Tanzania imekwisha??

Mapinduzi ya kijeshi hayajawahi kuleta neema popote, ila taabu tu. Subiri Rwanda mnayoisifia watakavyo chinjana pindi wahutu wakirudi, ni suala la muda tu na haitapita 20 yrs bila mapigano Rwanda.
 
Mapinduzi ya kijeshi hayajawahi kuleta neema popote, ila taabu tu. Subiri Rwanda mnayoisifia watakavyo chinjana pindi wahutu wakirudi, ni suala la muda tu na haitapita 20 yrs bila mapigano Rwanda.



Kama Rwanda wanafanya vizuri ktk maendeleo kwanini wasisifiwe?hy dua yako unayowaombea wachinjane tena I think sio kitu kizuri cha kuzungumza,tukubali kua viongozi wetu hapa tz wana kaulimbiu nyingi kuliko matendo,most of them wamegeuka kua wahubiri tu na wanyoosheaji wazuri wa vidole kwa wendgine,This is not atrend at all!!!!!
 
haya yote ni marudio ya michango iliyotolewa hapa JF siku nyingi sana.

Nd. Magezi,
Sasa wapya wafunge midomo kwasababu wakuu akina Bluray na Magezi mshayajadili haya masuala huko nyuma??????
Tupeni basi hitimisho lenu lilikuwa nini???? If you did not come up with anything useful at the end of your discussions, so why not discuss these issues again and again till we realize something concrete???? Au wanaukumbi wapya wawe kazi yao kukufuatilieni nyinyi wa zamani mliandika nini tu - kama Nd. Bluray alivyoandika?????
Sio mwenye kustaajabu kwanini ufisadi hautokwisha Bongo. We are the embodiment of it in every sense!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom