Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 202
Salamu Wakuu.
Nina wazo kwamba wizara au Taasisi husika au hata wadau watakaoweza kukaa kuunda Academy ambayo itaweza kuendeleza vipaji tofauti vya technology kama vile programming, web design, animation, hardware, graphics na vitu vya namna hiyo. Mtaani kuna teens wengi tu ambao wanafanya hivi vitu for fun. Hii Academy ndio ita act kama THT (Tanzania House of Talent) ya I.T. Hata pale wafanyakazi watakapohitajika, hii taasisi itakuwa ina recruit tu. Ni kama inavyokuwa kwa soccer schools. Mnaonaje wakuu? Nawasilisha.