tangazo,tangazo.tangazo.tangaz o

Hee, majaji wengi hapo mlungula hautoshi.... hebu tumwagie wahesabiji wa kura basi!

ntahesabu mimi na kumtangaza mshindi kwa utaratibu utakae kuwepo,lakn hata wewe unaweza unaweza kuhesabu kama utataka kujilizisha kwa kuwa kura zipo wazi,kapige kura
 
Wa kwanza aliyechangia kwenye sredi hii awe wa kwanza kwenye orodha ya wagombea
 
Yupo anagombea, Ruhazwe JR hivi unaruhusiwa kubadili kura yako umpigie mwingine... maana wengine hawaonyeshi ushirikiano

Ukimya wao wanaouonesha ndio huohuo utakaokuwepo siku ya kuchangia maendeleo.
Piga kura yako sasa.
 
Last edited by a moderator:
Ukimya wao wanaouonesha ndio huohuo utakaokuwepo siku ya kuchangia maendeleo.
Piga kura yako sasa.

unaruhusiwa kwa kufanya hiv,unaenda kwenye ile post unai-edit kabla ya saa 9 mchana,maana ikifika saa 9 mchana kura zitafungwa na kuhesabiwa kwa ajiri ya kwenda fainali
 
unaruhusiwa kwa kufanya hiv,unaenda kwenye ile post unai-edit kabla ya saa 9 mchana,maana ikifika saa 9 mchana kura zitafungwa na kuhesabiwa kwa ajiri ya kwenda fainali

ok ok Madame B nakwenda kubadili halafu tuonane pale kwenye tuta la pili, ha ha aaaa!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndo maneno,
tutaonana pale na tena nitakuletea mchuchu m-bichiii!!

Hapo utakuwa umemaliza kesi hamna cha Ruhazwe JR wala chief judges.... mi naandaa champagne tu. kwanza naanza kecheza na wapiga kura
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom