TANROADS: Serikali imetoa zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kuboresha barabara za Kigoma

mkuu acha kudanganya umma barabara hizo zote wakandaras wamelala haijulikani mradi huo wa barabara kutoka nyakanazi kigoma utakamilika lini!
Kitu ambacho nilitaka kusema, nikahisi labda sio kigoma hii hii ninayoifaham. Mfano mdogo tu kasulu to kibondo ni vijisehem vichache ndio vina lami lkn asilimia kubwa ya barabara ni vumbi na tope.
 
Back
Top Bottom