Tamko la waislam wa Tanga

Wamesahau moja - Serikali impige marufuku Babu na kikombe chake maana kina harufu ya mfumo Kristo na wao wanataka mfumo Muhammad. Hiyo ya majimbo - wako serious kweli - maana ni CDM hiyo.
 
Ahahahaha! mimi huwa nacheka sana na hawa wasomi Wakirsto wanaojitapa eti wasomi, sijui huyo Usomi wao umelisaidia vipi taifa letu zaidi yakufanya Ufisadi tu, ni sawa sawa na punda kubeba mzigo wa vitabu mgongoni, kwenye nchi kumi masikini duniani Tanzania tumo na bado kuna wapuuzi wanajisifia eti Wasomi, wasomi wa Tanzania elimu yao inawasaidia kuiba tu tena usomi Insubstantial kabisa, Wasomi wa Tanzania uwezi Collate na wasomi wa nchi nyingine, acheni ku-deceit
 
Tamko lao linapoteza ladha ya mjadala wa katiba. Jamani tunahitaji umoja ili kusonga mbele siyo udini, udini. Tanga vipi huko ??
 
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Mfumo wa Majimbo tunauunga mkono kwa maana ya kuwa na uongozi wa kuchaguliwa na wananchi siyo wa sasa wanaletwa R.C.R.A.S, DAS, DC na D.E.D ambao hawachaguliwa wananchi wa Jimbo husika na wanawaamulia wananchi mambo yao bila kujali maslahi ya wananchi na wananchi hawana namna ya kumuwajibisha RC au DC au DED, badala yake wanamlilia shida Mbunge ambaye hana Mamlaka ya Kiongozi na Mwakilishi tu! Utawala wa Majimbo ni sahihi kabisa kwa minajili ya kuwapa wananchi uhuru wa kuchagua Viongozi wao nafasi ambayo hadi sasa tangu Uhuru wamenyimwa ila ktk Ngazi ya Urais na Kijiji tu!ILA NAPINGA utawala wa Majimbo kwa minajili ya kuleta Sheria za Dini, kwanza hakuna Mkoa wenye asilimia 90% ya waumini wa Dini fulani tu, hata huko Tanga waumini wa Kikristo wapo wengi saaana tu,Majimbo kwa kuleta sheria za Dini marufukuuuu kabisa, kama wanataka wahame Tanzania yetu ya kina Chacha, Ngosha, Mwaipopo, Mgosi,Komba, Massawe, Mollel , Shedaffa, Ruta, Chemundugwao na Mkude wahamie Uarabuni kwa wenzao!
 
Ahahahaha! mimi huwa nacheka sana na hawa wasomi Wakirsto wanaojitapa eti wasomi, sijui huyo Usomi wao umelisaidia vipi taifa letu zaidi yakufanya Ufisadi tu, ni sawa sawa na punda kubeba mzigo wa vitabu mgongoni, kwenye nchi kumi masikini duniani Tanzania tumo na bado kuna wapuuzi wanajisifia eti Wasomi, wasomi wa Tanzania elimu yao inawasaidia kuiba tu tena usomi Insubstantial kabisa, Wasomi wa Tanzania uwezi Collate na wasomi wa nchi nyingine, acheni ku-deceit
Wasomi wa kiislam je?
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Kwa vyovyote vile, mawazo kama haya hayatoki kwa wasomi au watu wenye uelewa wa mambo na wanaojua wanachokisema bali wacheza bao na wapiga majungu kijiweni. Serikali haijawahi kuyapa makanisa hela isipokuwa imechangia tu kwenye huduma za jamii zinazotolewa kwa wananchi wote na taasisi za Kikristo ili wananchi waweze kuzipata kwa gharama nafuu. Huduma za Hospitali ya Bugando, KCMC, Sumve, Bukumbi, Peramiho, Consolata Hospital (Mbagala Mission), Huruma (Moshi) na nyinginezo nyingi hazibagui watu kwa huduma zao.

Kuna hospitali moja ya Mission (Morogoro), wananchi wameiomba serikali isaidie pia kutoa ruzuku ili huduma zake ziwanufaishe pia wenye kipato cha chini kwani ndiyo hospitali pekee eneo hilo na huduma zake ziko juu sana. Hospitali hiyo inamilikiwa na Kanisa Katoliki. Baada ya kuombwa na serikali Kanisa limekubali kuingia ubia na serikali (kushirikiana kutoa huduma za afya) ili huduma hizo ziwafikie wananchi wote na zingine zitolewe bure.

Nje ya huduma kama hizi, hao wanaolalamika watoe ushahidi kuonesha ni jinsi gani serikali inasaidia makanisa kujenga nyumba zao za ibada au kuwasomesha wachungaji na mapadre wao na kuwakatalia Waislamu kama siyo porojo tu za vijiweni. Pia ni huduma gani kama hizo (mfano hospitali) zilizochini ya Waislamu na zinatoa huduma kwa wote na serikali inazinyima taasisi hizo zinazotoa huduma kwa jamii kwa vile zinamilikiwa na Waislamu.
 
Ahahahaha! mimi huwa nacheka sana na hawa wasomi Wakirsto wanaojitapa eti wasomi, sijui huyo Usomi wao umelisaidia vipi taifa letu zaidi yakufanya Ufisadi tu, ni sawa sawa na punda kubeba mzigo wa vitabu mgongoni, kwenye nchi kumi masikini duniani Tanzania tumo na bado kuna wapuuzi wanajisifia eti Wasomi, wasomi wa Tanzania elimu yao inawasaidia kuiba tu tena usomi Insubstantial kabisa, Wasomi wa Tanzania uwezi Collate na wasomi wa nchi nyingine, acheni ku-deceit

Usomi wa Wakristo unaonekana katika mchango wao wa huduma za jamii - kama vile mashule, hospitali, kujenga barabara, madaraja na hata kutoa huduma za vyombo vya usafiri. Elimu lazima isaidie kupambana na mazingira yanayotuzunguka na kupunguza umaskini (kupitia ajira), magonjwa (huduma za afya) na ujinga (elimu).
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Umesahau CHUO CHA UMMA CHA TANESCO MOROGORO walichopewa waislam na kukifanya MUSLIM UNIVERSITY
 
Wasomi wa kiislam je?

Mkuu lini ulisikia Waislam wanajisifia wamesoma? wenyewe wanakubali awajasoma, Labda unisaidie wasomi wa Wakirsto wa Tanzania wamelisaidiaje taifa ili kutoka kwenye umasikini zaidi ya ufisadi tu, ndio maana nakuambia wasomi wa Tanzania ambayo wapo serikalini ndio wanatusabishia huu umasikini
 
Ahahahaha! mimi huwa nacheka sana na hawa wasomi Wakirsto wanaojitapa eti wasomi, sijui huyo Usomi wao umelisaidia vipi taifa letu zaidi yakufanya Ufisadi tu, ni sawa sawa na punda kubeba mzigo wa vitabu mgongoni, kwenye nchi kumi masikini duniani Tanzania tumo na bado kuna wapuuzi wanajisifia eti Wasomi, wasomi wa Tanzania elimu yao inawasaidia kuiba tu tena usomi Insubstantial kabisa, Wasomi wa Tanzania uwezi Collate na wasomi wa nchi nyingine, acheni ku-deceit

Mbona haushangai CV ya Mufti Juma Bin Shaaaaaaban. Huyo ndiyo msomi wa waislam. Vibaragashia tutututuuuuuuuuuuuuuuuu na chai chunguuuuuuuuuuuuuuuuuuu na Bao kwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Sasa kwa nini usingetoa nakala ukaenda kubandika misikitini badala ya kuja kubandika hapa JF
 
Usomi wa Wakristo unaonekana katika mchango wao wa huduma za jamii - kama vile mashule, hospitali, kujenga barabara, madaraja na hata kutoa huduma za vyombo vya usafiri. Elimu lazima isaidie kupambana na mazingira yanayotuzunguka na kupunguza umaskini (kupitia ajira), magonjwa (huduma za afya) na ujinga (elimu).

Magobe T
Mimi naweza kukubaliana na wewe kwenye vitu viwili ulivyovitaja kwenye huduma za jamii kama vile-mashule, hospitali, lakini hivyo vingine kujenga barabara, madaraja sijui wewe mkuu unaishi wapi labda unaishi Masaki. kingine mkuu naona upo tayari kumtetea Msomi yoyote Fisadi ata kama yupo CCM kama ni Mkirsto
 
Mbona haushangai CV ya Mufti Juma Bin Shaaaaaaban. Huyo ndiyo msomi wa waislam. Vibaragashia tutututuuuuuuuuuuuuuuuu na chai chunguuuuuuuuuuuuuuuuuuu na Bao kwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana

Naona unapayuka tu, na fikra zako mbinuko unaumwa wewe ngoja tuwambie ndugu zako wakufunge kamba wakupakie kwenye fuso wakupeleke Liliondo ukapate kikombe cha Babu labda akili itakaa vizuri
 
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Mfumo wa Majimbo tunauunga mkono kwa maana ya kuwa na uongozi wa kuchaguliwa na wananchi siyo wa sasa wanaletwa R.C.R.A.S, DAS, DC na D.E.D ambao hawachaguliwa wananchi wa Jimbo husika na wanawaamulia wananchi mambo yao bila kujali maslahi ya wananchi na wananchi hawana namna ya kumuwajibisha RC au DC au DED, badala yake wanamlilia shida Mbunge ambaye hana Mamlaka ya Kiongozi na Mwakilishi tu! Utawala wa Majimbo ni sahihi kabisa kwa minajili ya kuwapa wananchi uhuru wa kuchagua Viongozi wao nafasi ambayo hadi sasa tangu Uhuru wamenyimwa ila ktk Ngazi ya Urais na Kijiji tu!ILA NAPINGA utawala wa Majimbo kwa minajili ya kuleta Sheria za Dini, kwanza hakuna Mkoa wenye asilimia 90% ya waumini wa Dini fulani tu, hata huko Tanga waumini wa Kikristo wapo wengi saaana tu,Majimbo kwa kuleta sheria za Dini marufukuuuu kabisa, kama wanataka wahame Tanzania yetu ya kina Chacha, Ngosha, Mwaipopo, Mgosi, na Komba wahamie Uarabuni kwa wenzao!
Naunga mkono hii kauli hasa hasa katika kuchagua RC, DC isiwe raisi bali watu wa sehemu husika, ili waweze kuchochea maendeleo ya sehemu husika, mfano Tanga unanafasi yake ya kimaendeleo kupitia Bandari nk na mikoa mingine kila moja kwa wakati wake maana mfumo wa serikali kuu umeshindwa kutokana na ufisadi au mapungufu ya kiuongozi katika serikali na kivyama..
Kuhusu sheria za kumtawala mtu mimi kuboresha hili nafikiri kila moja a hukumiwe kutokana na Dini yake hivyo watu wakifika umri wa miaka 18 analetewa na sirikali fomu ya kujaza na kusema mimi ikitokea talaka kuiba kufiwa nk nkn sheria itakayo tumika kunitetea/kunihukumu ni ya kikiristo/kiisalamu au hizi za kimagharibi/kisocialist nk nk, maana Tanga kuna waanglikana na waislamu nawapagani pia, hindo, bohora,nk
 
Mkuu lini ulisikia Waislam wanajisifia wamesoma? wenyewe wanakubali awajasoma, Labda unisaidie wasomi wa Wakirsto wa Tanzania wamelisaidiaje taifa ili kutoka kwenye umasikini zaidi ya ufisadi tu, ndio maana nakuambia wasomi wa Tanzania ambayo wapo serikalini ndio wanatusabishia huu umasikini
nakubaliana na wewe mkuu,sisi tunao jiita tumesoma kuliko wa upande wa pili ndio tupo maofisini kwa wingi na ndio tulio ipelekea hii nchi pabaya kwa kujifanya tumesoma na kuingia mikataba ambayo inaimalia hii nchi
kwa kweli ktk watu wanaotakiwa kulaumiwa ktk hii nchi masikini ni sisi wakristo wasomi ambao tumeiingiza nchi hii ktk matatizo makubwa sana, na kiukweli ni bora kuwa na watu wasio enda shule kuliko kuwa na watu waliokwenda shule na bado ni mzigo kwa taifa

ni bora wao waislamu hawajasoma hivyo wajasababisha nchii hii kuingia ktk mikataba yha ulaghai inatutafuna wote sasa wakristo kwa waislamu
 
..hao wanaojiita Waislamu wa Tanga wamekumbuka shuka wakati jogoo tayari anawika.

..kwenye kampeni za Uraisi JK alieleza bayana kwamba zipo Hospitali za misheni ambazo zitapandishwa daraja na kuwa za mikoa.

..sasa kama Waislamu wa Tanga wanapinga ushirikiano kati ya serikali na kanisa ktk kutoa huduma za jamii walipaswa kufanya kampeni ya kumpinga Kikwete na chama chake.

..
 
Back
Top Bottom