Tanzania: A call for change!

kuna mifano mingi sana ambayo inaonyesha kuwa Tanzania inaweza kuinuka ilipo endepo CCM ikiondoka maana mfano angalia Kenya ,Rwanda,Botwana na nyingine ambako kwa africa zipo nchi 15 hawategemei AId za zinaenda vizuri hata zimbabwe kwa sasa wameshika kazi baada ya shida nyingi lkn kwa sasa hata hawana mipango na hiyo aid so the only thing ni kuwaondoa CCm kwa njia yeyote maana bila CCM kuondoka hakuna maendeleo yoyote tena hali itazidi kuwa mbaya.
Njia ya kwanza kabisa tume huru ya uchaguzi na kila raia awe huru kupiga kura
 
Nikweli CCM must go...........but how?
Mbinu za CDM ni kama hazijaleta matokeo mazuri sana kama ilivyo onekana na kutarajiwa na wengi kwenye chaguzi ndogo za udiwani
Nilikuwa nafikiri labda 2020 CDM itashinda lakini kwa trend hii napata mashaka kidogo
 
Ben, unajua mimi nilikuona kama kijana mwenye msimamo na uliefunguka akili kidogo lakini sasa naona kuwa na wewe ni mnafiki kama Slaa, lini nimekutukana? Usijidhalilishe kijana.
@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk na
View attachment 69932
Chadema wataona 2015.Nilimuona Ben Saanane akiponda uchaguzi wa vijana CCM kwamba ni Mnada huku akisahau uchaguzi wa BAVICHA ambao alikua mgombea walienguliwa kwa Rushwa.
Nilimwambia hawawezi kupambana na UVCCM siku walipokua wakirushiana maneno makali na Beno Malisa pale Rose Garden.
Pia yeye ni sehemu ya waliohusuka kupandikiza mamluki Uvccm wakishirikiana na akina Sango kasera na Makondo ambao walikua wagombea makamu mwenyekiti kwa lengo la kuidhoofisha UVCCM ili asipate changamoto andapo atashinda uchaguzi wa BAVICHA.Aachane na CCM.

Kwa mwendo huu Ikulu mtaisikia 2060 maana wasemaji ni wengi

Jose %.jpg
 
Last edited by a moderator:
@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk na
View attachment 69932

Kwa mwendo huu Ikulu mtaisikia 2060 maana wasemaji ni wengi

View attachment 69933

Ni lini nilishawahi kutetea vitu nisivyivijua?

-Sina kundi na CHADEMA hatujengi makundi

-Sina tuhuma za Rushwa.Acha majungu kaka!
 
Last edited by a moderator:
Serikali ya CCM imekuwa ikijigamba kuwa imefanya vitu vingi vya kumletea mwananchi maendeleo lakini kimsingi CCM hakuna kitu ambacho wamekifanya kama an extraordinary, vitu vyote ni vitu vipo katika daily work plan ya head of state!Hivyo kwangu mimi hakuna kitu kigeni ambacho kinaweza kuwafanya CCM watoke kifua mbele!

Kwa matatizo ya wananchi nimengi ambayo yanaweza kutatulika kama kungekuwepo watu wenye mawazo bora ya kuliendeleza hili taifa!
 
KakaKiiza kwanza nimekupa like kwani umenifanya asubuhi yangu iwe njema sana kwa hii post yako. barikiwa.

haya nirudi kwenye mada, CCM haijafanya kitu labda uniambie wewe ulitegemea nn hasa? ama unafikiri hata CDM watafanya nini kwa ajili ya wananchi?
umesema yote yanayofanywa yako katika action plan ya head of state sasa je ulitegemea yafanyike bila mpango kazi?
ninakiri ccm ina mapungufu yake lakn pamoja na mapungufu yake CCM imehjitahd sana kuona japo kila mtanzania anafaidi kitu hata kama ni kidogo, kuna sehem watu wanalia maji ni ya tabu lakan utakuta wana barabara nzuri ama wana avituo vya afya ama hata mashule. tofauti na miaka ya alhaj hassan mwinyi. wafikir kazi iliyofanywa na mkapa na kikwete kwenye upatikanaji wa miundombinu na huduma ni ya kubezwa???

CCM itabezwa hasa kwenye matumizi ya madini yake lkn hili tatizo ambalo haklikuanza siku moja limerithiwa kutoka nyuma na hata ivyo serikal imejitahd mara kwa mara kuleta sera mpya za madini na sheria zake atlest kuiokoa tanzania.

swala kubwa ambalo liko ndani ya ccm kama tatizo ni rushwa, ingawa tuna pccb lkn bado edward hosea hajaweza kudhibiti hali hii na ndio maana bado chama kinaonekana kuwa na madoa makubwa sana. nafikir pia kuna haja ya serikaliya ccm kumsimamisha kiongiozi ambaye moja ya ilan zake ziwe ataiangamza kabisa rushwa katika taifa hili.
 
Last edited by a moderator:
Wamefanya mengi sana, pitia mikataba, namna ambavyo rasilimali zinatumika, EPA, Richmond e.t.c afu unasema hawajafanya kitu!!? you must be kidding KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Kazi kubwa moja wapo ya cdm ni kuwaeleza wananchi juuu ya kodi zao na kazi zake maanake mara nyingi naona hasa tbc wanapiga propaganda wakiwahoji wananchi eti wanaishukuru serikali kwa kuleta maji .....

wakati ni kazi na lazima kwa hio serikali ya kuleta maji na dawa na kila kitu kutokana na michango yetu kupitia kodi
 
Nikweli CCM must go...........but how?
Mbinu za CDM ni kama hazijaleta matokeo mazuri sana kama ilivyo onekana na kutarajiwa na wengi kwenye chaguzi ndogo za udiwani
Nilikuwa nafikiri labda 2020 CDM itashinda lakini kwa trend hii napata mashaka kidogo

wewe ni mtanzania,toa maoni ni mbinu gani inaweza kufanikisha hili.Who is chadema?
 
@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk na
View attachment 69932

Kwa mwendo huu Ikulu mtaisikia 2060 maana wasemaji ni wengi

View attachment 69933

hahahaha,rafiki hayo ni ya chumbani kwetu toka lini ukachungulia uchi wa baba au mama yako?kama huwezi basi huwezi kuyajua yachumbani kwa mtu hata siku moja.hausiki wala nchi haiusikii.

By the way kuna kitu hapo hujakiona,vuipofu kama ninyi hamuwezi kunizuia kusema nitasema,na nitasimamia kile nacho kiamini.

never think kwa mimi kuachana na mme mmoja na kumpenda mwingine kunaweza kuzuia hoja ama kile nachokiamini na kukusimamia.Tena napoona picha hizo ndiyo nakumbuka lipo kusudi la Mungu kwangu.................

mtangangana hapo mpaka Mtaachia mchuma unaondoka huuuooooooooo........

CCM MUST GO.

Mapambano yanaendelea.
 
Ben, unajua mimi nilikuona kama kijana mwenye msimamo na uliefunguka akili kidogo lakini sasa naona kuwa na wewe ni mnafiki kama Slaa, lini nimekutukana? Usijidhalilishe kijana.

Sasa mbona unamuuliza maswali nje ya mada? kwa taarifa yako he's so smart na unajua.najua unataka akuambie yupo kundi la zitto .unamtaka ubaya bure.
 
JAMANI INDIVIDUAL ATTACK HAZIMJENGI MTU.sikiliza LINK njoo na maoni hapa.

POOR MIND DISCUSS PEOPLE SIMPLY BECAUSE THEIR MUSCLES ARE LAZY
 
@majabere utagombana na kijana Ben Saanane bure ule mparaganyiko wa Bavicha alihamia kwa Slaa na ninamshangaa thread zake zote ni kukandia asichokijua mradi akiwafurahisha CDM na kuwa karibu na First lady mbona wa Mbowe hayupo hata kumsikia? leo Mbowe kasalimu kwa Jk na
View attachment 69932

Kwa mwendo huu Ikulu mtaisikia 2060 maana wasemaji ni wengi

View attachment 69933

......

He he heee.huwa napenda jinsi Kijana Ben anavyopindua hoja.Dogo yupo smart lakini umenitusha hapo uliposema yupo karibu na Josephine.

Hawa hawastahili kukaribiana kabisa.Ni hatari kabisa ukitegemea Josephine bado mbichi na tulishaambiwa hapa Ben ana kasi.umesahau malalamiko ya mdau mmoja hapa siku moja alishea demu na john Mnyika?

Huyo anayesema CCM must go atasubiri miaka mingi labda watumie siasa za kibabe na uchochezi anazofanya Ben na Bavicha.

A
lijaribu kupandikiza mamluki uvccm lakini tulidhibiti.mashabiki na wachochezi kama hawa yatawakuta kama ya sheikh ponda tu
.
 
Sasa mbona unamuuliza maswali nje ya mada? kwa taarifa yako he's so smart na unajua.najua unataka akuambie yupo kundi la zitto .unamtaka ubaya bure.

huyo ndiyo strategist wa affair zote za kundi la zitto kwenye mitandao mkuu.kanajenga hoja tamu na pro chadema huku jf wanajiingiza kingi na kumwita jembe.hana tofauti na Tundu Lissu.Ni wehu na sijui kusoma kwao kuliwadatisha.kwa mfano niliona msimamo wake dhidi Joseph Selasini kumsifia jk rombo.Selasini alisema angekua na uwezo angeita barabara iliyozinduliwa kwa jina JAKAYA KIKWETE.Sasa Ben akapinga kwa hoja kwamba JK anakusanya kodi ni lazima ajenge barabara na aombe msamaha kwa kuwacheleweshea warombo barabara tangu uhuru.Tundu Lissu type
 
hahahaha,rafiki hayo ni ya chumbani kwetu toka lini ukachungulia uchi wa baba au mama yako?kama huwezi basi huwezi kuyajua yachumbani kwa mtu hata siku moja.hausiki wala nchi haiusikii
By the way kuna kitu hapo hujakiona,vuipofu kama ninyi hamuwezi kunizuia kusema nitasema,na nitasimamia kile nacho kiamini.
never think kwa mimi kuachana na mme mmoja na kumpenda mwingine kunaweza kuzuia hoja ama kile nachokiamini na kukusimamia.Tena napoona picha hizo ndiyo nakumbuka lipo kusudi la Mungu kwangu.................mtangangana hapo mpaka Mtaachia mchuma unaondoka huuuooooooooo........
CCM MUST GO.
Mapambano yanaendelea.

View attachment 70180 Jose %.jpg

toka lini ukachungulia uchi wa baba au mama yako?kama huwezi basi huwezi kuyajua yachumbani kwa mtu hata siku moja.

Mama tunatarajia ungeambulia hata U-First Lady lakini kwa matusi unatutia shaka kwa sababu hakuna anayeweza kukujibu kwani hatujui ni vyumba vingapi.
Nilichosema mbona Mke wa Mwenyekiti wako ambaye naye alishagombea hatujamsikia ni msomi na Dr haya kuna wa Mrema TLP kuna wa Lipumba CUF je na wa Zitto unavyojipambanua ndio tunakuelewa ila kwa style hiyo wengine unatutafutia BAN
 
Wadau,

Kuna watanzania bado waoga kwamba vyama vya upinzani haviwezi kuachiwa uongozi wa nchi kwani havijajipanga kwa jukumu zito kama hilo. Wenye mtazamo huo, wanasema bora jitihada zielekezwe katika kuifanyia reforms ccm ili iendelee kuongoza. Wengine wanasema kwamba kwa hali iliyofikia ccm, hata ifanyiwe maboresho ya aina gani, mambo yataendelea kuwa hovyo tu.

Binafsi sioni sababu kwa nini watanzania tuwe waoga kuongozwa na vyama vya upinzani. Hivi tutapoteza nini cha ziada tukiongozwa na mojawapo ya vyama vya upinzani? Kwa mtazamo wangu, hapa tulipo tupo nyang'anyang'a. Under ccm, we have lost each and everything.
 
Hatuna cha kupoteza zaidi. Magamba yametunyonya na kutufilisi kila kitu. Sioni tatizo kabisa kuongozwa na vyama vingine vya upinzani.
 
Back
Top Bottom