Tanapa

priscilla

Member
Oct 1, 2011
32
0
jamani wakuu kuna aliyeitwa kwenye interview tanapa atuabarishe tusije tukawa tunasubiria kuitwa kumbe vimemo vilishapita. Mbarikiwe
 
Priscilla, Huna imani nao? kwani mwenendo wa kupokea memo ili na sisi waombaji wengine tukate tamaa?
 
wakuu pale Tanapa ni undugunization,nafasi zilizotolewa zina wenyewe(wafanya kazi wa palepale waliojiendeleza) ila tumuombe Mungu anayetoa haki ndio atakayetupigania.lets hope>>:eyebrows:
 
Ndugu mbona bado mapema sana, mara nyingi taasisi za serikali zinachukua muda hata kuita watu kwenye interview maana unaweza kushangaa kazi hizo zipo kwenye budget ya kuanzia mwezi wa saba yaani 2012/2013 budget. Kwa hiyo kuwa mpole tu utaitwa, lkn pia uchakachuaji katika sehemu hizo ni mkubwa sana vimemo vinatembea sana wewe cha msingi ni kumuomba Mungu basi
 
Kuna mtu mimi ninamfaham alipigiwa simu tarehe 31/01/2012.Ila usikate tamaa labda mchakato unaendelea.Nilijaribu pia kumdodosa kama ana ndugu pale akasema hamjui mtu yeyote pale.
 
Tuwe na subira wandugu, me nilienda tanapa last j'mosi kuulizia mchako mzima wakaniambia bado na waliongeza mda wa kupokea appl. na deadline ndo ilikuwa cku hiyo j'mosi.
 
Hizo Nyingine sijui.. Ila Nfasi za IT Analyst zina watu muda mrefu na Senior IT analyst Networking virtually kaanza kazi... NASIKITIKA KWANINI WANASUMBUA RAIA KWA KAZI KAMA HIZI...
 
Una ndugu pale au una umiza kichwa tu.Labda uwe una kitu tofauti kwenye cv yako ambayo ndugu zao hawana unaweza ukapata
 
  • Thanks
Reactions: Wit
mashirika ya umma kama TANAPA,NCAA,PPF, n.k huwa yanatangaza hizi nafasi kama formality tu lakini already nafasi zinakuwa ziko covered,ukisikia nafasi kumi jua ambazo ni genuine ni mbili au tatu..ila hapana kukata tamaa
 
simba mbona walisema deadline ni tar 29jan?haya bwana tusemeje ss?Acha nisubiri Mungu mwenyewe aingilie kati,lkn kama ndo wanafanya hivyo basi wasingetangaza hizo nafasi kama walijua wana ndugu zao.hii nchi cjuitunakoelekea kwa kweli.
 
mashirika ya umma kama TANAPA,NCAA,PPF, n.k huwa yanatangaza hizi nafasi kama formality tu lakini already nafasi zinakuwa ziko covered,ukisikia nafasi kumi jua ambazo ni genuine ni mbili au tatu..ila hapana kukata tamaa
@wit kweli hakuna kukata tamaa kwa Mungu yote yawezekana
 
Priscilla, Huna imani nao? kwani mwenendo wa kupokea memo ili na sisi waombaji wengine tukate tamaa?
@wambugani hapana sina maana hyo,unajua tunaweza tukawa tunasubiri kuitwa kumbe watu walishaanza kazi,ni vizuri kuuliza
 
wakuu pale Tanapa ni undugunization,nafasi zilizotolewa zina wenyewe(wafanya kazi wa palepale waliojiendeleza) ila tumuombe Mungu anayetoa haki ndio atakayetupigania.lets hope>>:eyebrows:
@damcon tumtegemee Mungu,ss hatuna ndugu wala vimemo ila Mungu atadhihirika akitutetea
 
wakuu pale Tanapa ni undugunization,nafasi zilizotolewa zina wenyewe(wafanya kazi wa palepale waliojiendeleza) ila tumuombe Mungu anayetoa haki ndio atakayetupigania.lets hope>>:eyebrows:
Una ushahidi?
 
Back
Top Bottom