Elections 2010 Tamko la Dr.Slaa

Siku za mwizi 39 na ya 40 ya mwenye haki. Ninaamini ile ya 40 imefika. Ushauri msikurupuke, zoezi likamilike lakini pia msidanganyike. Kumbuka ni matayarisho ya muda mrefu "ushindi ni lazima" hata kama wananchi hawataki. Kulazimishwa tafiti andalizi za ushindi huu wa dhuluma za REDET na Synovete. Kama mwandishi wa Raia mwema alivyosema ni uchaguzi kati ya ufisadi na uadilifu na kama tunavyojua ufisadi ni ushetani na kazi za shatani sote tunazijua. Oneni ni nani waliohusika na wanaolazimisha ushindi huu. Wale wenyeutumishi uliotukuka hawapo.
Hata ukpmbozi ulipomfikia binadamu shetani alighadhabika sana. Ghadhabu ya mafisadi ndiyo hiyo, walikaa kimya lakini walijua watafanya nini na lini, nawanadhani hawaonekani, wapo kwenye giza nene, ni muhimu sana tusiache kuandika historia. Kila tendo, neno linanafasi kubwa katika dondoo za historia hii.
Tuiombee nchi yetu na watu wetu Mungu awaepushe na madhara.
 
Wametupoka kura zetu! Je wataweza kutupokonyo nyoyo zetu? Je wataweza kutupokonya uzalendo wetu? Je wataweza kutupokonya uaminifu wetu kwa kiongozi wetu Dr. Slaa? Dr. Slaa tunasubiri neno lako... Peoples..... Power..... NEC na Kikwete mambo baaado kabisa! Mpaka kieleweke!!
 
Wote semeni Amina
 
Naona amenza kukiri kushindwa. huo ndio ungwana. Sio lazima asubiri hadi mwisho. i like it
 
"a sit back is a set up for a major come back"
"kimya kingi kina mshindo mkubwa"
 
Hapo sawa
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.

Dr. Wilbrod Slaa | Facebook

http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854
 
Asante Dr. wa ukweli.

".... wao wana hela, sisi tuna Mungu ..." (Godbless Lema, MP)
 
Wabunge wa CHADEMA wakumbuke kwamba ushindi walioupata umechangiwa sana na mapenzi ya wananchi kwa Dk. Slaa kwa hiyo wasivimbe vichwa wakifikiri ni jitihada zao wenyewe! Dk. Slaa ndiye baba yao na ataendelea kuwa.
 
na kwakuwa wamebebwa na dr. Wajitahidi kufuata nyayo zaka,kusikiliza ushauri wake na kuufanyia upembuzi yakinifu.
 
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.

Dr. Wilbrod Slaa | Facebook

http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854

Moyoni nimeumia, kwa matokeo haya ya urais. Nashukuru kwa hayo mawazo toka kwa DR. Slaa. Ninatoa angalizo kubwa sana kwa matokeo ya urais kwamba atakayeingia kwa hila hata ishi kama ni watz wamemwezesha hapo sawa kama ni mamafia basi Mungu ni zaidi yao.
 
Tutasubiri tu ingawaje tunajua dhuluma kali JK na CCM yake wameifanya dhidi ya wapigakura wa nchi hii na Mwenyezi Mungu hatakaa kimya...

PROVERBS 15:21 These things you have done, I kept quiet, and you thought I was altogether like you; but I will rebuke you and set them in order before your eyes."

Nakuunga mkono tunategemea kuona mkono wa Bwana kama ilivyokuwa kwa Eliya na manabii wa baali,napenda tu kukuambia ndugu yangu ni wakati wetu sisi kusema na ijulikane yuko MUNGU ktk taifa hilli. :nono:
 
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.

Dr. Wilbrod Slaa | Facebook

http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854

Huyu mzee ana busara za hali ya juu. Tunasubiri kusikia toka kwako kwa hamu kubwa. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na maisha marefu. Tanzania bila mafisadi na thithiem inawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom