TANESCO Yaomba kuongeza tena bei ya Umeme kwa 68%

Kwa hali isiyo ya kawaida waziri huyu amekuwa na maneno ya fedhea sana kwa watanzania kana kwamba yeye si Mtanzania
Swala la gesi: " Watanzania hamuwezi uwekezaji wa gesi,ninyi wekezeni kwenye kilimo cha matunda na viwanda vya juice"
Swala la Umeme: " Mtanzania asiyemudu gharama mpya za umeme,aandae kibatari"

My Take:
Nini msingi wa Kashfa hizi?? Hiyo ndio njia ya kufanya conflict resolution?? ANYWAY,KUNA SIKU TUTAWAKUMBUSHA MANENO YAKO NA KUWAHUKUMU.....
 
ukweli mtupu; tunatop up hela la kutuma kwa zzzzk za kuvuruga ccccdma unaona wanahangaika na zittttttto umeme juuu
 
Kwa hali isiyo ya kawaida waziri huyu amekuwa na maneno ya fedhea sana kwa watanzania kana kwamba yeye si Mtanzania
Swala la gesi: " Watanzania hamuwezi uwekezaji wa gesi,ninyi wekezeni kwenye kilimo cha matunda na viwanda vya juice"
Swala la Umeme: " Mtanzania asiyemudu gharama mpya za umeme,aandae kibatari"

My Take:
Nini msingi wa Kashfa hizi?? Hiyo ndio njia ya kufanya conflict resolution?? ANYWAY,KUNA SIKU TUTAWAKUMBUSHA MANENO YAKO NA KUWAHUKUMU.....

nadhan hii kaul imetolewa na naibu wazir simbachamwene, hii wizara iko mikononi mwa mambulula.
 
Hii serikali ya wachumia tumbo itatukamua hadi tone la mwisho la damu.
CCM wataiua nchi.jpg

Wakati wananchi tunapandishiwa bei ya huduma za umeme na bidhaa, majizi haya yako busy yanatapanya mali za umma na kujinufaisha binafsi,kufanya uzinzi na kufisidi kila kitu. Mafisi wakubwa!
View attachment 123495View attachment 123496 shangingi.jpg ufisadi.jpg

Ipo siku kitanuka. Hata bubu akizidiwa siku moja husema.
kodi.jpg
 
Mramba "bora watanzania wale nyasi, ndege ya rais inanunuliwa". Magufuru "asiyeweza nauli mpya kigamboni, atapiga mbizi" ongezea kaul za viongoz wetu.
Kwa hali isiyo ya kawaida waziri huyu amekuwa na maneno ya fedhea sana kwa watanzania kana kwamba yeye si Mtanzania
Swala la gesi: " Watanzania hamuwezi uwekezaji wa gesi,ninyi wekezeni kwenye kilimo cha matunda na viwanda vya juice"
Swala la Umeme: " Mtanzania asiyemudu gharama mpya za umeme,aandae kibatari"

My Take:
Nini msingi wa Kashfa hizi?? Hiyo ndio njia ya kufanya conflict resolution?? ANYWAY,KUNA SIKU TUTAWAKUMBUSHA MANENO YAKO NA KUWAHUKUMU.....
 
hiyo ni ishara ya kwamba tanzania imeishiwa viongozi wanaomuogopa Mungu na kuwajali watz wenzao!
 
Haya ni majibu ya watu walokata tamaa kabisa, hawa jamaa wa CCM wamekata tamaa jambo ambalo linawafanya wawe na kiburi!!!!!
 
Back
Top Bottom