Wataongeza wezi wa umeme tu, maana kadri wanavyoongeza bei mapato yao pia yanapungua!
sAFARI HII TUOMBE FINANCIALS ZA TANESCO. TUJUE NINI CHANZO CHA KUPANDA KWA GHARAMA MAANA GESI NI ADVANATGE KWETU. AMA
Wataongeza wezi wa umeme tu, maana kadri wanavyoongeza bei mapato yao pia yanapungua!
Kwa hali isiyo ya kawaida waziri huyu amekuwa na maneno ya fedhea sana kwa watanzania kana kwamba yeye si Mtanzania
Swala la gesi: " Watanzania hamuwezi uwekezaji wa gesi,ninyi wekezeni kwenye kilimo cha matunda na viwanda vya juice"
Swala la Umeme: " Mtanzania asiyemudu gharama mpya za umeme,aandae kibatari"
My Take:
Nini msingi wa Kashfa hizi?? Hiyo ndio njia ya kufanya conflict resolution?? ANYWAY,KUNA SIKU TUTAWAKUMBUSHA MANENO YAKO NA KUWAHUKUMU.....

nadhan hii kaul imetolewa na naibu wazir simbachamwene, hii wizara iko mikononi mwa mambulula.
Mramba "bora watanzania wale nyasi, ndege ya rais inanunuliwa". Magufuru "asiyeweza nauli mpya kigamboni, atapiga mbizi" ongezea kaul za viongoz wetu.
Hii kauli yake inawahusu pia wananchi wake wa jimbo la kibakwe?
pius msekwa ...watu walipokuwa wanahoji alipokuwa mwenyekiti wa .....vodacom nadhani alipokuwa spika wa bunge"Watanzania wana wivu wa kike" think ni Mkapa ndio alitupa hii
Tuambie unayemfahamu kwamba anaweza kusema maneno haya ambaye sio Simbachawene.