Tamko la waislam wa Tanga

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011
 
mtumbwi ni chombo muhimu huko zenji ila ni gogo la kuachwa shambani litafunwe na mchwa huku tabora
so siasa za kidini (JK ujinga) kwetu ni gogo na waachie wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: LAT
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

mimi kwenye huu uzi nimependa avatar ya mtoa mada tu.

hayo mengine subiri kwanza nifanye kazi inayonifanya niitwe mwanaume mtaani kwangu.
 
Hapa sitakaa nitoe maoni yangu. Bora niendelee kuchapa kazi nijenge taifa.
 
Mie hiyo avatar tu! Lol!
Hayo mengine tuwaachie wenyewe watoto wa Kitanga!
 
hawa nao tushawachoka mala waseme hawataki dini ziingilie siasa mala wanaingilia siasa ilimradi tu waivuruge serikali yaani maustaadh mna tabu sana mara dr ni askofu mala padri hv kwann mnashindwa kutulia??kila sehemu mnaharibu tu!kwa kauli zisizoenda shule!mkiambiwa mthibitishe hayo madai yenu mnaweza?
 
Ghosh...! Another thread ya udini! Meeeen! Ant you tied...!? Give me a break!
 
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
Wameona Nigeria kuna ukanda wa Kaskazini unaofuata Sharia na sehemu nyingine ni Wakristo ndio wanataka kuiga, yani kwa akili zao kabisa wanaona tunaweza kuwapa mikoa fulani miwili mitatu ikawa ni ya Kiislamu tu. Jamaa wana nini vichwani?
 
Kazi ipo. Mwatakani nyie waislam? Hebu enezeni neno la Mungu, hayo mengne co kazi yenu. Mme2mwa na shetani nyie eeh! Polen kwa upeo mdgo wa kufkr.
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

oooh another new track from our beloved whingers a.k.a watoto wa mama mdogo...
 
Back
Top Bottom