Tanzania: A call for change!

Tukiitupa magamba tutajikomboa. Tusifikiri cha kukosa zaidi ya kupata ukombozi wa kweli. Kuna kila sababu na ari ya kuangusha magamba ili tukomboke.
 
Wadau,

Kuna watanzania bado waoga kwamba vyama vya upinzani haviwezi kuachiwa uongozi wa nchi kwani havijajipanga kwa jukumu zito kama hilo. Wenye mtazamo huo, wanasema bora jitihada zielekezwe katika kuifanyia reforms ccm ili iendelee kuongoza. Wengine wanasema kwamba kwa hali iliyofikia ccm, hata ifanyiwe maboresho ya aina gani, mambo yataendelea kuwa hovyo tu.

Binafsi sioni sababu kwa nini watanzania tuwe waoga kuongozwa na vyama vya upinzani. Hivi tutapoteza nini cha ziada tukiongozwa na mojawapo ya vyama vya upinzani? Kwa mtazamo wangu, hapa tulipo tupo nyang'anyang'a. Under ccm, we have lost each and everything.

ccm imechoka kimbinu ,kimkakati,pia kisera kwa maendeleo ya watanzania.nayo inakufa sasa.iacheni ife kifo cha kawaida.natural death.
 
Ni kosa la karne kuuchagua upinzani tutabakia na amani umoja na upendo tukiwa na ccm na c upinzani ni vurugu
 
Ni kosa la karne kuuchagua upinzani tutabakia na amani umoja na upendo tukiwa na ccm na c upinzani ni vurugu
cHAMA CHCHOTE KITAWEZA KUONGOZA NCHI HII BILA WASI WASI IKIWA TUTAKUWA NA KATIBA YA MATAKWA YA WANANCHI WOOTE. watu watiliao mashaka kuongozwa na upinzani, bado wana kasumba ya kuwa upinzani ni ubepari. kat8iba ndiyo inayo mtaka raisi wa nchi aongoze vipi sas kama tukiwa na katiba inayomtaka raisi ashitakiwe kila kifanya madhambi, nani atakuwa tena mpotoshaji umma? weka kifungu kimtakacho raisi ashitakiwe akimaliza muda, utaona hata hao ccm ni kumbe malaika ! kama raisi wa awamu ya kwanza aliwachukia wapinzani, basi hiyo isiwe kasumba ya kuwa mpinzani hawezi kuongoza nchi.
 
Wadau,

Kuna watanzania bado waoga kwamba vyama vya upinzani haviwezi kuachiwa uongozi wa nchi kwani havijajipanga kwa jukumu zito kama hilo. Wenye mtazamo huo, wanasema bora jitihada zielekezwe katika kuifanyia reforms ccm ili iendelee kuongoza. Wengine wanasema kwamba kwa hali iliyofikia ccm, hata ifanyiwe maboresho ya aina gani, mambo yataendelea kuwa hovyo tu.

Binafsi sioni sababu kwa nini watanzania tuwe waoga kuongozwa na vyama vya upinzani. Hivi tutapoteza nini cha ziada tukiongozwa na mojawapo ya vyama vya upinzani? Kwa mtazamo wangu, hapa tulipo tupo nyang'anyang'a. Under ccm, we have lost each and everything.

Usijidanganye mkuu. Sikatai wazo la kubadilisha uongozi lakini angalizo ninalotaka nikuambie ni kuwa, kama umepigika sasa utaendelea kupigika hata chama kingine kikitwaa madaraka. Kupigika kwa mtu kunatokana na mtu mwenyewe wala siyo chama kilichipo madarakani.
 
Kweli kuna haja ya kuwa na serikali inayowajibik bila kujali inatoka chama gani.

Mpaka hapa tulipo kwa mtazamo wangu serikali ya CCM imeshindwa kabisa kuongoza nchi.

Hali inazidi kuwa mbaya sana na hakuna sababu za msingi. Kigezo pekee cha kutetea hali hiyo eti wafadhili haweti hela walizoahidi kwa wakati!!!

Toka uhuru hadi leo bado tunategemea wafadhili!!!

Ni bora tujaribu na dereva mwingine maana aliyepo keshapindua gari zaidi ya maa moja hivyo nae si dereva makini.
 
Watanzania tutabaki wenyewe hapa duniani tunaoongozwa na chama kisicho na dira wala mwelekeo miaka nenda miaka rudi. Ukombozi wa nchi hauwezi kupatikana bila kuiangusha thithiem.
 
Usijidanganye mkuu. Sikatai wazo la kubadilisha uongozi lakini angalizo ninalotaka nikuambie ni kuwa, kama umepigika sasa utaendelea kupigika hata chama kingine kikitwaa madaraka. Kupigika kwa mtu kunatokana na mtu mwenyewe wala siyo chama kilichipo madarakani.
Acha uongo wewe.!!
 
Ni kosa la karne kuuchagua upinzani tutabakia na amani umoja na upendo tukiwa na ccm na c upinzani ni vurugu
hv ni vyama vya upinzani wanaleta vurugu au ni CCM wanawatuma polisi kufanya vurugu? mwenyekiti wenu si amekiri hadharani kuwa mnawatumaga polisi!
kama kwenda kumwua Mwangosi, Ali, na wengine kibao? ngojeni kwanza mashtaka yenu yapo the Hague
 
Usijidanganye mkuu. Sikatai wazo la kubadilisha uongozi lakini angalizo ninalotaka nikuambie ni kuwa, kama umepigika sasa utaendelea kupigika hata chama kingine kikitwaa madaraka. Kupigika kwa mtu kunatokana na mtu mwenyewe wala siyo chama kilichipo madarakani.
  • unajua role ya serikali ilinayotawala katika kuinua uchumi wa wananchi wake?
  • unajua kuwa serikali kupitia wizara zake ndio watunga sera zitakazowainua kiuchumi wananchi wake?
  • unajua suala la uchumi na mfumuko wa bei ni swala ambalo mtatuzi wake ni serikali?
  • unafahamu kodi tunazolipia ndizo zinazowaletea wananchi maendeleo?
  • unajua rasilimali za nchi hii zikitumika ipasavyo badala ya kuibiwa na wachache zingeboresha maisha ya watanzania katika huduma muhimu za kijamii kama elimu, afya n.k
sio unakurupuka na mawazo mgando ukidhani na sisii ni vilaza kama nyie..watu nowdayz wanajua kufikiria. elimu ya uraia tunaifahamu!
unadhani serikali ni ya mapambo? au ipo kwa ajili ya wachache waliopo kuiba rasilimali za nchi kupeleka Qatar, muibe through EPA, KAGODA, MEREMETA, RICHMOND, TANESCO, Mkafiche fedha uswisi! Sisi tuanngalie tu tuseme kama tumepigika tutabaki hivyo hivyo! mrithishane uongozi wa nchi toka kwa baba mama na watoto tuangalie tu!
poor you
 
......... Kupigika kwa mtu kunatokana na mtu mwenyewe wala siyo chama kilichipo madarakani.

Ningekuwa na uwezo wa kuwaondoa watu wa aina hii na kuwaswaga nje ya nchi wakafilie hukohuko, ningefanya hivyo. Watanzania bado tuna safari ndefu sana.
 
Lizzy,

I could read between the lines and realize the frustration you share with million of Citizens in our country. There somewhere we stumbled for the last 50 years. In my perspective, the change should come technically and spontaneous.

To effect the changes, we need new constitution. I said these times and again, we will not make any tangible progress under the same system which has failed us for the last 3 decades.

The current constitution has vested one person with the power to dictate whatever he wants. As a result of this, the government officials are not real leaders but puppets who are there to defend the interest of some powerful individuals. There is no check and balance as it is for other nations. India could go without a leader for months because the institutions are designed to function independently even if an input of single person who could be a PM is missing.

UK
had no clear winner in last election. For one week the country survived without a PM, no problem simply because the institutions are working perfect.
Look at our constitution! President was instructed by the Parliament (representing Wananchi) to discipline corrupt leaders identified in the on going Richmond Saga. At his own discretion he let them walk away with all benefits, not for the national interest but for group interest.

Today, President appoints Judges, RC, Ministers; Armed forces leaders etc without being vetted by the second authority. It is impossible for the appointees to act against their own boss.

I am a strong advocate of constitution reforms as the only way toward true development. Any short cut may give a relief but will not answer the core problem. It will complicate the equation to the expense of our innocent civilian. Wananchi missed an opportunity last October, however there is still a window open before 2015 i.e writing a new constitution. This must be a partisan and a politics. The constitution should be centered on national interest, written by the people and owned by wananchi.
Mdau I totally agree with you that we need a new consititution otherwise we will be suffering the same fate for next 50 years. but if we join our efforts and make a big decision of making sure that before 2015 we have a new and good consititution! that will give us an opportunity to make change. let's keep each other informed especially in the process of writing a new consititution.
 
  • unajua role ya serikali ilinayotawala katika kuinua uchumi wa wananchi wake?
  • unajua kuwa serikali kupitia wizara zake ndio watunga sera zitakazowainua kiuchumi wananchi wake?
  • unajua suala la uchumi na mfumuko wa bei ni swala ambalo mtatuzi wake ni serikali?
  • unafahamu kodi tunazolipia ndizo zinazowaletea wananchi maendeleo?
  • unajua rasilimali za nchi hii zikitumika ipasavyo badala ya kuibiwa na wachache zingeboresha maisha ya watanzania katika huduma muhimu za kijamii kama elimu, afya n.k
sio unakurupuka na mawazo mgando ukidhani na sisii ni vilaza kama nyie..watu nowdayz wanajua kufikiria. elimu ya uraia tunaifahamu!
unadhani serikali ni ya mapambo? au ipo kwa ajili ya wachache waliopo kuiba rasilimali za nchi kupeleka Qatar, muibe through EPA, KAGODA, MEREMETA, RICHMOND, TANESCO, Mkafiche fedha uswisi! Sisi tuanngalie tu tuseme kama tumepigika tutabaki hivyo hivyo! mrithishane uongozi wa nchi toka kwa baba mama na watoto tuangalie tu!
poor you
Achana na huyo kilaza sijui ni mtoto wa diwani au ndo yale mambumbu yasiyojua nyuma wala mbele? halijui hata serikali ina kazi gani kwake! halijui kuwa unaweza kufanya kazi sana lakini kazi yako ikawa si kitu kwa sababu wafanya maamuzi wamefanya maamuzi kinyumbe na kazi yako! haya ndo yale mazezeta
 
Usijidanganye mkuu. Sikatai wazo la kubadilisha uongozi lakini angalizo ninalotaka nikuambie ni kuwa, kama umepigika sasa utaendelea kupigika hata chama kingine kikitwaa madaraka. Kupigika kwa mtu kunatokana na mtu mwenyewe wala siyo chama kilichipo madarakani.
Wewe ni kilaza unayejazwa tumbo na magamba ndo maana hata unavyocheua unatoa harufu ya magamba tu!
 
Well! New constitution. The way things are going, I mean in the TUME YA KATIBA MPYA under Hon Warioba, do you think that we are going to get it written the way we want? I mean the way which will invoke the change we need? Shall we get it in time? I mean before next election? Can CCM allow this ?
 
Back
Top Bottom