Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani Tanga leo ikiwa siku ya tano. Leo yuko wilayani Korogwe kufungua stendi mpya ya mabasi.
Sasa afanyeje kama hana miradi...kimsingi stand ilitakiwa kuzinduliwa mwenyekiti wa halmashauri au diwani wa eneo husikaRais wa nchi anazindua stendi ya mabasi ! Eeee bhana eeee !!!! Kazi ipo !
Alafu anajinasibu kua yeye ni m bana matumizi huku anapoteza fedha za serikali kwa kufungua vitu ambayo hata mkuu wa wilaya tu angeweza kuzindua na ikatumika gharama ndogo ya Ml. 2-3Mpaka stand?? aaagh ili aonekane yuko busy?? Mshika mawili....
Wapinzani wamebana sana.Rais wa nchi anazindua stendi ya mabasi ! Eeee bhana eeee !!!! Kazi ipo !
Alafu anajinasibu kua yeye ni m bana matumizi huku anapoteza fedha za serikali kwa kufungua vitu ambayo hata mkuu wa wilaya tu angeweza kuzindua na ikatumika gharama ndogo ya Ml. 2-3
Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani Tanga leo ikiwa siku ya tano. Leo yuko wilayani Korogwe kufungua stendi mpya ya mabasi.
Aliyotufanyia Kikwete Mungu atamlipa .
This is too cheap kwa kweli... Rais kuzindua STENDI YA MAGARI
tuko zaid ya milioni 45Akiongea leo mjini korogwe katika kuhitimisha ziara ya siku 5 ya mh. Rais huko mkoani Tanga, mbunge wa korogwe 'profesa maji marefu' amesema kuwa, ipo haja katiba ya CCM kurekebishwa ili kumpa fursa mh. Rais kuongoza miaka 20 badala ya 10.
Bwana maji marefu aliongea hayo katika mkutano huo huku akishangiliwa kwa vifijo na wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Je, wana great thinkers, mnaonaje, aongezewe?
Hata Huyu Yupo Madarakani Bado Chenga Tu Hakuna Jipya Ktk Uchumi Wetu.
Bado kidogo ataanza kuomba ni kusimamia sendoff za watu kwani ni rais mpenda kiki na miradi yote hiyo ni ya kikwete,, stendi hiyo ya korogwe ni ya muda tangu ijengwe