Tangazo la hoteli la karne

tembeleh2

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
765
165
Nimelione tangazo hili kwenye mitandao limenifurahisha sana, napenda furaha hii nichangie na wana JF.
 

Attachments

  • restaurant.jpg
    restaurant.jpg
    52.4 KB · Views: 836
Duu,
yaelekea restaurant hii Chakula Chake ni Bei POOOOOOAAAAA mno!!!
Nimelipenda Bandiko hili.

 
Jamiix inaonekana huelewi malengo ya mtandao huu. inatakiwa kazi na dawa. yaani wakati mwingine unatakiwa kucheka kdg ili uweze kufanya siasa vizuri.
 
Jamiix inaonekana huelewi malengo ya mtandao huu. inatakiwa kazi na dawa. yaani wakati mwingine unatakiwa kucheka kdg ili uweze kufanya siasa vizuri.

au sio? hata kama ilishakuja ila sio kwa muda na wakati kama huu ambapo tunasikitka Ulimboka kupigwa.
 
subirini allykombo na zomba walione hilo tangazo watalisifia wee!!!!!!!!!!!!!!ngoja waje labda walipotezee
 
Hii itakuwa kitu cha Zenji..maana naona pembeni kuwa namba ya Zantel..halafu lugha ya kipemba kabisa.
Kama kitu hukijuwi si lazima useme, kwa kitu gani kilichokujulisha hii lugha ni ya Kipemba?
 
Back
Top Bottom