Tanzania: A call for change!

Kwanza utafanya MAKOSA MENGI OF WHICH DR. SLAA ITAMUHARIBIA....siasa ni upepo na imani za watu.... so waache wenye kujua mwelekeo wa upepo huo kama Dr. Slaa afukuzane nao...

Just that.... THIS IS CRUCIAL AGAIN....

......
Majebere,mimi ni mtanzania,ninauchungu na nchi yangu.

Ninauchungu na watoto wangu.Sijui nikifa leo wataishi vipi,watakuwa nani maana no future with my country.

Achana na issue za personality,whatever it is CCM lazima iondoke,Ni mungu anajua what next because what am doing today is to work for my today Kesho ni ya Mungu.

Tafadhali napo simama mimi kama mimi wewe unahaki ya kuniuliza maswali zungumza yako pia.
Sijamtaja kiongozi yeyote kwanini unakimbilia kujadili watu? au ndiyo poor mind with lazy muscles
 
Africa na Tanzania in particular tunastahili kuwa Business partners na Hao tunaowaomba msaada.....[/QUOTE]

Tofauti na hapo ni kujidanganya kwamba tunaweza kujikomboa. Haya ni ya kuzingatiwa sana na viongozi wa CDM.
 
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo.

Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae. Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa vibabu. Zitto yuko wapi aokoe hiki chama?

No,this is too low.Tangu lini wewe ukawa na mapenzi mema na CHADEMA?Unadhani sijui post zako kila siku ulizokua ukinitukana na pia kutukana CHADEMA hapa?
-Kwa taarifa yako Chadema tunajali pragmatism,intelligent leader surrounded with smart people
-Let me school you a bit

1:Kiongozi mwenye vision,makini na anayejua kuongoza chama kufikia malengo hapatikani in a specific geographical region,religion,ethnic group,gender or agewise

2:Your religious,ethnicity or age group should not be sacrificed or elevated and affect your love for the country.

-Kamalizieni mapinduzi mliyoasisi UVCCM kwanza kabla hujafikiria CHADEMA.Tangu lini adui akatuchangulia silaha kali ya kuwapiga?
 
Suala la msingi hapa, n kjiuliza kama m2 binafsi esp Manjebere....n nn umefanya mpaka saiz kama mchango wako ili kuhakikisaha CC inaondoka madarakan....tukibaki kulalamika na kuwatupia lawama wengine n upungufu wa upeo....remember it begins with u! So mabadiriko yaanzie ndan ya fikra yako kwanza kabla ya kwenda kwa mwingne...thats how we gona move guys otherwise kushney
 
Watanzania wengi si wasomaji na watafiti,wakiongozwa na viongozi wao.Kitu hii hawataki kabisa kusikia......[/QUOTE]

Wewe uliyekisoma na kuleta mada , hebu tupe summary.
 
tukijipanga tu sisi watanzania na tukajua hatuna shida za msimu na tukaelewa kuwa hakuna tumaini tena ndani ya ccm, tukaacha tamaha za madaraka tukaweka pembeni uoga tukawa na lengo la kufanana kwa angalau asilimia 75 tayari wale mamluki wanaotafuta pesa kupitia siasa tutawamudu na ccm mwisho wake utakuwa umefika tuungane na tusiwaonee aibu mamluki CCM inaondoka ikawe kundi la taarab
 
Haya tuambie ccm itaondoka vipi? tumeona yalio tokea juzi kwenye uchaguzi wa madiwani. CCM itatoka akipatikana mpinzani, CDM itakuwa mpinzani wa kweli baada ya kutoa hao wezee walio kosa muelekeo.

Mfano ni Slaa,nini alicho fanya zaidi ya kusoma list of shame alio pewa na Zitto? Amebaki kusema uongo bila hata aibu, makontena ya kura, kutishiwa maisha,silaha za CCM na juzi kaleta mpya ya rais kwenda china kumtoa mwanae. Sijui ni lini vijana wa CDM watafanya mapinduzi na kutoa hawa vibabu. Zitto yuko wapi aokoe hiki chama?
Niliwahi kukuuliza siku za nyuma hivyo hiyo ID unayotumia ni Majebere kama ilivyo au una maanisha Majebele?na je wewe ni mmoja wa wanaofuatilia mabo kwa kina? are a real great thinker as well,kama hiyo ni kweli hujui Dr Slaa aloyafanya katika nchi hii,huji Dr Slaa kaifanyia nini jamii ya nchi hii? I am very sorry mwanabodi nachelea kusema hopless moving figure.if you are real serious na ukaweka siasa za ki-CCM kando kaa chini utafakari au waulize watu wanaofahamu waku-gainishe bure ujue Dr Slaa aloifanyia nchi hii.
 
Watanzania bana,

Wewe una kula na kunywa kwa mrija majuu huku ukiangalia CNN, ABC, CBS, NBC, BBC,na vipindi vya O'Relly factor, na pale unapochoka unasogeza ki Ipad, browse Yotube na kurusha headline jf ukiwaambia watu ''CCM must go and nothing else".

My friend, It's cheap and easy say than done. Try to ask opposition politicians, I hope, you'll get a sharp and clear answers from them.

Ningekupa jibu la hali halisi ya kisiasa huku kijijini, lakini kwa bahati mbaya, huyajui mazingira yetu ya kimaisha huku kijijini nitakuwa kama nampigia filimbi kiziwi.

Kama una uchungu na Nchi yako, kwa nini usije mwenyewe kwenye uwanja wa mapambano. Nyie ndio kama wanasiasa wanao tangaza vita na kuwatuma wanajeshi kupigana huku wao wako kwenye viyoyozi na wake zao, huku wakipata ulinzi wa hali ya juu.

Wow, Yaani wewe unataka "tuikomboe nchi" halafu ndiyo baadaya uje huku na wanao kula na kunywa kwa mrija. That's unfair and unjust.
 
No michango ya wana JF ni kiungo muhimu katika mabadiliko mkuu....

Nakubaliana na wewe mkuu. Vitu vinavyoandikwa humu kama wananchi wa kawaida wale wa Msata, Ndumbi, Kaliua, Katerero, Kongwa, na kule Mashati wangeona na kuelewa...hakika kungekuwa na mabadiliko makubwa sana ya mtazamo wa jamii kuhusu nchi yao.

Hivi huoni kuwa kilio hiki cha wana JF humu jamvini ni sawa na kilio cha samaki?
 
Wanasiasa wengi wanapita huku wanakula shule nzito.

Mfano mimi mwenyewe nimekua hapa JF since 2006 nikiwa masomoni nje ya nchi.Hakika JF imechangia kunilea kisiasa na kimtazamo pamoja na mitandao mingine ambayo mimi ni mwanachama

So kama nitaenda kijijini Mashati kuchochea mabadiliko hapo JF haijahusika kunijenga?So,si lazima kila mwanakijiji aje JF.Multiplier effect ya JF katika mabadiliko haya ni kubwa sana
 
Kuna watu toka mwaka 2007 hawajaenda vijijini mwao mkuu. Hivi hujagundua kuwa humu mjengoni kuna mitizamo hasi na chanya kwa kila jambo? Sasa ukienda kijijini na mtazamo wako huo (Chanya/hasi) unampatia mwanakijiji unachoona wewe kinafaa; ambacho inawezekana kabisa si mawazo ya wengi kuhusu jambo fulani lilivyotazamwa humu ndani. Tujadili tu.
 
It's common knowledge that CCM must go...yeah at least here on JF! But the question is how do we do that?
 
No,this is too low.Tangu lini wewe ukawa na mapenzi mema na CHADEMA?Unadhani sijui post zako kila siku ulizokua ukinitukana na pia kutukana CHADEMA hapa?
-Kwa taarifa yako Chadema tunajali pragmatism,intelligent leader surrounded with smart people
-Let me school you a bit

1:Kiongozi mwenye vision,makini na anayejua kuongoza chama kufikia malengo hapatikani in a specific geographical region,religion,ethnic group,gender or agewise

2:Your religious,ethnicity or age group should not be sacrificed or elevated and affect your love for the country.

-Kamalizieni mapinduzi mliyoasisi UVCCM kwanza kabla hujafikiria CHADEMA.Tangu lini adui akatuchangulia silaha kali ya kuwapiga?

Noted, well said
 
No.KATACCMCDMJumlaTofautiTofauti Asili mia
1Magomeni (Pwani)1,478.00479.001,957.00999.0051.047522
2Bangata1,117.00881.001,998.00236.0011.811812
3Daraja mbili1,324.002,193.003,517.00(869.00)-24.70856
4Mahenge710.00444.001,154.00266.0023.05026
5Mtibwa1,372.003,096.004,468.00(1,724.00)-38.5855
6Mtele995.00297.001,292.00698.0054.024768
7Mpapai1,443.00280.001,723.001,163.0067.498549
8Luwumbu565.0025.00590.00540.0091.525424
9Malangali1,247.001,418.002,665.00(171.00)-6.41651
10Lwezera1,317.00925.002,242.00392.0017.484389
11Makata808.0038.00846.00770.0091.016548
12Mlelomiembeni818.00138.00956.00680.0071.129707
13Minyenze378.00167.00545.00211.0038.715596
14Karitu854.00354.001,208.00500.0041.390728
15Kiloleni648.00166.00814.00482.0059.213759
16Ipole365.00568.00933.00(203.00)-21.75777
17Bugarama
18Mwananza794.00575.001,369.00219.0015.997078
19Lubili1,108.00620.001,728.00488.0028.240741
20Kitagiri1,416.00157.001,573.001,259.0080.038144
21Kikokona1,149.00367.001,516.00782.0051.583113
22Nanjaraneha1,128.002,370.003,498.00(1,242.00)-35.506
23Kilema Kusini784.00734.001,518.0050.003.2938076
24Vugiri1,460.00337.001,797.001,123.0062.493044
25Tamota1,060.00772.001,832.00288.0015.720524
26Msalato869.00450.001,319.00419.0031.76649
27Mpwapwa1,722.001,189.002,911.00533.0018.309859
28Myovizi1,726.001,498.003,224.00228.007.0719603
29Mpapa903.00310.001,213.00593.0048.887057
JUMLA29,558.0020,848.0050,406.008,710.0017.279689

It is going.
 
Nje ya mada!
-Hata hivyo siwezi kuliacha hili hivi hivi tu
-Hatujadili ni nani anafaa kuwa Rais bali ni platform gani itakayotoa Mgombea bora
-Kwa sasa Tunajenga platform itakayotoa Rais atakayekata kiu ya watanzania kwa kuwa matatizo yetu kama taifa ni ya kimfumo zaidi na ili kuyatatua ni lazima tujenge mfumo bora.Tunahitaji kuyatatua institutionally.Ndiyo kusema hatuhitaji watu strong bali tunahitaji strong institution in order to solve myriad problems confront our country and Africa at large.

Matatizo yetu ya kutegemea kujenga watu huzaa ubinafsi na udikteta huku umma ukipuuzwa.Tanzania is not an exception and the country needs better than this

So next time badili swali liwe ni platform gani itakayoa sera bora za kuleta mageuzi nchi hii na si watu.CHADEMA Tunajenga taasisi hiyo na hatujadili urais kwa kuwa ni dalili za kujisaliti katika malengo ya taasisi hiyo
Ok nabadili swali, wewe uko kundi gani? La Slaa,mbowe au Zitto?
 
No,this is too low.Tangu lini wewe ukawa na mapenzi mema na CHADEMA?Unadhani sijui post zako kila siku ulizokua ukinitukana na pia kutukana CHADEMA hapa?
-Kwa taarifa yako Chadema tunajali pragmatism,intelligent leader surrounded with smart people
-Let me school you a bit

1:Kiongozi mwenye vision,makini na anayejua kuongoza chama kufikia malengo hapatikani in a specific geographical region,religion,ethnic group,gender or agewise

2:Your religious,ethnicity or age group should not be sacrificed or elevated and affect your love for the country.

-Kamalizieni mapinduzi mliyoasisi UVCCM kwanza kabla hujafikiria CHADEMA.Tangu lini adui akatuchangulia silaha kali ya kuwapiga?
Ben, unajua mimi nilikuona kama kijana mwenye msimamo na uliefunguka akili kidogo lakini sasa naona kuwa na wewe ni mnafiki kama Slaa, lini nimekutukana? Usijidhalilishe kijana.
 
Back
Top Bottom