Tanzania: Fake phones to be blocked soon!

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Written by Rose Athumani | The Daily News | October 14, 2012

afon.jpg


TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off.

Speaking to "Sunday News' the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Acting Corporate Communication Manager Mr Semu Mwakyanjala said the regulatory authority is first planning to educate the public on the need to buy genuine mobile phones.

"It is a long term plan to switch off counterfeit mobile phones in operation, for now we are only focusing on educating the public into buying genuine mobile phones," Mr Mwakyanjala noted. He said the move will eventually be taken by all the other East African Member states, including Rwanda, Uganda and Burundi.

The Uganda Communications Commission (UCC) was recently quoted as to saying that counterfeit gadgets will be switched off at the end of November this year. A survey conducted by New Vision in Uganda showed that mobile phone dealers in Uganda are feeling the pinch as customers no longer want to purchase the ‘Made in China' phones believing most of Chinese phones are fake.

Mr Mwakyanjala said the aim of blocking the counterfeit mobile phones is to boost security, noting that for the exercise to work, the regulatory authority depends on cooperation of all stakeholders in the communication industry. Explaining the software used for blocking counterfeit phones,

Mr Issac Mruma from TCRA Consumer Affairs department said the Central Equipment Identification Registrar (CEIR) is employed to identify fake mobile phones and then block them. Mr Mruma said the country is in the process of acquiring the software, however it will only be implemented after the public is aware of the advantages of genuine mobile phones.

Although Mr Mwakyanjala said the initiative to switch off fake mobile phones was agreed on in a meeting of the East African Communication Organization (EACO). The Rwanda Utilities Regulatory Authority (RURA) was also quoted saying that it will soon announce the date for switching off the fake mobile phones.

RURA said it is working on the methodology to disconnect fake phones off their network and they will work with telecommunication companies to execute the exercise. RURA noted that it will use the International Mobile Equipment Identity (IMEI) number through network service providers to differentiate between fake and genuine handsets.

In Tanzania early this month the deputy minister for Communication Science and Technology Mr January Makamba was quoted in a local daily saying that the country is working out plans on how to deal with fake handsets in light of Kenya's move to switch them off. Mr Makamba said the fear is that those fake phones from Kenya will flood the Tanzania market, promising to convene a meeting with TCRA to deliberate on the issue.

Reliable sources that declined to be named had noted that Telecom service providers are reluctant for government to institute the move to switch off all fake mobile phones, for fear of losing customers.

However, recently Vodacom Tanzania Managing Director Mr Rene Meza was quoted saying that the move is commendable since it is aimed at protecting consumers' rights and heavy investments made by multination companies. TCRA is participating in the Financial Service and Investment exhibition week at Mnazi Mmoja grounds, where it is giving presentations to small and medium entrepreneurs on financial issue.
 
Public cigar smoking to be banned(kenye-YES, Tanzania=still longolongo). Fake chinese phone banned in kenya, tanzania bla bla kama kawa
 
Mbona walikataa leo vipi... wameona aibu?. Na mpaka muda huu simu fake zilizokuwa Kenya tayari zimejaa nchini!
 
nitajuaje kama simu yangu ni feki.
Hatua ya mwanzo hako ka bei kake.!
Halafu angalia apps zake.!
Nyingi ni more than one simcard holder.
Loud and noisy...!
uki pair kwa blue tooth inakuja jina lingine kabisa.
Wakati mwingine ni shughukli pevu kuzi configure na internet
HAyo ni machache tu ndugu yangu.
 
Je TCRA washafikiria ni asilimia ngapi ya wa tz wanamiliki counterfet mobile phones? Kabla Kenya hajafanya huo uamuzi TCRA walikuwa hawajui kuwa tz kuna sim fake? Wawajibike kuletea taifa hasara na hii yote ni kwasababu ya Corrupt, Nepotic and Impunitic government! Dawa fake, Vyakula fake, all utility fake utaniambia tuwaviongozi wazalendo, they are there just to serve their interests! Let us support M4C!
 
hatajawahi kutoka na idea yetu wenyewe,,, kazi kuiga iga tu,,,,,, ila tutafika tu
 
Lakini hebu tuangalie upande mwingine wa shilingi:

Ni kwanini wananchi wanakimbilia kununua simu feki? Hili ndilo tatizo kubwa zaidi kushinda hata huo uwepo wa simu feki na serikali makini inapaswa kwanza kutatua hilo ndipo kuondoa hizo simu feki iwe hatua ya mwisho.

Empower the citizens and they will automatically opt for the original and most expensive.
 
Je ni lini Watanzania watakuwa na elimu juu ya simu bandia? Ninavyojua mimi kutokana na longolongo za Tanzania hili suala litachukua muda (siri) mrefu, na hatimaye Tanzania kulazimishwa na EACO kufunga simu bandia, kwa kuwa mambo mengi nchi hii huendeshwa kwa shinikizo.
 
hivi sasa hivi kama line haijasajiliwa huwezi kuitumia au mwisho wa kusajiri bado

swali zuri sana mkuu...watu wanadunda kitaa na line mpya bila kusajiliwa...afu mnasema simu fake zizimwe.??? Labda sio bongo nnayoifahamu...ngoja tuone?
 
What will the govenment get out of this? Je tunatengeneza cm hapa kwetu kiasi kwamba tunataka kulinda viwanda vya ndani? Nani karuhusu cm fake kuingia nchini? TBS wanafanya kazi gani? Je serikali itatoa fidia kwa wananchi watakaozimiwa cm zao kwa uzembe wa vyombo vyao kuruhusu bidhaa bandia kungia nchini hali maofisa wao wanatanua na mashangingi yatokanayo na kodi za wananchi? Msinyanyase wananchi kwa interest zenu tafadhali kama mmeshindwa game wekeni mpira kwapani mtoke uwanjani
 
Jamani hii si copy and paste kama wengi wanavyodhani. Hii ni vita ya kibiashara dhidi ya uchina.
Wakubwa wametoa amri so ni lazima litekelezwe
 
It was just a ploy by govt. Sasa hapa unaweza weka nadharia nyingi ikiwemo uwezo wa kutumia jumbe za uchochezi na anonymous wakati wa uchaguzi 2010 na mambo kama hayo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom