PHILE1879
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 633
- 469
Mimi napita tu ila maneno yetu tunayoyatamka kumbuken kila kiongozi wa nchi ni mungu kamuweka pia anahusika. Sitaki kuwa mkoma kama Miriam kwenye biblia haya maneno yetu ipo siku tutatoa hesabu. Mie mgeni jamii forum hodiiiiiii mpaka ndani
Dunia imeshuhudia madictator kama Adolf Hitler,Joseph Stalin,Idd Amini.....je viongozi wote huwekwa na Mungu? I doubt