DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 2,385
- 1,566
Bob Marley mwenyewe alikua anajua hakuna kama PELE btw mi namkubali sana ronaldino gaucho dah! yani hakika huyu ni nabii ama mtume wa soka!...
ACHA KUPOTOSHA WEYEE KWENDA HUKO UKASANYE KUNI
Bob Marley mwenyewe alikua anajua hakuna kama PELE btw mi namkubali sana ronaldino gaucho dah! yani hakika huyu ni nabii ama mtume wa soka!...
jifunze kuheshimu mawazo ya watu na sio kutoa mipasho..... huu ni ushabiki wa mpira si kila unachokishabikia kishabikiwe na wote!ACHA KUPOTOSHA WEYEE KWENDA HUKO UKASANYE KUNI
Haha endelea kuumia tu kwa sababu brazil kwenye mpira hakuna kama wao pele kwa maradona ni sawa na kifo na usingizi kama maumivu yakikuzidi nenda kakumbatie transformer.
jifunze kuheshimu mawazo ya watu na sio kutoa mipasho..... huu ni ushabiki wa mpira si kila unachokishabikia kishabikiwe na wote!
Haya basi acha nikufanye ulale kwa uzuri leo..brazil ni kari kishenzi hata 2014 imempiga Germany kwake week - one
Asante.Messi is the greatest player of ALL TIME
Huyo pimbi tu... Cr7 ni among washambuliaji bora wa Muda wote top 5 yupo. Lakini unapo zungumzia greatest players wa mda wote Maradona, Messi,Cruyff, platini, Beckenbauer, Di Stefano(greatest Madrid player of all time) , Pele, Charlton, Eusebio, Zidane, puskas, De lima,Xavi.Hawa watu walikua na Talent/ability na success /trophies(individual/teams success and trophies ) .Cristiano Ronaldo "CR7" is the great, greater and greatest player in all planets. Hata ukimpeleka polisi tabora anafit n kuonyesha kiwango cha hali ya juu
WADAU WENZANGU HESHIMA KWENU!
1-DIEGO ARMANDO MARADONA
View attachment 343533
2- LEONEL ANDRES MESSI
View attachment 343534
Tangia soka lianze hapa ulimwenguni je! Ni mchezaji yupi aliyefikia kiwango cha wafalme hawa wa soka hapa duniani Al maarufu DIEGO ARMANDO MARADONA & LEONEL ANDRES MESSI??
Nataka tu niwakumbushe wadau wenzangu! Najuwa kuna wengine watakuja hapa na misemo tofauti tofauti na mada isemavyo flani anamagoli mengi la hasha! hapa hatuzungumzii wingi wa magoli bali tunazungumzia viwango bora vya mchezaji!
MARADONA NA MESSI wanajulikana ni wachezaji wa kipekee mno kuwahi kutokea katika ulimwengu huu wa soka, wamepitia wakati mgumu sana,
Tofauti na kipindi cha akina PELE Wamecheza katika kipindi ambacho watu hawakuwa wakijua sana mpira tofauti na sasa, na hata sheria zilikuwa laini Mno tofauti na sasa Sheria zimekuwa ngumu kitu kidogo filimbi, hebu fikiria kuwa kipindi hicho OFF-SIDE zilikuwepo za kumwaga , hata ukimpa mtu ki-pepsi ilikuwa ni poa tu, ukimpiga mtu push ya nguvu jambo la kawaida REFA hakufikirii kama sasa.....
Vile vile ufungaji ulikuwa ni mrahisi mno, magoli yalikuwa sio magumu kama ambavyo tumewashuhudia katika kipindi chao.
Pia ningeomba tuwe wakweli bila kuwa na ubaguzi wa aina yeyote ule.. eti kwa sababu huyu White tusimpe haki yake, eti kwa sababu huyu ni Black tusimpe haki yake..... No! hiyo haipo... na kama mtu huyo atachagua mchezaji kwa kigezo cha rangi ama utaifa wake basi huyo atakuwa si mshabiki haswaa wa soka. Kila mchezaji tumpe haki yake awe mweusi ama mweupe na vilevile taifa alikotoka.
Ahsanteni;
Unaposema Maradona ndio aliefanya watu wapende soka ni uongo
Why Maradona and Messi wameshika no 1 ktk best Players in the world alaf Gaucho yupo wa 31 na still siku zinavyozidi kuloloma anaendelea kudrop? Usipende kuhadithiwa hakikisha mwenyewe......
Mimi ninamtazamo tofauti juu ya hili,hebu jiulize-uwanjani kuna forward,midfield,back-centre,right na left,,back hawezi kufunga magoli mengi,kadhalika midfield atafunga magoli ya wastani kwanini sifa siku zote ziende kwa ma-striker pekee,kumbuka kuna mabeki vitasa,kuna viungo wakabaji waliozibeba timu zao lakini hawakumbukwi.....Vipi kuhusu Zidane,Okocha.,Dietmar Hamman...etc huu ni mfano tu wapo magwiji wengi waliosahaulika
Mmemsahau De Lima, huyu jamaa watalamu wa soko wanakuambia ni moja kati ya wachezaji bora kabisa kuwahi kuwepo, na kumbuka kwa Brazili baada ya Pele, no Ronardo De Lima ndo anafuata.