Wadau, naomba msikate tamaa. na wala tusiwe na speculations ambazo si sahihi. Applications zilizopokelewa ni nyingi sana; sana tena sana. kuna utaratibu wa kuhakikisha kuwa zote moja moja zinapitiwa na kuingizwa kwenye data base for record ili kurahisisha zoezi zima la shortlisting. TANAPA hakuna undugu; hata ukiwepo lazima mlengwa awe na sifa zinazotakiwa; inteview is very transparent, inafanywa na watu wengi plus watu wa nje wa taaluma husika. VUTENI SUBIRA, MWENYE SIFA ATAITWA WANDUGU