lui03152
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 250
- 338
Habarini wana jamvi,
Kumekuwa na utaratibu kwenye hizi simu za smart kuwekwa kwa matangazo lukuki ya biashara ambayo utake usitake lazima uangalie hadi mwisho, wakati huo cha kushamgaza wanaweka option ya ku quit tangazo hilo kama huitaji but hiyo option kwa kweli ni kama zuga tu maana hai respond chochote, yaan unajikuta unawekewa tangazo la dakika 10 uliangalie hadi mwisho. Hizi sera sipo worldwide au hapa bongo tu ili watupige mb zetu??