tangazo,tangazo.tangazo.tangaz o

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wana chitchati mnaombwa kujitokeza kupiga kura kwa awamu ya kwanza ya mashindano ya kumsaka miss chitcha kwa mwezi sept,unaombwa kujitokeze kupiga kura tafadhali ili tuwapate wawili watako ingia fainali leo mchana saa 9 kamili na mshindi kutangazwa saa 6 usiku.UNAOMBWA KWENDA KUPIGA KURA KATIKA THREAD HUSIKA
Imetolewa na,waandaaji wa shindano la miss chichat sept
 
chief judge nani na majudge wengine?washiriki jamani mbna hawajajinadi?

shindano hili ni la aina yake, majudge ni wana chitchat kupitia kura yako ktk thread husika,unaombwa ukapige kura yako kwa kuwateuwa wawili watako ingia fainali
 
shindano hili ni la aina yake, majudge ni wana chitchat kupitia kura yako ktk thread husika,unaombwa ukapige kura yako kwa kuwateuwa wawili watako ingia fainali

Naona umeshamtongoza mshiriki mwenzetu,
jiandae kuvunjwa ugoko.
 
sawa tunaruhusiwa kuhonga? maana sie wabongo tushazoea kila uchaguzi lazima tutoe rushwa

ukihonga ntashindwa kukutegelezea kile utakacho kwakua kura ipo wazi s kificho,kapige kura tafadhali ktk thread husika ili tuwapate watako ingia fainal saa 9 na badae saa 6 kumpata miss
 
shindano hili ni la aina yake, majudge ni wana chitchat kupitia kura yako ktk thread husika,unaombwa ukapige kura yako kwa kuwateuwa wawili watako ingia fainali

Hee, majaji wengi hapo mlungula hautoshi.... hebu tumwagie wahesabiji wa kura basi!
 
Back
Top Bottom