Hakika La Macia hawatakusahau milele Leo Messi

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
Kutoka kwenye midomo ya kiroboto, la pulga mnyama Leonel mess
" Baada ya miaka yote hii, ni ngumu mno kuwaaga, ni vigumu kusema naondoka, Leo, Napaswa kusema kwaheri kwa kila kitu. Nimekuwepo hapa tangu nina miaka 13. Baada ya miaka 21 ninaondoka hapa na mke wangu na watoto wangu wenye upendo mchanganyiko wa Catalan na Argentina "

" Nilitaka nibaki Barcelona. Hapa ni nyumbani kwangu, nyumbani kwetu".
Sikufikiria Kama ningeota siku moja kuachana na klabu hii, Basi ningependezewa kusema kwaheri huku Camp nou ikiwa imejaa kila kona. Nafarijika na kila mmoja wenu anayenipenda na kuniunga mkono siku zote, Natumaini nitarejea siku moja na kuendelea kufanya kazi, Ili Barcelona iendelee kuwa timu kubwa ulimwenguni, Kamwe siwezi kusahau namna ilivyoaanza, Siku niliyocheza mechi yangu ya kwanza na kikosi cha kwanza "

"Mimi binafsi, timu na Raisi Laporta ; tulifanya kila linalowezekana, lakini kutokana na uongozi wa LaLiga, mkataba mpya haukukizi vigezo. Nilitaka kubaki, Ingawa mwaka jana sikutaka kubaki, lakini mwaka huu imekua tofauti. Haijawezekana.
Kuondoka klabu hii, kutabadilisha kila kitu kwenye maisha yangu mapya".

"Kwa sasa, kuna uwezekano wa uhamisho wangu, lakini mpaka hii leo, sijasaini na mtu yoyote. Baada ya kutangazwa kwa ile habari ya kua naomdoka, timu nyingi zilinipigia, Klabu nyingi zilionesha nia, lakini hakuna lililokamilika. Mazungumzo yanaendelea, Ni kipindi kigumu kuwahi kutokea kwenye maisha yangu yote ya soka Mnisamehe sana "

"Sikutaka kuondoka kwasababu Barcelona ndiyo timu ninayo ipenda kwa moyo wangu wote, Wachezaji huja na kuondoka, Kama Laporta alivyosema, "Hakuna aliye mkubwa kuliko Barcelona. Bado najaribu kuwaza ni nini kilitokea, maana kila kitu kilikuwa vizuri, nikajua nabaki, Ila gafla! Mambo yakabadilika "

"Ile picha niliyopiga na wachezaji wa PSG, ilikua ni picha ya kawaida tu. Watu wengi waliitumia kutania kuwa naenda PSG lakini ilikua ni picha ya kawaida kama zingine, hakukua na kitu kingine tofauti nyuma ya pazia, Nilifanya kila linalowezekana nibaki hapa".

Nilipemda kushinda Champions League nyingine na Barcelona, Nilikubali kutoa ofa ya punguzo la 50% ya mshahara wangu. Hiyo taarifa kuhusu 30% sio ya kweli na ipuuzwe".

Kila raheli La pulga

IMG-20210808-WA0127.jpg
5ddcfc16ae344f7cb196b4fe96905faf.jpg
ace102f22e774336bcc0518a12322a52.jpg
 
View attachment 1885465View attachment 1885466View attachment 1885467
Aliitesa sana Madrid yangu huyu...nenda ,hakika wewe ni top world best player..
 
Wachache wamepata bahati ya kucheza kwa mafanikio makubwa kwa miaka 21. Kwa mshahara wa 1.2m, angestaafu tu kwa heshima, kwamba kama imeshindikana Barca, basi nipumzike.

Guardiola, Owen na wengineo, wamestaafu kwa umri mdogo tu na maisha yanasonga.
 
Alaumiwe haji manara na Mo.ila yoote katiba mpya ndiyo chanzo cha messi kutopewa tena mkataba.
 
Back
Top Bottom