TANESCO mmeniunguzia TV yangu ya 2M

Kila siku mnaambiwa nunueni AVR,hizo TV guard zenyewe ni utopolo mtupu.

AVR ya 1.5KVA utalinda vifaa hata vitatu ambavyo ni sensitive to electrical surge.
 
Huo ndiyo upuuzi. Kwa hiyo Tanesco wanafanya madudu hayo ili watu tununue TV guard? Lazima watu wawajibishwe. Siku hizi mtu akiwa serikalini au shirika la umma anaweza kufanya lolote na lawama unakuja kwa mtu wa kawaida. Tanesco weredi na uwajibikaji zero..
 
Uandushi huu unaonesha hiyo Tv haukuinunua dukani, inaonekana ni ya magumashi ksma unabisha weka risiti hapa ili usaidiwe kulipwa.
Karibu.

TV ya samsung ninunue kwa lampard pale kariakoo iwe magumashi risit ipo nkipata mda wa kuitafta ntakupa
 
Back
Top Bottom