Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
- #21
najitolea kubeba mabegi kuyatoa ikulu kuyapeka kule msoga
Siamini macho yangu kama kweli hakuna umeme ngoja nihame tu nchi. Jamani hii nchi nani anatafuna?
najitolea kubeba mabegi kuyatoa ikulu kuyapeka kule msoga
Kwavle katoka ccm wangeshazuia ukiona hivyo ujue wapo wanaoipasua hiyo service charge
Juzi juzi Mramba alisema baada ya kuwasha mitambo inayotumia gesi shida ya umeme itakuwa mwisho. Leo ndani ya mwezi mmoja wanatwambia hakuna umeme. Hii ni dharau iliyopitiliza kwa Watanzania. Mabadiliko.
Umeme shida,maji shida,huduma hospitalini mbovu,elimu nayo shida,..CCM ikirudi madarakani, kweli itabidi Watanzania tukapimwe uwezo wetu wa akili..
Tuwashe mtambo wa rugemalira tena? Acheni tu tukae gizani kama gesi hakuna.
kikubwa zaidi hizo hudma tunalipia kila mwezi na si bure alafu eti pesa ya mafuta hamna.
Umeme shida,maji shida,huduma hospitalini mbovu,elimu nayo shida,..CCM ikirudi madarakani, kweli itabidi Watanzania tukapimwe uwezo wetu wa akili..
Siasa imeshaharibu hadi taaluma za watu kiasi kwamba watu hawaji ni scientific answers ni blaa blaaa na maneno ya uwongo uwongo. nchi za wenzetu uongo kama huu unanyang'anywa hati vyeti vyako vya academi
Walisema Tatizo Litaisha Mwishoni Mwa August, Mara Kati Kati Ya Sept. Hivi Sasa Mwishoni Mwa October!! Mara Jana Mramba Anasema Tatizo Ni MITAMBO Ile Ilivyokuwa Ikitumika Zamani, Imekaa Muda Mrefu Mno!!! Hivyo Kila Wakiiwasha Inazima, Na MITAMBO MENGINE Si Mali Ya TANESCO, Hivyo Hadi Wenyewe Wajiridhishe Kwanzaa!!! JAMBO JINGINE Ambalo Ndilo Lenye Ukweli ZAIDI, UZALISHAJI Wa UMEME Ktk. VYANZO Vyote MAJI Ktk. MABWAWA Yote Nchini!! Hivi Sasa Uko Chini Ya 55% to 70%!! Wametaja Yote Yako CHINI Ya UZALISHAJI!!! Sasa Tutegemee Kupata UMEME Wa Kutosha Hapo!!!?? Tunapigwa Siasa Tu, UCHAGUZI Upite!!
Huyu jamaa kilaza sana, huwa anaongea mpaka povu, kashindwa kazi, Muhongo alikuwa JEMBE.TUJITEGEMEE namtafuta Simba Chawene na kauli ya mgao wa umeme kuwa historia Tanzania.