Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,126
- 725
Habari zisizo rasmi baada ya Uingereza kuleta kizungumkuti serikali kwa kupitia waziri wa mambo ya nje kufikiria uwezekano wa kujitoa kwenye jumuiya ya madola na kujiunga OIC. K wa mujibu wa source inaonekana kuwa hii huwenda ikapata baraka mapema sana kutokana na hali ya uchumi inavyokwenda sasa nchini.
Wananchi wataombwa kuacha udini na kujali utamaduni ili kubariki kujiunga na OIC kwa dhumuni la kujikwamua kiuchumi baada ya mfadhili wetu uingereza na nchi nyingine za ulaya zinazosubiriwa kutangaza kuunga mkono uingereza kuweka hicho kama kigezo kikuu cha msaada.
Nchi za scandnavia huenda zikatoa nazo tamko hivi karibuni kuweka kigezo cha haki za binadamu (including MASHOGA) kama sababu ya nzito ya kupata msaada chanzo kimeeleza.
Membe na binamu yake JK hawana njia mbadala isipokuwa OIC chanzo kimeelezwa.
OIC: The Organisation of Islamic Cooperation (OIC) (formerly Organization of the Islamic Conference) is the second largest inter-governmental organization after the United Nations which has membership of 57 states spread over four continents. The Organization is the collective voice of the Muslim world and ensuring to safeguard and protect the interests of the Muslim world in the spirit of promoting international peace and harmony among various people of the world.
The Organization was established upon a decision of the historical summit which took place in Rabat, Kingdom of Morocco on 12th Rajab 1389 Hijra (25 September 1969) as a result of criminal arson of Al-Aqsa Mosque in occupied Jerusalem
Hapo ndipo pale yale maamuzi magumu tena.
Hapo hakuna cha OIC wala nini ndugu yangu, ina maana Membe anataka kutuletea siasa za Nigeria hajui kuwa hapa ni Tanzania. Ni afadhali tubaki bila msaada wowote ili tujitume kufanya kazi kuliko matatizo na hao mabwana. Angalia nchi zote wanachama wa OIC ni vurugu tupu, kupiga domo kuanzia asubuhi mpaka jioni. Kwani ni lazima ccm iongoze, sisi watanzania tutaangalia faida na hasara zilizopo. Lazima tuufikirie ujumbe wa waziri Cameruni alikuwa na nia gani wakati anajua nchi nyingi za Afrika hazikubaliani na ushoga. Inawezekana na wao wamechoka kutumikia matumbo ya viongozi wanaohitaji masaada kwao wakati wananchi wao wanafanya kazi usiku na mchana. Tanzania fanyeni kazi acheni kupiga domo. Kama serikali haitimizi malengo ya wananchi uamuzi tunao ya kuwaondoa.