Sijui utaratibu wao ukoje yaani! Mkuu we mkoa wako umetoka na jina lako halipo?Jamani majina ya uhamisho yameshatoka lakini mbona wametoa wachache na wengine majina yetu hatuyaoni?
Sijui utaratibu wao ukoje yaani! Mkuu we mkoa wako umetoka na jina lako halipo?Jamani majina ya uhamisho yameshatoka lakini mbona wametoa wachache na wengine majina yetu hatuyaoni?
Ndio umetoka na jina halipo, na barua niliipeleka tar. 20 NovemberSijui utaratibu wao ukoje yaani! Mkuu we mkoa wako umetoka na jina lako halipo?
Mm hapo sasa inabidi ufuatilie kabla hawajatoa awamu ya pili labda kulikuwa na shida mahali, kwani ulikuwa unabadilishana? Wacha tusubiri nasisi ambao mikoa yetu haijatokaNdio umetoka na jina halipo, na barua niliipeleka tar. 20 November
Nilikuwa nabadilishana aise, ila Nina tenaye badilishana nae mkoa wake bado. Ngoja tusubiri tuone.Mm hapo sasa inabidi ufuatilie kabla hawajatoa awamu ya pili labda kulikuwa na shida mahali, kwani ulikuwa unabadilishana? Wacha tusubiri nasisi ambao mikoa yetu haijatoka
Kuna awamu ya pili Kweli, mi mkoa wangu umo na jina halipo na ninaebadilishana nae kafanikiwalabda
Ngoja tusubirimpaka tar 15 yote itakuwa tayari
Kwahiyo unataka tuliokosa mikoa iliyotoka tukose tena? Suala watoe majina yote, yawe ya mikoa iliyotoka au ambayo haijatoka.Wangetoa tu Hiyo mikoa iliyobaki ili tujue kama ndio au hapana kuliko kuendelea kutuweka pasipo kujua nini kinaendelea, inakatisha tamaa sana.