Mlupembe
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 445
- 209
Mkuu mbona TANESCO hawajatutangazia mgao wa umeme, pia mitaa ya kwetu umeme upo.
mkuu we kwenu lazima upo we si house keeper wa mzungu msasani hapo kuna automatic generetor..
Mkuu mbona TANESCO hawajatutangazia mgao wa umeme, pia mitaa ya kwetu umeme upo.
Ni lazima tukubaliane TANESCO hawausiani na vyama vya siasa, pia tanesco sio chama cha siasa.
Tatizo UKAWA nao hii issue hawaipi uzito.
Mhe wakili; Petro E. Mselewa kwa maana nyepesi kabisa Tanesco wanaihujumu ccm badala ya kuwasaidia...!!
Tuwaombe watueleze ukweliiiiii
Mhe wakili; Petro E. Mselewa kwa maana nyepesi kabisa Tanesco wanaihujumu ccm badala ya kuwasaidia...!!