TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Ndio umetoka na jina halipo, na barua niliipeleka tar. 20 November
Mm hapo sasa inabidi ufuatilie kabla hawajatoa awamu ya pili labda kulikuwa na shida mahali, kwani ulikuwa unabadilishana? Wacha tusubiri nasisi ambao mikoa yetu haijatoka
 
Mm hapo sasa inabidi ufuatilie kabla hawajatoa awamu ya pili labda kulikuwa na shida mahali, kwani ulikuwa unabadilishana? Wacha tusubiri nasisi ambao mikoa yetu haijatoka
Nilikuwa nabadilishana aise, ila Nina tenaye badilishana nae mkoa wake bado. Ngoja tusubiri tuone.
 
Duh!!....
Hii TAMISEMI Hii!?!.
Bora Ile ya Aggrey Mwandri Na Majaliwa..
Jafo ni Porojo Tu Utendaji Ziro!!
Iyombe nae -----
Uhamisho mnatoa awamu ya Kwanza then mnapotea mnaleta mshituko Kwa Watumishi wanaisubiri uhamisho

##UhamishoUnatokaLini?!##
 
Wenye dhamana ya kutoa majina ya uhamisho, tafdhali malizieni mikoa iliyobaki jamani
 
Nimebahatisha January ila jambo hili linaumiza sana . Hasa wana ndoa. Nawatia moyo mtafanikiwa,mie imenichukua miaka 8!
 
Wangetoa tu Hiyo mikoa iliyobaki ili tujue kama ndio au hapana kuliko kuendelea kutuweka pasipo kujua nini kinaendelea, inakatisha tamaa sana.
 
Wangetoa tu Hiyo mikoa iliyobaki ili tujue kama ndio au hapana kuliko kuendelea kutuweka pasipo kujua nini kinaendelea, inakatisha tamaa sana.
Kwahiyo unataka tuliokosa mikoa iliyotoka tukose tena? Suala watoe majina yote, yawe ya mikoa iliyotoka au ambayo haijatoka.
 
Back
Top Bottom