Elections 2010 Tamko la Dr.Slaa

Advocate marandu, Tundu lissu na wengineo angalieni na uwezekano wa kupinga haya matokeo kwenye East African Court of Justice au African Court of Peoples and Human Rigths. Kuna vitu vingi sana ambazo havimeet international standard of good governance naona kuna mwelekeo wa kuchanganya mafuta na maji:

Article 6 ya treaty inasema Fundamental principles of the community:
The fundamental principles that shall govern the achievement of the objectives of the Community by the Partner States shall include:

good governance including adherence to the principles of democracy,the rule of law, accountability, transparency, social justice, equal opportunities, gender equality, as well as the recognition, promotion and protection of human and peoples rights in accordance with the provisions of the African Charter on Human and Peoples’ Rights;

Hapo wabanwe hapo mpaka kieleweke
 
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.

Dr. Wilbrod Slaa | Facebook

http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854

-------------------

Atukuzwe Mungu Milele;
Yeye aliyewavusha watu wake katika Bahari ya Sham, dhidi ya jeshi kubwa na katili la Firauni (Pharaoh), ambalo lilimezwa na wimbi kuu la Maji na kuangamizwa kabisa...Mkono wa Mungu hadi kuwafikisha nchi Mpya, ya Maziwa na Asali (Canaan Mpya)...ndiyo kazi ya MUSA!

Ndiye Dr Slaa...MUSA wa Taifa hili, Mkono wa Mungu uu juu yako...na waana wa nchi hii wote wapo nyuma yako kuifikia Canaan Mpya, na Nguvu ya Mafirauni itaangamizwa punde ktk ulimi wa mkondo wa maji, maji ya Bahari - mkono wa Umma usioshindwa kwa hila zozote!

TOA TAMKO BABA!
* Wasilisha kwa jamii nzima,
* Wanadiplomasia na Wawakilishi wa Jumuia za Kimataifa na Wahisani.
* Tume ifutwe, Uchaguzi urudiwe ndani ya siku 90, kwa gharama ya Ukombozi. na chini ya uangalizi wa Kimataifa
* Wote walioharibu, waapigwe stop mali zao na wasitoke au kupokelewa nchi yoyote hisani
* Taifa lote lipo katika majonzi makubwa, na hatuna majibu leo, kesho na siku zote.
AMEN
 
Amen, THANKS
 
Mi niko tayari kuingia mtaani kudai kura zetu. kweli ntakufa kwa ajili ya kudai haki.

Iweje unataka kuongoza watu wasio kupenda? ccm walinyimwa kura. watu walivaa tisheti zao kwa kuzuga na ilipo fika siku ya kupiga kura, watu wakapigia chadema.

Sasa hawa watu wanataka kung'ang'ania madaraka wakati hakuchaguliwa!!

MUNGU WANGU MI NTAKUFA KWA AJILI YA WATOTO WANGUSIKUBALI KUONGOZWA NA MTU ALIYE KATALIWA.

CHADEMA TUNAOMBA TAMKO HARAKA ILI TUKABILIANE NA HALI HII. AMA ZANGU AMA ZA ATAKAYE LETA WIZI WA KURA. NAAPA TUTAPAMBANA!
 
nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.

dr. Wilbrod slaa | facebook

http://www.facebook.com/wilbrodslaa/posts/161833713850854

sasa watanzania tumeelewa ni kwa kiasi gani katiba mbovu inavyochangia katika kushamirisha ufisadi, umaskini na matatizo lukuki yanayotukabili. Unakuomba dr slaa baada ya shughuli za uchaguzi huu kukamilika kwa maana ya kuingia madarakani kwa serikali mpya iliyopatikana kutokana na matokeo ya kura kuchakachuliwa; utuongoze watanzania katika mapambano ya kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi n.k.

Tunakuahidi kuwa safari hii tutashirki kwa 100% katika mapambano hayo ikiwemo maandamano n.k
 
Nilikuwa kwenye position nzuri ya kupata matokeo ya awali na ukweli DR, ameongoza maeneo mengi sana. zaidi ya 60% ya nchi imempa slaa urais na ubunge kwa chama chake.
Kitakachofuata CCM core wajilaumu wenyewe.
 
Hatiwezi kuendelea kamwe kama NEC wametumia pesa kibao kuleta Teknolojia ya kompyuta yet matokeo yanchukua WiKi nzima. IT technology is put in palce to simplify, fasten and easier the process?

Brazil nchi ya watu milioni mia moja tayari washamjua rais wao. Kwa nini ichukue wiki nzima watu milioni 40.

Inaonyesha tatizo kubwa la UFISADI katika process ya Manunzi ya serikali ku acquire , kununua vitu bila kufanya analysis na evalution sahihi.

Kutumia Teknolojia kuonekana tu unakwenda na wakati teknolojia haifanyi kazi inayotakiwa kufanya kwa ufanisi na . Teknolojia kuwa part ya tatizo ni total failure
 
Upuuzi mtupu,wote hawa wataka kuibatiza Tz,hana hata sifa yakuwa kiongozi,vip aseme Kikwete ni Gaidi,je hamuoni kama Slaa anaonyesha mkono wakanisa,Tamko hili apeleke kanisani,ila yeye mwenyewe mzembe tu
 
......una maana kura alizopata kikwete ni waiz lam? ufisadi ndiye adui wa Tanzania wala sio Uiz lam au Ukir Sito! sema mnaofaidi na Ufisadi hamuwezi kuyaona haya kwa kuwa rushwa imewapofusha macho......
mtaongea sana propaganda za kidini ila hamtafanikiwa,moto huu hauzimi leo wala kesho.....ukombozi uko karibu sana.
 
Back
Top Bottom