Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

Ndio maana nikakuambia kila mmoja na mtazamo wake, so baki na kile unachokiamini wewe,hakuna mtu aliyekulazimisha kuamini. Sawa mkuu!!
ungeamua kubaki na mawazo yako usingekuja na huu upuuzi ungejiandikia chumbani kwako uwe unajisomea mwenyewe, umeweka hapa ili tusome na tutoe mtazamo wetu..sasa umeona tunatofautiana kimtazamo na tunataka records ziongee unakuwa mkali...futa huu upuuzi mzee, huna records umekuja na mahaba yako hapa unataka kutuhadaa, we know footbal,we have records.
 
IMG-20180228-WA0003.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom