TANGAZO: Maandamano dhidi ya malipo ya DOWANS

Ndugu zangu JF,
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUSISITIZA KUWA TANGAZO HILI LA MAANDAMANO LIMESHASOMWA MBELE YA WAANDISHI HABARI LEO KUANZIA SAA NNE NA NUSU. Kazi kwetu na ushiriki wa kudhihirisha kama kweli ujuha umetuisha.
 
Mkutano na waandishi habari umekwisha hapa kituoni ndo tunatoka. wamesema wanaandaa T-shirt nyeusi 5000 na mabango kila mtu aje na ya kwake. Hata hivyo wamedai hawatokuwa tayari kuomba kibali cha Polisi kwa kuwa katiba na sheri havitoi lazima ya kufanya hivyo. Naona kama waandishi wengi wameshtuka sana kwa ujasiri wa wasomaji taarifa hii. WAMEITISHA MAANDAMANO NCHI NZIMA.Wamesisitiza kuwa wao wanaratibu kwa Dar lakini mikoani kutaratibiwa na wenye nia hiyo walioko huko kulingana na uwezo wao.
 
Matumaini yanaanza kuyeyuka
Haidhuru wenye nia tunasonga mbele
 
Back
Top Bottom