Tanesco wanaajenda ya siri na ccm, hasa wkt huu wa bunge

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
LEO asubuhi wakati Mnyika anaanza kujenga hoja zenye kuonesha maana ya bunge, zikielekezwa kwa waziri mkuu baada ya kusaidia kama kinda na spika, walikata umeme ghafla. Tena ukarudishwa jioni saa 1 na sasa hivi kabla ya taarifa ya habari wakakata tena!

Jamani, hizi si mbinu chafu za ccm ili tusijue kinachoendelea?
 
Back
Top Bottom