TANZANIA I.T YOUTHS ACADEMY ( Kwa kuendeleza vipaji)

Salamu Wakuu.
Nina wazo kwamba wizara au Taasisi husika au hata wadau watakaoweza kukaa kuunda Academy ambayo itaweza kuendeleza vipaji tofauti vya technology kama vile programming, web design, animation, hardware, graphics na vitu vya namna hiyo. Mtaani kuna teens wengi tu ambao wanafanya hivi vitu for fun. Hii Academy ndio ita act kama THT (Tanzania House of Talent) ya I.T. Hata pale wafanyakazi watakapohitajika, hii taasisi itakuwa ina recruit tu. Ni kama inavyokuwa kwa soccer schools. Mnaonaje wakuu? Nawasilisha.

Big Up!! Kiukweli nchi kama india inapiga hatua sana kwa kuwekeza katika sector ya IT.. Sisi pia tunaweza.. Kama serikali imeshindwa kusimamia, basi nasi tuna uwezo wa kuya implement mawazo haya.. Nashukuru kuna watu wanajali..

Binafsi nimekua na wazo kama hili.. Na ilifikia wakati nikaanzisha facebook page kwa ajili ya hii idea.. Nilitengeneza facebook community nikaiita Bongo-IT community Bongo-IT Community | Facebook... Basically facebook si kila mtu ana visit, ila lengo ni kua hapo baadae kuwepo na website inayowakutanisha wana IT wa Tanzania popote walipo duniani.. Binafsi ni Computer scientist, niko tayari kushiriki katika michakato hii..

Napenda kujitolea kushirikiana na wengine, tuanzishe Website kwa ajili ya kuwaunganisha watanzania wote wana-IT.. Pia, ingependeza tukachagua viongozi kati yetu watakaosimamia uunganishaji wa wana-IT wote duniani.. Na hata kama tutakua na skype account, basi tuteue mtu atakaetuunganisha sote, na tuwe na mahali pa kukutana na kujadili mambo yetu, either kupitia mtandao au kukutana physically.. Idea hii ni nzuri sana, haitakiwi kuishia hapa.. Let us move into the next step!!!
 
That's great! Einstein since you are a comp. sci, you take it from here. Organise everything. Tumia hii thread kufanya initial processes.
 
Back
Top Bottom