Tanganyika kuizunguka Zanzibar

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,952
5,982
Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa vimezungukwa na Tanzania water,kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika? Je nikweli?
 
Hakuna Nchi inaitwa tanganyika wala zanzibar!
 
hayo ndio mawazo ya Juha JUSA, lakini hakuna kitu kama hicho, soma UN Conversion on the Law of the Sea utaju
 
......kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika

Hebu tuweke sawa kwanza hapo hizo nchi kwenye red zimezungukwaje na South Africa?
 
Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.
 
Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa vimezungukwa na Tanzania water,kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika? Je nikweli?
Tanzania au Tanganyika? mimi bado sijakupata maana muungano ukivunjika sijui kama kuna kitu kitakuwa kinaitwa Tanzania(Muungano wa Tanganyika na Zanzibar).
 
Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.

NCHI GANI MKUU?
Kuna nchi ya Tanzania ambayo znz ni sehemu yake;hakunakitu kinaitwa Tanganyika kama vile mnatutaka tuamini!!!
 
Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.

Wewe wataalam washakwambia hivyo visiwa vinazama wewe bado unakazana na ramani...we mwenyewe ushakimbilia huko uarabuni kabla hujazama baharini washauri na wenzio wakimbilie Oman mapema kabla mambo hayajaharibika!
 
Uliza swali kama mtu aliyefuta ujinga! Pia fanya utafiti binafsi kabla ya kuropoka hadharani! Ukiuliza ujinga utajibiwa ujinga!
 
Back
Top Bottom