Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

Status
Not open for further replies.
Anasema kuendelea kukaa kimya kungepelekea watanzania kuamini propaganda za Mengi dhidi yake na yeye sasa hakai kimya tena kama mjumbe wa NEC na mtu anayeaminiwa na wananchi wa Igunga na taifa kwa ujumla kwa uchafu anaopandikiziwa na Bwana Mengi.

mwambie nikiwa kama mmoja wa wananchi wa Tanzania, simwamini kwa njia yoyote ile na najua kuwa yeye ni mwizi mkubwa wa mali zetu, hivyo basi asijumuhishe kuwa wanachi wato tunamwamini, sio kweli hao ni UVCCM tabora ndio wanaomwamini kwa kutaka kusaliti taifa letu
Fisadi mkubwa wewe
 
Anasema, mtu kama Mengi ambaye ana uroho, tamaa, ubinafsi uliovuka mipaka na chuki nzito hafai na si wa kukaa kimya na kufanya hivyo kutamgharimu sana.

Anasema Mengi ni mtu anayependa ugomvi na anayependa kuonewa huruma kwa kutaka kuliingiza taifa kwenye vurugu. Anasema ameanzisha ugomvi kuanzia maaskofu mpaka ze komedi.

Anasema alishagombana na DTV na CTN miaka ya nyuma na kuwazushia kuwa wanataka kumuua.

Anasema alianzisha ugomvi na Masilingi kwa kuikosa Kempinski. Anasema alianzisha ugomvi na Lowassa kwa issue za mazingira, Mramba kwa kukwepa kodi, Habari Corporation chini ya Ulimwengu over NBC scandal, Manji over Bahati Nasibu na chuki binafsi dhidi ya mgogoro wa Yanga, Malima aliyehoji dhidi ya matumizi ya vyombo vyake kumtukuza badala ya viongozi wa kitaifa. Tanil Somaiya over viwanda vyake, Masha over kuhujumiwa n.k
 
Anasema anamtafuta binafsi baada ya kuona yeye RA ameingia kwenye umiliki wa vyombo vya habari!
 
Anasema, Mengi ni Nyangumi wa ufisadi katika Tanzania. Anasema anamwondolea ngozi yake ya kondoo ambayo anawaonyesha watanzania ili wamjue kuwa ni mbwa mwitu. Anasema anayetuhumu watu kuwa na tabia flani yeye ndiye mwenye tabia hiyo.
 
Rostam kama Mengi, haya aliyoyasema hayahusu kabisaaaa. Hakuna jipya hapo, arudi kwenye mada.
 
Okayyy sasa tunaelekea kuzuri.... thanks mkuu
Anasema yote yote aliyowahusisha ni yeye mhusika na si wao. Yeye ndo ameifilisi NBC ambayo ni mali ya watanzania na akapelekea ibinafsiwe kwa bei chee.

Anataja madeni yanayomkabili Mengi kwa loan agreements... Hiyo siwezi kuandika maana anataja account numbers ambazo si rahisi kuandika
 
Anasema, Mengi ni Nyangumi wa ufisadi katika Tanzania. Anasema anamwondolea ngozi yake ya kondoo ambayo anawaonyesha watanzania ili wamjue kuwa ni mbwa mwitu. Anasema anayetuhumu watu kuwa na tabia flani yeye ndiye mwenye tabia hiyo.

Bado naona hakuna News hapa, atuoneshe documents za ufisadi wa Mengi siyo blah blah blah. Hana Jipya huyu baada ya kuona amechemsha kwa kutoa 48 Hrs kama mwenzake Masha sasa kaona ajifute sura kwa "mikono yenye Majivu". Hana jipya kuhusu Mengi mpaka hapo.
 
Hivi hizi ndio haina ya press conference tunazofanya Tanzanian
what is new inside that press confrerence jamani
Pumba pumba, au bado hajaanza kuongea nini?
Haya ngoja tuone mwishilio wake ni nini hapo
 
Anasema anamtafuta binafsi baada ya kuona yeye RA ameingia kwenye umiliki wa vyombo vya habari!

Hebu ataje chombo cha habari anachomiliki maana inasemekana hakuna mahali jina lake linaonekana kwenye umiliki wa HCL. Na hii inadhihirishwa na kauli ya gazeti ya Rai wiki jana.
 
Anasema, Mengi ni Nyangumi wa ufisadi katika Tanzania. Anasema anamwondolea ngozi yake ya kondoo ambayo anawaonyesha watanzania ili wamjue kuwa ni mbwa mwitu. Anasema anayetuhumu watu kuwa na tabia flani yeye ndiye mwenye tabia hiyo.
Kwa maana hiyo Dr Slaa ni fisadi? Hapo amechemsha
 
Fina Mango na kampuni yake ambayo ndo imepewa tenda ya kuandaa hii Press Conference. Mabaunsa wamekaa as if kuna vita inakaribia, sijui ni wa Rostam au ndo wa kampuni ya Fina Mango!?

Tatizo la watu humu ndani wanafikiri kuwa kila mtu wanayemjua wao basi anajulikana na dunia nzima.kila zikitajwa Press Conference za walanchi inasemwa kuwa zimeandaliwa na huyo binti(mama?). Who is Finna Maembe by the way?
 
Anasema, Mengi ni Nyangumi wa ufisadi katika Tanzania. Anasema anamwondolea ngozi yake ya kondoo ambayo anawaonyesha watanzania ili wamjue kuwa ni mbwa mwitu. Anasema anayetuhumu watu kuwa na tabia flani yeye ndiye mwenye tabia hiyo.

Inabidi Mengi awe mpole kuhimili haya matusi kwenye yeye ndiye aliyelikoroga kuwaita wenzie mapapa, alinywe sasa. Asilie katukanwa.

Communication skills za fisadi Mengi na Rostam zero kabisa. Yaani wanasahau kwamba wanachokisema kitasikika duniani kote.
 
maongezi haya hayaleti ufumbuzi kabisa .Rostam kaitwa mwizi na kabaguliwa kwa madai kwa mujibu wa Katiba yeye alitakiwa aenda Mahakamani.Huko kuna nini na yeye Mengi alisema atakaye ona kaonewa aende Mahakamani na si kempinski tena .Inakuwaje mambo haya ?
 
Anasema Mengi amelifilisi taifa zaidi ya bil 28.

Mengi anasema anataka aonekene msafi alichukua hela nyingi toka kwa wafadhili ili kuwasaidia wafanyabiashara waagizie bidhaa.

Anasema Mengi anawaongezea mzigo watanzania kwa kutolipa madeni mengi aliyokopa kupitia ANCHIMWEDU.

Naona anataja idadi za hela, inakuwa ngumu kuandika hela zote anazotaja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom