Elections 2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

Hata Mbowe alikuwa anajua mzee hawezi shinda urais ila alikuwa anaongeza ushindani tu.
 
Sidhani kama watakusikiliza wameshamtangaza Magufuli hakuna jinsi.
 
Twaweza walishasema magufuri ni mshindi mkasema wanatumika......ccm oyeeeeeeeeeeeeee
 
Watanzania wameamua mzee Lowassa, pole sana tena sana. Siasa za CHADEMA huziwezi mzee, unaweza kuingia barabarani wewe na kuandamana kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa??? Unaweza wewe? Achana na siasa mzee, Magufuli ndio rais mpya. #HapaKaziTu
 
HALI HALIS YA WATANZANIA SASA HIVI

kumepooza kila mahali
Sio sokon sio mitaan
Sio majumban na wala sio katka taasis yoyote ile iwe ya uma au ya binafsi

ANAEDAIWA KUWA NI MSHINDI WA URAIS (MAGUFULI) LAKIN WATU WAKO KIMYA KAMA WAMETANGAZIWA HABAR YA MSIBA
Ingia mitandao ya jamii
Fb
Wasap
Instagram
Etc
Kuko kimya
Watu hawana mudi ya kuchat
Baadh yao hawatak hata kusikia mdudu anayetwa siasa🙉🙉
Tulitegemea kuwe na shamra shamra za hapa na pale baada ya kusikia kutangazwa kwa mshind wa urais
Hii kidogo inakufanya ufikirie mara mbili coz kushinda tu kwa baadh ya wabunge/madiwan kumekuwa na shamra shamra za furaha hadi inafikia polis wanatumia silaha kuwatawanya
Lakin rais
I min mkuu nchi na amiri jesh mkuu anatangazwa lakin watu kimya kama ndo wametangaziwa KIAMA KESHO🙆🏿🙆🏿

SASA SWAL LA KUJIULIZA NI JE NI WATU GAN WALIOMCHAGUA MAGUFUL IKIWA ASILIMIA KUBWA YA WATZ WAKO KATKA HUZIN?
HII INAASHIRIA NN?
TULITEGEMEA MUDA HUU KUWE KUNA SHANGWE ZA HAPA NA PALE ZA FURAHA ZA KUPOKEA USHIND LAKIN HAL HIYO NI TOFAUT KABSA

HII INAMAANA GAN?
KATKA HIL HAUHITAJ DIGRII WALA DIPLOMA ILI KUELEWA KUWA TUME(NEC) WAMETANGAZA MATOKEO WALIUOYAANDAA WENYEWE NA SIO MATOKEO YA KURA WALIZOPIGA WATANZANIA😓😓

Tanzania Tanzania?2
Nakupenda kwa moyo woteee

Nchi nzuri Tanzania🎶
Karibu wasio na kwaooo wenye shida na taabu kukimbizwa na waloweziii🎤
 
Ahsante Edward Lowassa, tumeona changamoto nzito ulizowaonyesha viongozi wa CCM, na kweli wasipokuwa makini na uongozi wao na ahadi tele walizozitoa wajue watatoka madarakani kwani kila baada ya miaka mitano wana mabadiliko wanaongezeka.

Tunakutakia afya njema na amani ya moyo. Mungu awe nawe daima na milele ni kiongozi mwenye ujasiri mkubwa na uvumilivu pamoja na matusi na kashfa za baadhi ya viongozi lkn ulikaa kimya hukulipiza kisasi.
 
Nimepita kijiwe chetu cha kawaida ...naona wanywaji wenzangu wameenda kulala mapema......nimepiga Moja huyoooo ....watu wana hasira hata TAARIFA ya habari hawataki kuangalia
Kuna wana ccm wachache wametoka HUKO msasani wamepita watu wakawafukuza ...wanasema wanawapigia kelele
 
Watu wanasema hata TV wamezima hawataki kuangalia madudu ya kikwete, mkapa, makamba na lubuva.
 
Mzee Lowassa kwenye Kanisa lile ulilolipora Uwanja pale Mbezi , tulimwoba Mungu na ametusikia Juu ya Amani.
Tena tuliimba na wimbi wa Taifa kwa machozi.
Huna jinsi uende zako tu maana unavuna ulichopanda

Daa poleni sana,
Huyo ndio mkombozi wa UKAWA.
 
Na hamu nimsikie Kingunge,sumaye,masha uwiii duuuh..sijui wako wapi saa hii..mabadiliko...
 
HALI HALIS YA WATANZANIA SASA HIVI

kumepooza kila mahali
Sio sokon sio mitaan
Sio majumban na wala sio katka taasis yoyote ile iwe ya uma au ya binafsi

ANAEDAIWA KUWA NI MSHINDI WA URAIS (MAGUFULI) LAKIN WATU WAKO KIMYA KAMA WAMETANGAZIWA HABAR YA MSIBA
Ingia mitandao ya jamii
Fb
Wasap
Instagram
Etc
Kuko kimya
Watu hawana mudi ya kuchat
Baadh yao hawatak hata kusikia mdudu anayetwa siasa🙉🙉
Tulitegemea kuwe na shamra shamra za hapa na pale baada ya kusikia kutangazwa kwa mshind wa urais
Hii kidogo inakufanya ufikirie mara mbili coz kushinda tu kwa baadh ya wabunge/madiwan kumekuwa na shamra shamra za furaha hadi inafikia polis wanatumia silaha kuwatawanya
Lakin rais
I min mkuu nchi na amiri jesh mkuu anatangazwa lakin watu kimya kama ndo wametangaziwa KIAMA KESHO🙆🏿🙆🏿

SASA SWAL LA KUJIULIZA NI JE NI WATU GAN WALIOMCHAGUA MAGUFUL IKIWA ASILIMIA KUBWA YA WATZ WAKO KATKA HUZIN?
HII INAASHIRIA NN?
TULITEGEMEA MUDA HUU KUWE KUNA SHANGWE ZA HAPA NA PALE ZA FURAHA ZA KUPOKEA USHIND LAKIN HAL HIYO NI TOFAUT KABSA

HII INAMAANA GAN?
KATKA HIL HAUHITAJ DIGRII WALA DIPLOMA ILI KUELEWA KUWA TUME(NEC) WAMETANGAZA MATOKEO WALIUOYAANDAA WENYEWE NA SIO MATOKEO YA KURA WALIZOPIGA WATANZANIA😓😓

Tanzania Tanzania?2
Nakupenda kwa moyo woteee

Nchi nzuri Tanzania🎶
Karibu wasio na kwaooo wenye shida na taabu kukimbizwa na waloweziii🎤

Inaelekea ndoo unaamka ee pole karibu kwetu tule biere
 
​Hata mie nina huzuni tele!!. Kuanzia time hii nitakuwa offline mpaka baada ya siku tisa ili Roho,mwili na nafsi vipone kabisa! Inaniuma sana kila nikifikiria!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom