Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
Wafanye haraka sana maana simu feki ni kero sasa
waziblock tu maana hayo si ndio matakwa ya watawala wa magharibi kuikandamiza Uchina
Kwa nini iwe specifically kwenye simu bandia tu wakati nchi imejaa karibu kila kitu fake nilitegemea waanze na vipodozi madawa na vyakula ambavyo vinaleta madhara makubwa ya moja kwa moja kwa watumiaji.
Na serikali inajiwajibishaje kwa kuruhusu vitu vya kutuangamiza viingie kiholela ilihali **** watu walioajiliwa na kulipwa hela nyingi bure kwa minajiri yakuzuia na kuharibu bidhaa feki zinazoingia nchini lakini badala yake wanahongwa na wafanyabiashara walafi kuingiza bidhaa bandia.
Siku moja moja unawaona kwenye luninga wanachoma bidhaa bandia lakini ukienda Kariakoo unakuta maduka yamesheheni bidhaa bandia tupu unajiuliza hao maofisa hawazioni au wakishakatiwa mchezo unaisha.
Tatizo la bidhaa bandia ni kubwa mno nadhani umefika wakati wakuliwekea sheria kali nakulipa kipaumbele cha aina yake.
nitajuaje kama simu yangu ni feki.
Je TCRA washafikiria ni asilimia ngapi ya wa tz wanamiliki counterfet mobile phones? Kabla Kenya hajafanya huo uamuzi TCRA walikuwa hawajui kuwa tz kuna sim fake? Wawajibike kuletea taifa hasara na hii yote ni kwasababu ya Corrupt, Nepotic and Impunitic government! Dawa fake, Vyakula fake, all utility fake utaniambia tuwaviongozi wazalendo, they are there just to serve their interests! Let us support M4C!
TCRA ilijua mapema kuwa kuna simu feki ila ni kwamba Kenya wanatekeleza makubaliano haraka maana kuna intelijensia ya uchumi inayofanya kazi kwao, wanajua kuanza kwao kabla ya wengine kutawanufaisha maana hizo feki kwao zitakuwa sio hasara zitatupwa Tz, Ug, Rwanda na Burundi.. kwetu na wengine itakuwa ni hasara maana pa kutupa patakosekana.the initiative to switch off fake mobile phones was agreed on in a meeting of the East African Communication Organization (EACO).
Hata kenya sio idea yao wenyewe.. ni idea ya pamoja angalia hapo chini.. au ndio uvivu wa kusoma na kuwasifu jirani zetu kwa kila kitu? Mbona limezungumzwa siku nyingi mpaka sheria imewekwa kabla Kenya hawajatekeleza..hatajawahi kutoka na idea yetu wenyewe,,, kazi kuiga iga tu,,,,,, ila tutafika tu
the initiative to switch off fake mobile phones was agreed on in a meeting of the East African Communication Organization (EACO).
Electronic and Postal Communications (Central Equipment Identification Register)
GOVERNMENT NOTICE NO. 417 published on 9/12.2011
THE ELECTRONIC AND POSTAL COMMUNICATIONS ACT
(CAP.306)
Na sisi tulianza kusajili line za simu na Kenya ndo wakafuata. Hapa unasemaje??
Jamani hii si copy and paste kama wengi wanavyodhani. Hii ni vita ya kibiashara dhidi ya uchina.
Wakubwa wametoa amri so ni lazima litekelezwe
TCRA ilijua mapema kuwa kuna simu feki ila ni kwamba Kenya wanatekeleza makubaliano haraka maana kuna intelijensia ya uchumi inayofanya kazi kwao, wanajua kuanza kwao kabla ya wengine kutawanufaisha maana hizo feki kwao zitakuwa sio hasara zitatupwa Tz, Ug, Rwanda na Burundi.. kwetu na wengine itakuwa ni hasara maana pa kutupa patakosekana.
Na sisi tulianza kusajili line za simu na Kenya ndo wakafuata. Hapa unasemaje??
Hata kenya sio idea yao wenyewe.. ni idea ya pamoja angalia hapo chini.. au ndio uvivu wa kusoma na kuwasifu jirani zetu kwa kila kitu? Mbona limezungumzwa siku nyingi mpaka sheria imewekwa kabla Kenya hawajatekeleza..