-elit au labda unajipakazia!!! it is almost impossible kutokusikia juu ya uwanja wa fisi kama umeishi Dar hata kama ni kwa mwaka tu......swali langu lilikuwa ni kivipi wewe huyajui haya siku zooote hizi??? umefanya hii kitu i-sound mpya kabisa, na hilo pia ni tatizo langu kwa upande mwingine!!! kama upo humble kihivyo na unajari hali za kina Eliza, basi ulitakiwa uyajue haya siku nyingi na sio leo tena kupitia youtube!! hiyo tu pekeyake inazihirisha ni jinsi gani wewe na mabwanyenye wenzako huko ndani ya SISIEMU mnavyoishi kwenye bubble (self imposed isolation, kadunia ka pekeyenu...hamjichanganyi kujua hasa ni yepi matatizo ya wananji)...hakuna kilichobadilika, na narudia tena kwamba Masaka, todayz worst person in the world.

Nyani Ngabu, shut up! giza limeshaingia...kakojoe ukalale!!.

...njoo nikukojolee basi.....bwahahahahaaaaaa
 
Ceeque wewe ni m-zimbabwe?
Mkombosi,
Mimi ni Mtanzania halisi lakini watu kama kina Salva Rweyemamu na viongozi wengine kwenye Serikali, hawawakilishi maslahi yangu kama Mtanzania. Kwa hiyo sidhani Ukurugenzi wake wa Mawasiliano pale Ikulu utakuwa na manufaa kwa Taifa langu la Tanzania au kwa wananchi wengine kama mimi ambao hali zao za kimaisha na Kiafya zinazidi kudidimia kila siku huku Mafisadi wachache pamoja wageni wao kutoka nje wakifaidi matunda yote. The Man ought to be FIRED.
 
Mi nilishasema kuna "JF Mtandao."

Haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wewe kuwadi nini wewe....nani mtandao hapa? Nyani is his own man...he makes his own rules and breaks them whenever he feels like it...you can't tell me nothing...bwoy....
 
that's all you got mamas boy!!? ngoja nikuache wasije na mie kunifungia bila maelezo ya maana...maana na wewe ni miongoni mwa "JF Mtandao," hambishiwi wala kukosolewa.....nyerereism at its best!! shame.

Ona sasa...umeshaanza mi-conspiracy theory.....kalale sasa
 
Ona sasa...umeshaanza mi-conspiracy theory.....kalale sasa

Nyani mkuu nawe unaingia katika mtego huu wa watu kukutoa katika mada na kuingiza vijimada ndani ya mada ? Najua mna jokes zenu lakini hapa kuna sehemu ya jokes nadhani ama nakosea ? Kule ndiyo mahala pale wakuu.
 
hamna neno nimekuelewa !

Sawa ni kweli kabisa kwamba mazingira ni tofauti sana tena sana kati ya billicanas na wanja la fisi ! Lakini hapa kinachomatter zaidi ni nini ? Mazingira ya wanja la fisi au vitendo vinavyofanyika pale ndio taabu ? Kwa ufahamu wangu ni both, mazingira na vitendo, na mazingira ya pale wanja la fisi ni sawa sawa tu na baadhi ya maeneo mengine, lakini kikubwa zaidi ni vitendo vinavyofanyika pale ambavyo pia vinafanyika billicanas ! Kwa kifupi nasema kwamba mazingira tofauti lakini the same sh*t happens in bills as well ! Iwapo tutabadirisha mazingira tofauti na kuwa safi na ya kuridhisha, na vitendo vikibaki vile vile then we will be doing nothing !!

KM, Bilicana ni mahali unaingia na kutoka na kule uwanja wa fisi kunakohusiana na story ya Eliza ni nyumbani kwake. Bilicana unaweza kuamua kutoenda lakini huyu Eliza ama kwa kutokuwa na kipato au kutokana na kipato kidogo hawezi kuafford kuishi ssehemu yenye ahueni ukilinganisha na UWF. Na Watanzania wenye story kama ya Eliza wanazidi kuongezeka kila kukicha, kama hutaki kuiona hiyo tofauti basi hiyo ni juu yako.
 
Masaka,

I can tell you, watanzania wengi unaoona tunapiga kelele, HATUICHUKII CCM KWA SABABU YA USHINDANI WA KISIASA...HAPANA! Kwa sababu wengine humu ni INDEPENDENTS, MAPENZI YETU NI KWA NCHI YETU...Lakini tumefika point tunashindwa kuvumilia. Jamaa wanazidi kutufanya masikini daily! uliyoyaona Uwanja wa Fisi ni tip of an iceberg. Watanzania wanaishi maisha magumu saaana. UMASKINI WA WATANZANIA UTAUELEWA UKIUOANA, KWA TAKWIMU ZA SERIKALI NA BENKI YA DUNIA..HUTAUELEWA KAMWE! By the way Tanzania siyo Dar au Arusha tuu. Kuna millions and millions huko vijijini ambao wao yaani nadhani walishakata TAMAA na maisha. Lakini kwa sababu wengine ni optimistic, bado tunaamini Tanzania can change for the better. Wengi tuko frustrated na huu UFISADI na kulindana na mafisadi...It pains!

Masaka, pole kama hukukulia Tz au msure wako alikuwa ni diplomat kwa miaka mingi sana (and you feel obliged to cherish CCM..) Hayo maisha unayoyaona, wengine, wengi tuu humu, tumeyaishi kwa sana. Kwa hiyo wengi wetu humu tunaongea from experience. We are just trying to be a voice of our fellow compatriots tuliowaacha nyuma!Ila sema CCM haitusikilizi..sasa inapotokea na wasomi kama wakina Masaka, mkishapewa cheki zenu..mnaanza kuwaunga mkono wazidi kutugandamiza..basi....tunachoka!
 
Jamani mnashangaa mtu wa dar kutojua uwanja wa fisi, tupo wengi hapa dar tulio kwenye JF wangapi wamefika uwanja wa fisi? kusikia uwanja wa fisi na kufika ni tofauti na kufika mchana na usiku ni tofauti na kufika usiku saa mbili na saa tisa ni tofauti, pale shughuli zinaenda na wakati lakini kila wakati pako active akuna mchana wala usiku ila rate ya activity ndo zinatofautiana.

Ukifika kati ya saa 3 usiku na saa tisa unaweza kumwaga machozi ndoo nzima kama una mtoto maana utagundua kuwa kuna watoto kati ya miaka 9 na 15 wako pale wanatafuta pesa ya kula kuanzia wakike mpaka wa kiume wakifanya kazi tofauti, wakike wakitumia miili yao kujipatia atleast sh. 1000 kwa usiku ili kupata pesa ya kula kesho yake, wakati wakiume wakiuza nyama zilizooza zisizojulikana ni za myama gani kwani hata sh. 200 unapata nyama ya kuchoma.

ikifika saa 9 wadada wanapokea mpaka sh. 200 ili atleast aweze kupata chochote cha kumsaidia kesho yake asubuhi, hawa wanafanyia kazi mdomo kwani pesa wanayopata ni ndogo sana kiasi cha kutotosha kufanyia kitu kingine.

ukitaka kupata taharifa za hawa wadada fika kwenye kituo cha huyo dada mwaituka kilichopo tandale kinaitwa kiwohede utawakuta watoto wadogo waliochukuliwa kutoka uwanja wa fisi wakiwa wengine tayari wameathirika na ukimwi, machozi lazima yamwagike.

Kwenye miji yetu mingi hivi viwanja vipo vingi tu, Mwanza kuna sehemu inaitwa makoroboi, waliko hapo wanaweza kufanya uchunguzi wao wakatupa taharifa.
 
Back
Top Bottom