Tangu Magufuli aingie madarakani ni mambo mawili tu ninayompongeza

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Kwanza niseme tu wazi kwamba Magufuli sikumpigia kura na wala sitakuja nimpigie kura hata hiyo 2020. Japokuwa nilijua atashinda na ninajua pia hata 2020 atashinda na safari hii nahisi atashinda kwa kishindo.

Ila kiukweli pamoja sikumpa kura yangu kuna mambo mawili tu nampongeza tangu aingie madarakani. Kuna vingi kafanya ,mfano kanunua ndege,kabana matumizi,kazuia safari za nje kwa wateule wake,kajenga airport huko Chato,mapato TRA yameongezeka,kazuia mianya ya rushwa na wizi.

Kaleta mahakama ya mafisadi japo haina wafungwa,kaondoa wanafunzi na wafanyakazi hewa,,aisee ni mengi kafanya. Ila mimi hayo yote hayanihusu maana sio mwajiriwa wa mtu wala wa serikali na sifikilii kuajiliwa.kwa hiyo hayo hayanihusu kabisa. Mimi alichonifurahisha ni

1: Kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa,kwa kweli nampa hongera raisi,kwa sababu hii mikutano inaleta uongo na kudumaza akili za watanzania,ni mikutano hiihii ilisema Lowassa ni mwizi na fisadi papa,na ni mikutano hiihii ikaja kusema Lowasa sio mwizi bali ni mwanamabadiliko. Kwa hiyo kitendo cha rais kuzuia hii mikutano ni cha kupongezwa na kila mweye akili timamu. Hii mikutano haikuwa na tija bali ni kupoteza muda tu na kusemasema wau

2: Kuzuia bunge live kwa kweli amecheza kama pele. maana ilifikia hatua wabunge wanatafuta umaarufu tu bungeni ila majimboni kwao hawana cha maana. Sasa safari hii wakae wafanye maedeleo majimboni, yale mambo ya kupata ubunge kwa sababu tu ya umaarufu wako hayapo tena. Maana kuna watu ni wabunge tu ila wanajulikana Tanzania nzima ova ni mbunge wa taifa. Sasa safari hii ubunge wataupata kutokana na maedeleo wanayoleta majimboni na sio kwa umaarufu tu. Na natamani rais asilegeze kamba,ashikilie hapohapo.
 
Ili ukamilishe ujumbe wako bila kuacha dukuduku lolote, malizia kabisa kwa kufafanua sababu ya kugoma kumpigia kura Magufuli 2015 na (hasa) 2020 panapo majaliwa. Hakika hilo ndilo swali pekee linalojitokeza ili kukamilisha muunganiko wa maelezo yako.
 
umesahau na kumshauri apige marufuku hata kuonyesha Live vipindi vya mipira,taarifa ya habari,ziara za wakubwa na mambo mengine yanayofanana na hayo na ikiwezekana afungie TV zote zibaki redio tu,
 
Kwanza niseme tu wazi kwamba Magufuli sikumpigia kura na wala sitakuja nimpigie kura hata hiyo 2020. Japokuwa nilijua atashinda na ninajua pia hata 2020 atashinda na safari hii nahisi atashinda kwa kishindo.

Ila kiukweli pamoja sikumpa kura yangu kuna mambo mawili tu nampongeza tangu aingie madarakani. Kuna vingi kafanya ,mfano kanunua ndege,kabana matumizi,kazuia safari za nje kwa wateule wake,kajenga airport huko Chato,mapato TRA yameongezeka,kazuia mianya ya rushwa na wizi.

Kaleta mahakama ya mafisadi japo haina wafungwa,kaondoa wanafunzi na wafanyakazi hewa,,aisee ni mengi kafanya. Ila mimi hayo yote hayanihusu maana sio mwajiriwa wa mtu wala wa serikali na sifikilii kuajiliwa.kwa hiyo hayo hayanihusu kabisa. Mimi alichonifurahisha ni

1: Kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa,kwa kweli nampa hongera raisi,kwa sababu hii mikutano inaleta uongo na kudumaza akili za watanzania,ni mikutano hiihii ilisema Lowassa ni mwizi na fisadi papa,na ni mikutano hiihii ikaja kusema Lowasa sio mwizi bali ni mwanamabadiliko. Kwa hiyo kitendo cha rais kuzuia hii mikutano ni cha kupongezwa na kila mweye akili timamu. Hii mikutano haikuwa na tija bali ni kupoteza muda tu na kusemasema wau

2: Kuzuia bunge live kwa kweli amecheza kama pele. maana ilifikia hatua wabunge wanatafuta umaarufu tu bungeni ila majimboni kwao hawana cha maana. Sasa safari hii wakae wafanye maedeleo majimboni, yale mambo ya kupata ubunge kwa sababu tu ya umaarufu wako hayapo tena. Maana kuna watu ni wabunge tu ila wanajulikana Tanzania nzima ova ni mbunge wa taifa. Sasa safari hii ubunge wataupata kutokana na maedeleo wanayoleta majimboni na sio kwa umaarufu tu. Na natamani rais asilegeze kamba,ashikilie hapohapo.
Bora leo umejionyesha rangi yako halisi afu huwa unajiita chadema bila aibu.....

Unasahau ni mikutano hyo hyo ilizaa mchakato wa katiba mpya, ilizaa uwajibikaji baada ya kuibuliwa tuhuma nyingi za kifisadi ambazo watu kma mramba na yona wakachukuliwa hatua....

ilizaa kukosoa serikali ili ijirekebishe mfano gharama za safari za nje na ukubwa wa baraza la mawaziri na mengi sana yenye tija kwa maendeleo anyway kma unaona KUZUIA MIKUTANO YA kukosoa na kuisimamia serikali kwenye uwajibikaji ni swala la kupongezwa basi sawa tena mwambie na 2020 apunguze gharama kwa kutoweka uchaguzi aendelee tu hadi atakapojiskia.
 
1: Kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa,kwa kweli nampa hongera raisi,kwa sababu hii mikutano inaleta uongo na kudumaza akili za watanzania,ni mikutano hiihii ilisema Lowassa ni mwizi na fisadi papa,na ni mikutano hiihii ikaja kusema Lowasa sio mwizi bali ni mwanamabadiliko. Kwa hiyo kitendo cha rais kuzuia hii mikutano ni cha kupongezwa na kila mweye akili timamu. Hii mikutano haikuwa na tija bali ni kupoteza muda tu na kusemasema wau

2: Kuzuia bunge live kwa kweli amecheza kama pele. maana ilifikia hatua wabunge wanatafuta umaarufu tu bungeni ila majimboni kwao hawana cha maana. Sasa safari hii wakae wafanye maedeleo majimboni, yale mambo ya kupata ubunge kwa sababu tu ya umaarufu wako hayapo tena. Maana kuna watu ni wabunge tu ila wanajulikana Tanzania nzima ova ni mbunge wa taifa. Sasa safari hii ubunge wataupata kutokana na maedeleo wanayoleta majimboni na sio kwa umaarufu tu. Na natamani rais asilegeze kamba,ashikilie hapohapo.
Afadhali yako umeona mawili,wenzako msamiati wa kupongeza hakuna kabisa
 
Sema wasiojua msamiati kujipendekeza,hana alichofanya cha kupongezwa,kwa hiyo nyie wakuu wa wilaya endeleeni kumpongeza.
Watu kama wewe hawatunyimi usingizi.kama mtu mlimwita fisadi miaka 8,ndani ya saa2 mkamfanya mgombea urais!,hajui sera wala rangi za bendera siwezi kukushangaa ukikaa nyuma ya keyboard ukasema Magufuli hakufanya kitu
 
Ili ukamilishe ujumbe wako bila kuacha dukuduku lolote, malizia kabisa kwa kufafanua sababu ya kugoma kumpigia kura Magufuli 2015 na (hasa) 2020 panapo majaliwa. Hakika hilo ndilo swali pekee linalojitokeza ili kukamilisha muunganiko wa maelezo yako.
Sipendi chama chake,sijui ni kwa nini harafu
 
Mkuu mambo ambayo umempongeza mh rais ndiyo mambo ya msingi ambayo mi binafsi sikubaliani nayo. 1.Tunahitaji shughuli za kisiasa ziendelee, juu ya kile kitakachosemwa wananchi wataamua wenyewe. Maana kusema,kusikilizwa,kushauri,kukosoa na kupongeza ni haki ya kila mtanzania. Suala lakufanya siasa halina msimu ndio maana serikali inatoa ruzuku kwa vyama kila mwezi.2.Suala la bunge kuonyeshwa "live" ni haki yetu. Ni moja ya njia ya kujua uwajibikaji wa wabunge tuliowachagua.kwa kifupi shughuli za kisiasa zinaisadia kuongeza uwajibikaji serikalini
 
Usisahau kuzungumza kisukuma kwenye mikutano ya hadhara, huu nao ni mfano wa kuigwa kuzienzi tamaduni na asili zetu!
 
Back
Top Bottom