Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

utaishia kutukana tu mtu mzima unaongea kiswahili cha hovyo ukomo ndiyo nini,kwa taarifa yako uelewa wangu naweza hata kukuweka darasani na kukufundisha siyo wa hovyo kama wewe unayetumika hata bila kujua kwa nini unatumika.

Kama hata neno rahisi kama ukomo kwako linakuwa ni msamiati mgumu; basi ni vyema ukaendelea kusotea posho hapo Lumumba kwani huo ndiyo upeo wako.
 
RAIS aache kauli za kisiasa katika masuala mhimu kama haya yeye yuko kuwait alijuaje kuwa waliojeruhiwa walikuwa 40 mbna anapotohsa umma?

we uko nchi gani kwani kuwait teknorojia ya mawasiliano haijafika? ndugu vipi suala ta taaluma limekupita mbali nini?
 
Nchi ya matamko, makaripio, makemeo, masikitiko, maonyo, maelekezo, matishio, malalamiko, maombolezo ... bila vitendo!
 
Hata mauaji ya Padri Mushi aliyapokea kwa masikitiko, Kujeruhiwa padri Mkenda alipokea kwa masikitiko, kuchomwa moto makanisa amepokea kwa masikitiko!! Sijui nini ambacho hajapokea kwa masikitiko, labda alichopokea kwa furaha ni ile Video ya Ustaadh Ilunga ya mauji ya sheikh Rogo inayohamasisha kuua wakatoliki.

Kikwete matamko yako tumeyachoka sasa ni wakati wa kuchukua hatua za kukomesha mauaji, la sivyo wakristo tutaamua kujilinda wenyewe dhidi ya maadui zetu

kwan unavyodhan kikwete km rais anatakiwa kuchukua hatua gani kumuadhibu mhalifu???kumbuka kuna mihimili mitatu ya dola ambayo ni serikali,mahakama na bunge!

Swala la mauaji na uvunjifu wa aman hushughulikiwa na mahakama,na kesi za mauaji na uchomaj wa makanisa bado zinaendelea mahakaman,rais hana mamlaka ya kutoa hukumu ktk hili!

Tuviache vyombo husika ambavyo ni polisi na mahakama kufanya utafiti na kuwabaini wahalifu kisha kuwahukumu kwa mujibu wa sheria!!!!

Rais yy wajib wake ni kutoa tamko na kutviagiza vyombo husika kushughulikia swala husika km alivyokwisha fanya!!

Mungu ibariki tanzania,
 
Mbona hawa watu walishatamka kuwa watafanya makubwa zaidi ya kuchoma makanisa SERIKALI IMELALA USINGIZI
 
SERIKALI KUCHUA HATUA KALI MLIPUKO ARUSHA
Monday, 06 May 2013 Written by Mjengwa Blog Email Tuma Maoni

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Dkt.Emmanuel Nchimbi

Na Immaculate Makilika-Maelezo
SERIKALI imesema kuwa itachukua hatua kali kwa mtu yeyote bila kujali hadhi nafasi yake katika jamii kufuatia kuwepo kwa watu wachache wasiyoitakia mema nchi yetu kutaka kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa Watanzania na kuleta mapigano, mauaji nchini
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi wakati akitoa kauli ya Serikali kuhusu mlipuko wa uliotokea katika kanisa la katoliki la Mtakatifu Joseph Parokia ya Olasiti Arusha mjini Mei 5, mwaka huu saa 4:30 asubuhi na kusababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi 59, kati ya hao watatu ni mahututi.

Aliwataja watu waliofariki dunia kuwa ni Regina Kurusei mwenye wa miaka 45 mkazi wa Olasiti ambaye alifariki siku ya tukio wakati alipokuwa kipatiwa matibabu katika hospitali ya Mount Meru na James Gabriel(16) aliyefariki usiku wa kuamkia leo.
“Tutachukua hatua kali bila huruma kuzigandamiza njama hizi mbaya dhidi ya taifa letu. Tutachukua hatua kali kwa mtu yeyote bila kujali hadhi na nafasi yake katika jamii. Amani yetu kwanza na taifa letu kwanza,” alisema Waziri Nchimbi.
Alisema tayari kikosi kazi maalumu kimeundwa ili kuchunguza tukio hilo.
Waziri Nchimbi alisema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa mlipuko huo ni bomu. Hivyo uchunguzi wa kubaini aina ya bomu lililotumika unaendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Wataalamu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania .
“ Hadi sasa watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi. Miongoni mwao ni Victor Ambroce mwenye umri wa miaka 20, dereva wa bodaboda,mkazi wa Mrombo, Arusha,ambaye anatuhumiwa kwa kurusha bomu hilo. Watuhumiwa wengine watano waliokamatwa ni raia wane wa kigeni na Mtanzania mmoja ambao wanashikiliwa kwa maahojiano,” alisema.
Aidha Waziri Nchimbi alisema Serikali inamewataka wanasiasa na viongozi wote wajiepushe na kauli zinazochochea ubaguzi wa kidini, mifarakano ya kijamii na chuki miongoni mwa Watanzania.
”Serikali isilaumiwe kwa hatua kali za kisheria itakazozichukua dhidi ya viongozi wa aina hii ambao maslahi yao ni muhimu kuliko maisha ya Watanzania, maslahi yao ni muhimu kuliko umoja wa Watanzania,” alisisitiza huku akisema Serikali kwa nguvu zake zote itahakikisha kuwa watuhumiwa wote waliohusika na kushiriki kwa namna yoyote katika tukio hilo wanasakwa popote walipo na kufikishwa katika vyombo vya sheria..
Aliongeza kuwa kwa niaba ya Serikali anaungana na Watanzania kulaani wahusika wote wa tukio hilo walioshiriki kwa njia yoyote. Pia inawataka viongozi wa kisiasa, kidini,na wananchi wote kwa ujumla kila mmoja kwa nafasi yake kuwajibika ili kuhakikisha kuwa nchi yetu inaendelea kuwa kisiwa cha amani na utulivu.
Mlipuko huo ulitokea muda mfupi baada ya kuanza kwa ibada ya uzinduzi wa Parokia, mgeni rasmi alikuwa Mjumbe wa Baba Mtakatifu, Askofu Fransisco Mantecillo Padilla. Aidha alikuwepo mwenyeji wake Askofu Josephat Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha.
Inakadriw a kuwa katika uzinduzi huo kulikuwa na watu zaidi 2000. Hivyo wakati mgeni rasmi akiwa ametoka nje akijiandaa kukata utepe kama ishara ya uzinduzi mtu aalirusha kitu chenye ukubwa wa ngumi kuelekea eneo kulipokuwa na mkusanyiko wa watu na baada ya kutua kulitokea kishindo na mlipuko mkubwa.
Katika tukio hilo viongozi wa Serikali na dini waliohudhuria ibada hiyo hawakupata madhara.
 
dr slaa hufai hufai msikitini wala kanisani unaongea vitu usivyotenda na unatenda usivyoongea bola nimekuona humu jf ngoja ni kwambie ukweli wako,wewe ndiye unayepandikiza chuki za udini,tarehe 13/4 mwaka huu umemtuma heche kwenda mazizini ukonga kwenye yale machinjio ili wadai haki ya kuchinja,ni wewe uliyewaeleza wajumbe uliokutana nao nyumbani kwako kuwa ili sera ya majimbo ipite lazima nchi igawanyike kwa misingi ya udini na ukabila halafu wewe ukiwa rais utaiunda upya,ni wewe huyohuyo unayeandaa mipango ya kumuuwa shonza na mwapamba na kazi ya kuwafuatilia umempa heche na lema, ni wewe huyohuyo unayepanga mipango ya kumuuwa mwigulu na ridhiwani kikwete,ni wewe huyohuyo uliyemtuma ben saanane amwekee zito sumu na ni wewe ulitangaza kumwagika damu kwenye uchaguzi wa arumeru halafu leo unakuja jf unaongea kinafiki,nadhani wakati umefika watanzania tuwaeleze ulivyo mnafiki kwao,pia kumbuka unamajina ya watu kwenye note book yako umepanga kuwauwa ukiwa rais slaa hata mimi ni mkatoriki kama wewe lakini unayofanya hufai kuwa mkatoliki kamwe.

duuuh!!!!!!!
 
Jeshi lako Kikwete limechoka linatakiwa kufumuliwa kama wameshindwa kuwakamata watesaji wa kina Dr Steven Ulimboka na Mwandishi wa habari Absalom Kibanda sasa hapa kweli kitaeleweka.Tatizo ya Police na Usalama wa Taifa ni wewe Kikwete kuwatumia hawa watu kisiasa ili tu ubakie madarakani sasa haya ndio matunda ya kuchanganya mambo kwani Police na Usalama wa Taifa kwa pale Arusha macho yao na akili zao zote ziko kwa kumvuruga Mh Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na hiyo haina uficho kwani kila kitu kinaeleweka.Inakuwaje watu watoke nje ya nchi tena kupitia Airport na sio vichakani na kutumia vijana njaa waliochoka na maisha ili tu wapewe visenti walipue watu ambao walikuwa kwenye ibada?Na hapo wapo ati Usalama wa Taifa sasa hawa kazi yao ni nini hasa?au ndio kumlinda Lema na kumpambikizia kesi za uongo??Ccm mtatumaliza kwa uroho wenu wa madaraka kwa kutumia Dola kisiasa hata Dola yenyewe inasahau kazi zake na matoke ya ajabu ajabu yanatokea kila mara,CCm nyie ndio waanzilishi wa Udini katika nchi hii hamuwezi kutoka hata siku moja Mlianza na kuwaambia CUF ni chama cha Waislamu na ni wanafadhiliwa na Magaidi mkashinda,Mkaja kwa Chadema oooh ni chama cha watu wa kaskazini especilay Wachaga kana kwamba kaskazini wanaishi Wachaga peke yao.Mungu atakuadhibuni nyie Maccm na mwisho wenu waja wala hauko mbali ni 2015
 
Katika matamko yoooote aliyotoa sijawai kuona matunda yake TANZANIA SIO SALAMA TENA
MATAMKO YANAAGIZA TU LAKINI HAKUNA UTEKELEZAJI

FACTS TO CONSIDER:
1. Kuripuliwa bomu katika kanisa la Arusha Rais Kikweta alikuwa KUWAIT
2.Kuchomwa kwa kanisa Zanzibar Rais alikuwa Oman
3. Kuchomwa kwa kanisa mbagala na vurugu zake Rais alikuwa Finland (kama sijakosea)
4.Kutekwa kwa Ulimboka Rais alikuwa Nje
5.
6.
7

Kwanini matukio haya yakitokea rais anakuwa nje ya nchi? inawezekana anajua kinachoendelea
:angry:

Tamko wa Rais Kikwete kufuatia kifo cha Padri Mushi wa Zanzibar

Ameongeza Rais Kikwete: “Nimeligiza Jeshi la Polisi nchini kukusanya nguvu zake zote na maarifa yake yote kuhakikisha kuwa uchunguzi wa kina na wa haraka sana unafanyika ili kubaini mhusika ama wahusika na kuwakamata ili kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.”

“Aidha, nimewaagiza Jeshi la Polisi washirikiane na vyombo vingine vya Usalama nchini na mashirika ya upepelezi ya nchi rafiki katika kufanya uchunguzi wa mauaji haya.”

Amesisitiza Rais Kikwete: “Nataka ukweli wake ujulikane ili kama kuna jambo lolote zaidi liweze kushughulikiwa na kukata mzizi wa fitina.”

TAMKO LA RAIS JAKAYA KIKWETE WA TANZANIA JUU YA MLIPUKO KWENYE KANISA KATOLIKI OLASITI JIJINI ARUSHA

Rais Kikwete ameagiza vyombo vya usalama nchini kumsaka mtu au watu waliohusika na kitendo hicho kiovu na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Vile vile Rais Kikwete amewataka wananchi wote kuwa watulivu wakati Serikali na vyombo vyake inaendelea kufuatilia tukio hili.

Tutawasaka popote walipo na kupambana nao bila huruma. Aidha, tutakabiliana na aina yoyote ya uhalifu nchini iwe ni ugaidi au aina yoyote ya uhalifu wa namna hiyo au wa namna nyingine, uwe na chimbuko lake ndani ya nchi ama nje ya nchi yetu.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU,
DAR ES SALAAM
5 Mei, 2013

SWALI KUU:

JE TANZANIA TUNA KIONGOZI WA KUONGOZA NCHI????
 
Kila ninapoona maandishi yako najisikia kutapika, najihisi kizunguzungu, nahisi mbele yangu kuna jinamizi linanijia.
Dr umechangia pakubwa kuchafua hali mbali ya hewa ya udini ktk taifa letu kwa siasa zako za udini, dr wewe ni mtu mbaya sana usielitakia amani taifa letu, umepandikiza chuki ya udini sababu tu umeshindwa kuingia ikulu.
Dr nakuchukia sana kwa sababu wewe unachangia wapenda mabadiliko wasikiunge chama chako mkono kwasababu ya kuendesha chama kidini na kuacha misingi ya chama. Ninapenda kuona haki inatendeka kwa wananchi wote wanapata wanachostahili, nawachukia mafisadi ila kamwe nimeamua kukiunga mkono ccm kwa 7bu chadema unaiharibu kwa udini wako labda ukiondoka wewe na wadini wenzako Tanzania tutashuhudia mabadiliko ya kweli.
Hivi ni kipi kama kiongozi wa juu wa chama kimekuzuia Lema kuacha kauli za kichochezi kidini publically?
Sina chuki na mkristo, sintokuja mrushia jiwe mkristo ila ninawachukia wakristo wa aina yako na Lema.
Hivi ulikuwa una maana gani ulivyosema Tanzania haitotawalika?

mmmh!!!balaa!
 
Ukiangalia haya matamko ni just copy and pest and nothing else, kazi tunayo sisi tunataka vitendo wao wanatupa maneno.

Mwl Julius Nyerere (R.I.P Mwl), aliwahi kusema viongozi wetu wajitahidi ili maneno yao wanayotamka yasiwe tofauti sana na vitendo vyao, hawa jamaa wao wanasema tu lakini kutenda vituko tupu.
 
Katika watu wenye akili ya ajabu na wewe umo kwa hiyo wewe unataka rais aongoze kwa akili uliyonayo kwa taarifa yako rais anaongoza kwa mujibu wa sheria na ushauri wa wataalamu wake wewe subiri rais unayemtaka utaenda kumchukua kijjini kwenu.
 
Katika matamko yoooote aliyotoa sijawai kuona matunda yake TANZANIA SIO SALAMA TENA
MATAMKO YANAAGIZA TU LAKINI HAKUNA UTEKELEZAJI

FACTS TO CONSIDER:
1. Kuripuliwa bomu katika kanisa la Arusha Rais Kikweta alikuwa KUWAIT
2.Kuchomwa kwa kanisa Zanzibar Rais alikuwa Oman
3. Kuchomwa kwa kanisa mbagala na vurugu zake Rais alikuwa Finland (kama sijakosea)
4.Kutekwa kwa Ulimboka Rais alikuwa Nje
5.
6.
7

Kwanini matukio haya yakitokea rais anakuwa nje ya nchi? inawezekana anajua kinachoendelea
:angry:

Tamko wa Rais Kikwete kufuatia kifo cha Padri Mushi wa Zanzibar

Ameongeza Rais Kikwete: "Nimeligiza Jeshi la Polisi nchini kukusanya nguvu zake zote na maarifa yake yote kuhakikisha kuwa uchunguzi wa kina na wa haraka sana unafanyika ili kubaini mhusika ama wahusika na kuwakamata ili kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria."

"Aidha, nimewaagiza Jeshi la Polisi washirikiane na vyombo vingine vya Usalama nchini na mashirika ya upepelezi ya nchi rafiki katika kufanya uchunguzi wa mauaji haya."

Amesisitiza Rais Kikwete: "Nataka ukweli wake ujulikane ili kama kuna jambo lolote zaidi liweze kushughulikiwa na kukata mzizi wa fitina."

TAMKO LA RAIS JAKAYA KIKWETE WA TANZANIA JUU YA MLIPUKO KWENYE KANISA KATOLIKI OLASITI JIJINI ARUSHA

Rais Kikwete ameagiza vyombo vya usalama nchini kumsaka mtu au watu waliohusika na kitendo hicho kiovu na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Vile vile Rais Kikwete amewataka wananchi wote kuwa watulivu wakati Serikali na vyombo vyake inaendelea kufuatilia tukio hili.

Tutawasaka popote walipo na kupambana nao bila huruma. Aidha, tutakabiliana na aina yoyote ya uhalifu nchini iwe ni ugaidi au aina yoyote ya uhalifu wa namna hiyo au wa namna nyingine, uwe na chimbuko lake ndani ya nchi ama nje ya nchi yetu.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU,
DAR ES SALAAM
5 Mei, 2013

SWALI KUU:

JE TANZANIA TUNA KIONGOZI WA KUONGOZA NCHI????
Uko milembe day!
 
'tafuta padre tafuta kardinali, mchunngaji au hata mlei uuuuuuuuuuaaaaa aaaaa...!uue dhahiri ama kwa kificho'' shehe Ilunga

hivi ni kwanini huyo ulunga aliyasema hayo??video nzima amesema maneno hayo tu au kuna maelezo mwanzo yalianza kisha ndo akafikia hapo!...
 
Akiwepo nyumbani huzuia watu wasife? Au hufufua walokufa!? Chamsingi c kuwepo au kutokuwepo jambo lishatokea tuangalie nini chakufanya na c kumshutumu rais kwa kila ki2. Unaamini ye ndo alowatuma hao wasio na akili kupiga hlo bomu? Think critically
 
SERIKALI KUCHUA HATUA KALI MLIPUKO ARUSHA
Monday, 06 May 2013 Written by Mjengwa Blog Email Tuma Maoni

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Dkt.Emmanuel Nchimbi

Na Immaculate Makilika-Maelezo
SERIKALI imesema kuwa itachukua hatua kali kwa mtu yeyote bila kujali hadhi nafasi yake katika jamii kufuatia kuwepo kwa watu wachache wasiyoitakia mema nchi yetu kutaka kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa Watanzania na kuleta mapigano, mauaji nchini
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi wakati akitoa kauli ya Serikali kuhusu mlipuko wa uliotokea katika kanisa la katoliki la Mtakatifu Joseph Parokia ya Olasiti Arusha mjini Mei 5, mwaka huu saa 4:30 asubuhi na kusababisha vifo vya watu wawili na kujeruhi 59, kati ya hao watatu ni mahututi.

Aliwataja watu waliofariki dunia kuwa ni Regina Kurusei mwenye wa miaka 45 mkazi wa Olasiti ambaye alifariki siku ya tukio wakati alipokuwa kipatiwa matibabu katika hospitali ya Mount Meru na James Gabriel(16) aliyefariki usiku wa kuamkia leo.
“Tutachukua hatua kali bila huruma kuzigandamiza njama hizi mbaya dhidi ya taifa letu. Tutachukua hatua kali kwa mtu yeyote bila kujali hadhi na nafasi yake katika jamii. Amani yetu kwanza na taifa letu kwanza,” alisema Waziri Nchimbi.
Alisema tayari kikosi kazi maalumu kimeundwa ili kuchunguza tukio hilo.
Waziri Nchimbi alisema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa mlipuko huo ni bomu. Hivyo uchunguzi wa kubaini aina ya bomu lililotumika unaendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Wataalamu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania .
“ Hadi sasa watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi. Miongoni mwao ni Victor Ambroce mwenye umri wa miaka 20, dereva wa bodaboda,mkazi wa Mrombo, Arusha,ambaye anatuhumiwa kwa kurusha bomu hilo. Watuhumiwa wengine watano waliokamatwa ni raia wane wa kigeni na Mtanzania mmoja ambao wanashikiliwa kwa maahojiano,” alisema.
Aidha Waziri Nchimbi alisema Serikali inamewataka wanasiasa na viongozi wote wajiepushe na kauli zinazochochea ubaguzi wa kidini, mifarakano ya kijamii na chuki miongoni mwa Watanzania.
”Serikali isilaumiwe kwa hatua kali za kisheria itakazozichukua dhidi ya viongozi wa aina hii ambao maslahi yao ni muhimu kuliko maisha ya Watanzania, maslahi yao ni muhimu kuliko umoja wa Watanzania,” alisisitiza huku akisema Serikali kwa nguvu zake zote itahakikisha kuwa watuhumiwa wote waliohusika na kushiriki kwa namna yoyote katika tukio hilo wanasakwa popote walipo na kufikishwa katika vyombo vya sheria..
Aliongeza kuwa kwa niaba ya Serikali anaungana na Watanzania kulaani wahusika wote wa tukio hilo walioshiriki kwa njia yoyote. Pia inawataka viongozi wa kisiasa, kidini,na wananchi wote kwa ujumla kila mmoja kwa nafasi yake kuwajibika ili kuhakikisha kuwa nchi yetu inaendelea kuwa kisiwa cha amani na utulivu.
Mlipuko huo ulitokea muda mfupi baada ya kuanza kwa ibada ya uzinduzi wa Parokia, mgeni rasmi alikuwa Mjumbe wa Baba Mtakatifu, Askofu Fransisco Mantecillo Padilla. Aidha alikuwepo mwenyeji wake Askofu Josephat Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha.
Inakadriw a kuwa katika uzinduzi huo kulikuwa na watu zaidi 2000. Hivyo wakati mgeni rasmi akiwa ametoka nje akijiandaa kukata utepe kama ishara ya uzinduzi mtu aalirusha kitu chenye ukubwa wa ngumi kuelekea eneo kulipokuwa na mkusanyiko wa watu na baada ya kutua kulitokea kishindo na mlipuko mkubwa.
Katika tukio hilo viongozi wa Serikali na dini waliohudhuria ibada hiyo hawakupata madhara.

VICTOR AMBROSE umri miaka 20 dereva wa bodaboda!!!!!Huyu jamaa ni dini gani ????????
 
baada ya watu kulipua boston marathon watu walipatikana na kutiwa nguvuni within 3days, mmoja kauwawa na mwingine kajeruhiwa vibaya yuko hospital huku akiendelea na mahojiano.... ile ndio njia ya dhati ya kuwasaka na kuwaadabisha magaidi!!!! yuko wapi aliyelipua makanisa kule zanzibar, aliyeua padre kule zanzibar, aliyemjeruhi padre kule zanzibar, aliyemchinja padre kule geita?????? b serious!!!!
 
Back
Top Bottom