Tamu....

mi mwenyewe nipo bize kweli ofsini ila namsubiri sponsor wangu mmoja nikapate lunch hapo sea cliff aisee

Niko mbali ningejiunga huapo japo sijajua huyo sponsor ni wa jinsia gani
Asante sana dear
 
soksi za manjano kweli ulipendeza
nawe heri ya mwaka mpya

Kudadekiii....shati la rangi ya zambarau na suruali nyekundu...:shock:

Amekuwa mkongomani au pedesheee siku hizi

viatu vyeupe soksi njano unasemaje hapo
vipi w/end wapi kwenye utamu nasubiri mwaliko

Nyie watu nyie mbona mnataka watu waige style yangu hiyo ya mavazi
Nyuki siku hiyo karibu waning'ate maana mchanganyiko huo walifikiri mimi ni ua linalotembea
 
Nyie watu nyie mbona mnataka watu waige style yangu hiyo ya mavazi
Nyuki siku hiyo karibu waning'ate maana mchanganyiko huo walifikiri mimi ni ua linalotembea

na vile ilikuwa kipindi cha sikukuu walifikiri christmas tree inatembea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom