Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

We jamaa muongo sana
Kwaza itakuwaje Messi na Maradona wote wawe namba moja at the same time??

Hyo list umeipata wapi??
List inayojulikana na kutumika ni ile ya IFFHS
1."Pelé" (Brazil) 1705 (Edson Arantes do Nascimento)
2.Johan Cruijff (Netherlands) 1303
3.Franz Beckenbauer (Germany) 1228
4.Alfredo di Stéfano (Argentina) 1215
5.Diego Armando Maradona (Argentina) 1214
6.Ferenc Puskás (Hungary) 810
7.Michel Platini (France) 722
8.Garrincha (Brazil) 624 (Manoel dos Santos Garrincha)
9.Eusébio (Portugal) 544 (Eusébio Ferreira da Silva)
10.Robert Charlton (England) 508

Mtoto mdogo kakuzidi akili nyingi tu,, kwa akili yako utaiamini hiyo iffs? Yaani maradona wa 5? Are u serious? Hata mtoto mdogo hawezi kudanganyika kihivyo

(Maelezo haya from fifa)Mwaka 2000 katika zawadi ya mchezaji bora wa karne iliyotangazwa na FIFA, Maradona alikwenda sambamba katika kugombea mchezaji bora wa karne na Pele baada ya wote kuwa wa kwanza katika uchaguzi wakuchagua ambao FIFA ilitangaza kipitia rai za watu kwenye Internet ili kuchagua mchezaji bora wa karne ya 20.

Diego Armando Maradona received a FIFA award after being voted best footballer of the 20th century in an Internet fan poll
Maradona won the Internet based poll by wide margins, garnering 53.6% of the votes against 18.53%

Ukweli ni kwamba kuna uhuni ulitokea pale fifa kabla ya kumchagua best player of 20th Century...in-short Diego maradona alipata ushindi wa halali kutoka kwa mashabiki ulimwenguni kupitia mdandao wa Internet na kumtupilia mbali pele,, hii kitu fifa wameificha na ndiyo maana haionekani bali utakuta wote wako sawa na pele, na wamempachika nafasi ya kwanza kwa kuudanganya ulimwengu ila ukweli unajulikana.

maradona actually won the award but fifa decided to share among them. https://jamii.app/JFUserGuide fifa
 
Mtoto mdogo kakuzidi akili nyingi tu,, kwa akili yako utaiamini hiyo iffs? Yaani maradona wa 5? Are u serious? Hata mtoto mdogo hawezi kudanganyika kihivyo

(Maelezo haya from fifa)Mwaka 2000 katika zawadi ya mchezaji bora wa karne iliyotangazwa na FIFA, Maradona alikwenda sambamba katika kugombea mchezaji bora wa karne na Pele baada ya wote kuwa wa kwanza katika uchaguzi wakuchagua ambao FIFA ilitangaza kipitia rai za watu kwenye Internet ili kuchagua mchezaji bora wa karne ya 20.

Diego Armando Maradona received a FIFA award after being voted best footballer of the 20th century in an Internet fan poll
Maradona won the Internet based poll by wide margins, garnering 53.6% of the votes against 18.53%

Ukweli ni kwamba kuna uhuni ulitokea pale fifa kabla ya kumchagua best player of 20th Century...in-short Diego maradona alipata ushindi wa halali kutoka kwa mashabiki ulimwenguni kupitia mdandao .
Unajua maana ya IFFHS?
hyo ndo agency ya FIFA inayoshughulika na statistics
kura ni mapenzi ya waliopiga kura
lakin takwimu hazidanganyi
 
Unajua maana ya IFFHS?
hyo ndo agency ya FIFA inayoshughulika na statistics
kura ni mapenzi ya waliopiga kura
lakin takwimu hazidanganyi
Achana nae ajui anayoyaandika eti watu waulizwe barabara ngapi zimejengwa Kwa kiwango cha lami waseme 26% alafu tanroad waseme 43% tuwakatalie tanroad tuwaamini watu ambao hawana utafiti na mamlaka Mpaka MTU ameijua IFFHS ndio atakubali maradona asogelei viumbe walioko juu yake kwenye list tajwa kimafanikio na kila kitu
 
hivi huyu maradona anasifika kwa nini hasa??hivi mechi alizofanya vitu vya maana kukumbukwa kihistoria zinafika hata 10???hilo goli alilofunga kwa kupiga chenga defence ya england yote Messi kashafunga mengi tu,Giggs tu aliwafunga Arsenal bao kama hilo!!Binafsi sijawahi kuona kama Maradona anashabihiana na sifa apatazo. Ndani ya moyo wangu Namkubali Messi amekuwa akitesa ktk soka years and years every weekend!!Ila ktk Akili yangu mafundi wa mpira wakiongozwa na Ronaldinho na Zidane wako mbele zaidi



Maradona is best no player can reach maradona .But i think Messi is most greatest player in the world ever seen after his career finish.

quotes on maradona the list of players and infinity
Zidane: the greatest ever
2: Careca: admiteas was far better than pele
3: Bobby Charlton: the greatest footballer
4: Gullit: he was from another world
5: Marco van Basten: The Greatest footballer ever
6: Former manager of england bobby robson: hate him or love him he was the greatest player of all time.
7: Zola: he was the god of football
8: Ronaldhino: hes was my idol and greatest
9: won player of the century at fifa 2000 awards
10: C. Ronaldo the greatest
11: Ze Roberto and R. Carlos: Maradona was without doubt the greatest
12: Bearzot: Maradona is football
13: Sacchi on sky: Maradona is the best player in the world
14: Baggio: Maradona all players dream
15: gentile: Maradona better than Pelè
16: Boscov: Maradona can not be compared
17: Sivori: maradona the best in the world
18: Cantona: Maradona is greatest art.The
19: Eusebio: Maradona was the greatest
20: Maldini: Maradona is Maradona


Football was naive on the days Pele . Now it has become more complicated . Strategies have appeared . Maradona faced greater teams than Pele . Unlike Pele , who was nat the only star in his team ,Maradonna was the only star in the team and Napoli . Besides ,the dribbing and passing abilities Maradona has , Pele did not have . I think if Pele played today ,he would not create the row he created in the fifties. Also records are sometimes stupid .Pele was injured in one of World Cups and did not continue .Yet , it is mentioned as one of his ahcievements. No doubt ,Maradona is the best of all times.
 
Gaucho, huyu jamaa alinifanya nianze kupenda futibol hasa timu ya bacelona..
 
Unajua maana ya IFFHS?
hyo ndo agency ya FIFA inayoshughulika na statistics
kura ni mapenzi ya waliopiga kura
lakin takwimu hazidanganyi

Sasa wewe unalazimisha wadau waamini unachokisema? Nimekuambia acha kupotosha watu, ...fungua hapa halafu uniambie tena mimi muongo! Japo maradona alitakiwa awe mshindi wa halali kwa kura nyingi alizopata lakini FIFA ikaamua wote wawe sawia ama (sawa)

Diego Armando Maradona Franco – IFFHS BETA
 
Achana nae ajui anayoyaandika eti watu waulizwe barabara ngapi zimejengwa Kwa kiwango cha lami waseme 26% alafu tanroad waseme 43% tuwakatalie tanroad tuwaamini watu ambao hawana utafiti na mamlaka Mpaka MTU ameijua IFFHS ndio atakubali maradona asogelei viumbe walioko juu yake kwenye list tajwa kimafanikio na kila kitu


hujui ukisemacho ni bora ukae pending, ningekuona wa maana kama utachangia hii mada kwa uzuri..lakini naona umekuja na maneno ya kipumbavu yasiyokuwa na maana, unafuata mkia tu wala hujui tunajadili nini
 
Unaposema Maradona ndio aliefanya watu wapende soka ni uongo
Pele anajulikana mpaka na wasioshabikia Mpira...kuna watu hawajui
nadhani unaujua msemo wa
"Umecheza kama pele"
Pele ni icon ya mpira duniani....hilo halina ubishi
Kuhusu nani ni gwiji zaidi ya mwengine its another case

Huo ni mutazamo wako wewe! So I think you don know what that means football! I see you just guessing,
There is no comparison – Maradona full stop. I would go so far as to say there will never ever be another player who would come close to him.
 
Huo ni mutazamo wako wewe! So I think you don know what that means football! I see you just guessing,
There is no comparison – Maradona full stop. I would go so far as to say there will never ever be another player who would come close to him.

Nimeyapenda maneno hayo"
 
Kama hukuwahi kumuona 'Garrincha' tafuta video zake, aliichezea real madrid kwa muda mrefu sana. Kama hukumuona Gaucho pia tafuta highlights zake. Isitoshe mpira wa kipindi hicho ulikua una ladha na watu wanafunga ktk mazingira magumu kuliko sasa hivyo ilikua inanogesha zaidi. Mf; ni goli la mkono la Maradona. Sasa iv sheria ni nyingi, kuna video(reviews), referees hadi nyuma ya goli, mpira ukigusa chaki kuna 'sensor' golini. Messi wa kawaida sana, kwa mawazo yangu hajafika hata kiwango cha Okocha, Lkn tusitumie nguvu nyingi kukuaminisha usichokifahamu pengine huwajui watu hao!!!

Usimtaje Garincha bila kuwataja Alfredo de stefano, mario kempes,Redondo,Beckenbauer and johan cruiff..,,​

So that MARADONA was better than all players because MARADONA was more successful than all players..........DIEGO ARMANDO; No Doubt
 
Wapo magwiji wa soka waliowahi kutokea duniani, ila Maradona ni wa kwanza bila ubishi. Pele hakua na kitu chochote cha ajabu, hata zile kura za fifa za miaka ya hivi karibuni kumtafuta best player wa karne Maradona alishinda kwa kura nzuri tu, ila kwa kua fifa wapo karibu sana na Pele na ni balozi wao wakaja na figisu figisu kua tuzo iwe ya wote wawili, eti sababu wapiga kura wengi hawakumuona pele akicheza wakati huo ndo maana wakamchagua maradona. For me baada ya maradona messi anafuata, na ikitokea messi akishinda world cup basi hakutakua tena na ubishi juu ya unguli wake wa soka duniani

u are absolutely right .. Well,one thing is for sure.Pele didn’t have the same amount of ball control as Maradona.I have seen at least 7-8 full matches of Pele and he lost the ball much more easily than Maradona.Maradona had a stronger influence in the games he played.Both his dribbling,passing and vision were better.Maradona was the best ever.

There is no comparison – I would go so far as to say there will never ever be another player who would come close to him except King Messi alone
 
are correct without controversy.. Well,one thing is for sure.Pele didn’t have the same amount of ball control as Maradona.I have seen at least 7-8 full matches of Pele and he lost the ball much more easily than Maradona.Maradona had a stronger influence in the games he played.Both his dribbling,passing and vision were better.Maradona was the best ever.
I couldn't agree with u more mkuu. Thats quite obvious
 
WADAU WENZANGU HESHIMA KWENU!

1-DIEGO ARMANDO MARADONA
View attachment 343533

2- LEONEL ANDRES MESSI

View attachment 343534

Tangia soka lianze hapa ulimwenguni je! Ni mchezaji yupi aliyefikia kiwango cha wafalme hawa wa soka hapa duniani Al maarufu DIEGO ARMANDO MARADONA & LEONEL ANDRES MESSI??

Nataka tu niwakumbushe wadau wenzangu! Najuwa kuna wengine watakuja hapa na misemo tofauti tofauti na mada isemavyo flani anamagoli mengi la hasha! hapa hatuzungumzii wingi wa magoli bali tunazungumzia viwango bora vya mchezaji!

MARADONA NA MESSI wanajulikana ni wachezaji wa kipekee mno kuwahi kutokea katika ulimwengu huu wa soka, wamepitia wakati mgumu sana,

Tofauti na kipindi cha akina PELE Wamecheza katika kipindi ambacho watu hawakuwa wakijua sana mpira tofauti na sasa, na hata sheria zilikuwa laini Mno tofauti na sasa Sheria zimekuwa ngumu kitu kidogo filimbi, hebu fikiria kuwa kipindi hicho OFF-SIDE zilikuwepo za kumwaga , hata ukimpa mtu ki-pepsi ilikuwa ni poa tu, ukimpiga mtu push ya nguvu jambo la kawaida REFA hakufikirii kama sasa.....

Vile vile ufungaji ulikuwa ni mrahisi mno, magoli yalikuwa sio magumu kama ambavyo tumewashuhudia katika kipindi chao.


Pia ningeomba tuwe wakweli bila kuwa na ubaguzi wa aina yeyote ule.. eti kwa sababu huyu White tusimpe haki yake, eti kwa sababu huyu ni Black tusimpe haki yake..... No! hiyo haipo... na kama mtu huyo atachagua mchezaji kwa kigezo cha rangi ama utaifa wake basi huyo atakuwa si mshabiki haswaa wa soka. Kila mchezaji tumpe haki yake awe mweusi ama mweupe na vilevile taifa alikotoka.

Ahsanteni;


Messi: God has sent me to teach this generation how to play football.

C.Ronaldo: No man,I am the one who is sent.

Gaucho: I have n't sent anyone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom