BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
Hakuna Nchi inaitwa tanganyika wala zanzibar!
Huyu anaishi dunia ipi! nadhani hata shule hakuna. hivi akili zako amekukamitia nani? mwambie akupe mwenyewe .
Hakuna Nchi inaitwa tanganyika wala zanzibar!
Naona katika maisha yako mwalimu wa Jiografia hukuwahi kuonana naye hata siku moja.Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa vimezungukwa na Tanzania water,kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika? Je nikweli?
Acha tuwazunguke ili tuwadhibiti
Nasikia ya kuwa iwapo mipaka mipya ya Bahari inayoombwa na Tanzania Bara, iwapo itakubalika ,Then siku Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukaja vunjika(GOD FORBID) visiwa husika vitakuwa vimezungukwa na Tanzania water,kama vile ilivyo Namibia na Botswana kuzungukwa na South Afrika? Je nikweli?
fuatilia hilo andiko lilikwenda UN ramani ipo au unasubiri imwagwe hapa JF??Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.
Hakuna Nchi inaitwa tanganyika wala zanzibar!
Mbumbumbu Jazz BandHapo kwenye red!!! Mwalimu wako wa Jiografia darasa la tano hakufanya kazi yake ipasavyo!!! Nchi zilizozungukwa na South Afrika ni Lesotho na Swaziland.!!! Anyway Zanzibar ni yetu hata kabla ya hii mipaka watu wake kiasili wametoka Bara wale watu hawa
kuota kama uyoga!! Kwa hiyo hatuwezi kuviachia visiwa vyetu ni sawasawa kuachia ngedere shamba la mahindi!!!!!!
Hebu tuweke sawa kwanza hapo hizo nchi kwenye red zimezungukwaje na South Africa?[/QU.... Labda alimanisha Swazland na SA, Guinea Bisau na SENEGAL?
Ninyi watu sijui mlisoma Jiografia enzi za Munga na waliomfuatia! Lesotho ndo
imezungukwa yote na SA, Swaziland imezungukwa na SA kwa karibu 90 percen na ilobaki imepakana na Msumbiji. Gambia nayo ndo imemezwa na Senegal isipokuwa mdomp tu ndo umepakana na Atlantic Ocean.
SA