shindoooooo kwa jina la yesu pepo mchafu wa ushoga na ata wanaokula hizo pesa za wanaotaka kutuletea hiyo laana na ziwalaaan
Hivi kwenye bunge letu tukufu hatuna wake kwa waume ambao ni mashoga na wasagaji wanaojulikana na watanzania wamewachagua au wameteuliwa? Kama wamo basi ndipo patakapo anzisha sakata la kuuhalalisha ushenzi Tanzania. Jamani tusichague wabunge Kama hao. Kata mti kwenye shinsshins