Tamu....

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
Hamu....
DSC02698.JPG
 
kuna haya mabadi ya taqwa ya kutoka kenya had zimbabwe nayo huywa yameandikwa ajabu ajabu......hahahhaha
 
kuna haya mabadi ya taqwa ya kutoka kenya had zimbabwe nayo huywa yameandikwa ajabu ajabu......hahahhaha

Najua Utakuwa Umekosea shabaha kidogo ulikuwa unataka kulenga S Jihadhari Siku/sehemu nyingine utapata Kesi!
 
Mkuu,
Umeamua kurudi tena Tanga kwa mara ya pili?...hakika kwa hali kama ile ilikuwa ni lazima wende tena!
 
Kuna basi huwa linapita maeneo yetu sijui huwa linaelekea wapi limeandikwa....." Kama vipi iingize mwenyewe"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom