Kwa maana hiyo hao wanaojiita Usalama wa Taifa hili ni mazuzu kabisa. Iweje wasigundue hilo mapema? wao ndio wenye kazi ya kuhakikisha usalama hasa wa Ikulu, au wanajua tu kukimbiza misafara na kutugandisha barabarani weeeeeee! hovyo kabisa

Rais wa Tanganyika hua analindwa na Mungu.. maana hata hao wana mlinda nao ni vimeo.
Mpaka Obama aje,basi aje tena kukagua mapato na matumizi ya nchi tuwagundue wezi.
acha ujinga ww mbna umeshakuwa mukbwa ucpende kuropoka ovyoNani anajali maisha yake....tna yawe hatarini zaidi ya hapo
...vipi kuhusu ule ulinzi wa majini aliowekewa na marehem Sheikh Yahya?...